[emoji1][emoji1]ndo alivyosemaChapicho ni muigizaji wa zamani
Toka kwenye kaole.
Na juzi wakati wa uzinduzi wa filamu mpya ya Chuchu inayoanza kesho, Chapicho aliwachana waandaaji kuwa waangalie kipaji,, maana wanaangalia sura, mwisho wa siku waigizaji wenye kipaji lakini hawana mvuto kama yeye hawapati nafasi.
Ni opinion yangu Mkuu,Mimi kutoipenda haimaanishi hakuna waliopenda.Mkuu Angalia Content inahusu Nini ndiyo u complain,,, Series ya Fundi main character alikuwa mama Kanumba na Duma mwenyewe ndiyo maana Episode KARIBIA ZOTE Mama Kanumba na Duma wameruka,,, pia Duma alianza kama Fundi Furniture na akaonyesha changamoto za mafundi furniture zikoje then akawaamisha watazamaji kuwa Hakuwa na fanny Moja,,, akahamia kwenye Ufundi wa TV napo akaonyesha Changamoto za mafundi Tv ivyoo yaani.
Tujaribu kutizama maudhui ya Tukio husika kabla ya kukosoa,,, Kama wewe ulikuwa huipendi Kuna wenzako walivutiwa nayo,, hasa pale wanapoona Mafundi wanaosumbua ikiwemo mafundi nguo wanasurubiwa na wateja wao,, basi wao wanainjoy sana....
mama Kanumba character aliyopewa nadhani uliona alivyoitendea haki au uongo mkuu?
Ndiyo[emoji1][emoji1]ndo alivyosema
Wamependeza Kwa kweliBila shaka ukiangalia ile couple unajiona mule ndani
Asiyejua kusoma ni mjinga mjinga kabisaaaBado Yule babu kibonge( MZEE MILANZI) na Yule bibi muuza duka la dawa
Yaani scene waliyompa acheze kaipatia sana, [emoji1][emoji1] hivi kumbe wanaume nao wanavaaga lens.. Eh! Ila nahisi Jay ni macho yakeJay anachekesha sana hivi anavaa lens kwenye macho ana macho mazuri
[emoji3][emoji3]na ule mwili sasaJuzi anawaambia Gati na Mbiki
Vitatange nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Muda ule ameingia ofisini na lile fuko[emoji1787]
Sijui hata ni ya nani kwa kweliKosa moja ni ya nani?
Jeraha itakuwa kali maana nimeona wale wote wanajua kuigiza
😂😂😂😂😂[emoji3][emoji3]na ule mwili sasa
Akiigiza kulia utacheka[emoji3][emoji3]jamani jamani
Yes, bi star. Umenikumbusha enzi za fukuto..Bi Star,mama Mwazani
Hana kazi mbovu yule mama,, halafu ni mkali sana hasa anapocheza na wasanii wachanga au wazembe wasio serious na kazi.
Yeye ukipangwa naye jiandae kumeza script na ujipange kweli maana anawapiga msasa wenzie kabla director hajaanza.
Hataki uzembe kabisa yule mama..
Ukiwa mzembe lazima Cha moto ukione kucheza naye [emoji1787]
Ila ni Kweli kabisa aliongea point, kwamfano nakumbuka Kuna tamthiliya ile ya siri za familia Kama umewahi fuatilia yaani wao kipaumbele waliweka mwanamke lazima uwe na tako sasa unaanza jiuliza tako na kufikisha ujumbe kwa jamii vinahusianajeNdiyo
Aliongea vizuri sana jamaa.
Anasema basi ukiona mtu hafai kucheza kiboss, tengeneza basi stori inayoendana naye..
Watu walimshangilia sana.
Mimi Ray anachoniudhi kwenye movie zake nyingi anapenda kuigiza maisha ya kifahari sanaSijui hata ni ya nani kwa kweli
Sitamani hata kumjua[emoji1787]
Jeraha inaonyesha itabamba,,
Ray ni director mzuri,,
Chuchu anajitahidi kuandaaa... Kwenye beki tatu alijitahidi kiasi.
[emoji1][emoji1][emoji1]yaani yule kama siyo mtu wa pwani pwani huko maana ana vimaneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda ule Gati anamchimba biti Tausi eti wapigane
Bi Ubwa anasema piganeni, nendeni uwanjani
Au nichukue mchanga?
Ndo mambo yangu Hayo, huku linaangua kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1]halafu Kweli banaAkiigiza kulia utacheka
Yule mama ni hatari 😂😂😂[emoji1][emoji1][emoji1]yaani yule kama siyo mtu wa pwani pwani huko maana ana vimaneno
Muda wote ni kama anataka kucheka muda wote🤣Akiigiza kulia utacheka
Ray simkubali kwenye kuigizaMimi Ray anachoniudhi kwenye movie zake nyingi anapenda kuigiza maisha ya kifahari sana
Matokeo yake ni wanatengeneza kitu bomu.Ila ni Kweli kabisa aliongea point, kwamfano nakumbuka Kuna tamthiliya ile ya siri za familia Kama umewahi fuatilia yaani wao kipaumbele waliweka mwanamke lazima uwe na tako sasa unaanza jiuliza tako na kufikisha ujumbe kwa jamii vinahusianaje