Kaka yake si alishauawa?Ngoja tuone huko mbele
Maana Inaavyoonyesha Masalu ataamsaidia Tausi kumtafuta kaka yake msituni
Rejea kauli ya Mama msichoke, alisema kile kidani msichoke aliokota msituni miaka mitano iliyopita,. Na kaka Tausi alipotea miaka mitano nyuma na kile kilikuwa kidani chake.
Hiyo mama kimbo sikuicheki niliona miyeyusho, muhusika mkuu, mama kimbo hakuigiza vizuri, hakubeba uhusika vema. Ukimuangalia unaona kabisa huyu anaigiza.Huyu jamaa kaandaa Saloni ya Mama kimbo,Kombolela na sasa Zahanati ya kijiji
😀😀Wanaume naona wanawachamba wakezao balaa nahis inapendwa mno na wanaume😂😂Kaamna [emoji91][emoji91][emoji91]
Namkubali sana anavyoongea na matendo yakeKimbembe huyo [emoji1787]
Kimbembe naona Abdul kamrudisha tena,, alimchezesha kwenye mama Kimbo.
Alikuwa anachamba huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Kunamtu alisema mumewe alikuwa hafatilii tamthilia ila tangu imeanza kaamna anamuita na mkewe wakae waangalie na maneno JuuKiukweli tunaielewa sanaa maana mwanaume mwenzetu anateseka mnoo
Namkubali sana anavyoongea na matendo yake
Mmetukosea sana[emoji23][emoji23][emoji23]Kunamtu alisema mumewe alikuwa hafatilii tamthilia ila tangu imeanza kaamna anamuita na mkewe wakae waangalie na maneno Juu
"Si unaona mwenzenu nyie Wanawake hamnakitu kabisa ndo nn Sasa"
Hadi ikiisha amechambwa vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ilikuwa ndoto Mkuu,na Aliyekuwa anaota ni Gati..Kaka yake si alishauawa?
SijajuaMh intro sikuiona kwakweli
Kwahiyo huenda ikawa na mwisho mbaya
Ile ilikuwa DemoWamependeza Kwa kweli
Ngoja tuendelee kuona nini kitatokea
Ila kabla haijaanza kurushwa walionyesha baadhi ya vipande vya kutisha,, Mwazani, Mauja sijui na Masalu yule wako porini, Mwazani akanyongwa,, nani mwingine aliona hii intro?
huna akili.Story nzuri sema azamu production yao ni low quality
Si wanajua baadhi yetu tunapenda sana Inyee hivyo target yao wanajua hutomisi kuitazama,, yaani hata kama muigizaji humpendi basi ukiliona lile linnye lake tuu unasisimka basi mambo yanakua mujarabu[emoji16][emoji16][emoji16]Ila ni Kweli kabisa aliongea point, kwamfano nakumbuka Kuna tamthiliya ile ya siri za familia Kama umewahi fuatilia yaani wao kipaumbele waliweka mwanamke lazima uwe na tako sasa unaanza jiuliza tako na kufikisha ujumbe kwa jamii vinahusianaje
Sidhani kama itafungwa..Chama Cha manesi waliiomba serikali na basata waifungie sijui iliishia wapi hiyo sakata
Oh kumbeIle ilikuwa Demo