Mkuu Angalia Content inahusu Nini ndiyo u complain,,, Series ya Fundi main character alikuwa mama Kanumba na Duma mwenyewe ndiyo maana Episode KARIBIA ZOTE Mama Kanumba na Duma wameruka,,, pia Duma alianza kama Fundi Furniture na akaonyesha changamoto za mafundi furniture zikoje then akawaamisha watazamaji kuwa Hakuwa na fanny Moja,,, akahamia kwenye Ufundi wa TV napo akaonyesha Changamoto za mafundi Tv ivyoo yaani.
Tujaribu kutizama maudhui ya Tukio husika kabla ya kukosoa,,, Kama wewe ulikuwa huipendi Kuna wenzako walivutiwa nayo,, hasa pale wanapoona Mafundi wanaosumbua ikiwemo mafundi nguo wanasurubiwa na wateja wao,, basi wao wanainjoy sana....
mama Kanumba character aliyopewa nadhani uliona alivyoitendea haki au uongo mkuu?