Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Ngoja tuone huko mbele
Maana Inaavyoonyesha Masalu ataamsaidia Tausi kumtafuta kaka yake msituni
Rejea kauli ya Mama msichoke, alisema kile kidani msichoke aliokota msituni miaka mitano iliyopita,. Na kaka Tausi alipotea miaka mitano nyuma na kile kilikuwa kidani chake.
Kaka yake si alishauawa?
 
Kiukweli tunaielewa sanaa maana mwanaume mwenzetu anateseka mnoo
😂😂😂Kunamtu alisema mumewe alikuwa hafatilii tamthilia ila tangu imeanza kaamna anamuita na mkewe wakae waangalie na maneno Juu
"Si unaona mwenzenu nyie Wanawake hamnakitu kabisa ndo nn Sasa"
Hadi ikiisha amechambwa vya kutosha😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Kunamtu alisema mumewe alikuwa hafatilii tamthilia ila tangu imeanza kaamna anamuita na mkewe wakae waangalie na maneno Juu
"Si unaona mwenzenu nyie Wanawake hamnakitu kabisa ndo nn Sasa"
Hadi ikiisha amechambwa vya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetukosea sana
 
Ila ni Kweli kabisa aliongea point, kwamfano nakumbuka Kuna tamthiliya ile ya siri za familia Kama umewahi fuatilia yaani wao kipaumbele waliweka mwanamke lazima uwe na tako sasa unaanza jiuliza tako na kufikisha ujumbe kwa jamii vinahusianaje
Si wanajua baadhi yetu tunapenda sana Inyee hivyo target yao wanajua hutomisi kuitazama,, yaani hata kama muigizaji humpendi basi ukiliona lile linnye lake tuu unasisimka basi mambo yanakua mujarabu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Wahusika wanaocheza katika fani za kitàalamu japo wapate wataalamu husika wawafundishe wavae uhusika kwa 100%
Kwa mtu asiye mtaalamu wa fani hasa inayobebwa katika igizo hilo hawez ona tofaut ila wenye fani yao huwa wanajisikia vibaya kuona wakiigizwa vibaya tofauti na uhalisia
Wapitishwe au wasimamiwe na muuguzi kweli maana igizo husika hutazamwa na wenye kufahamu na wasio fahamu
 
Chama Cha manesi waliiomba serikali na basata waifungie sijui iliishia wapi hiyo sakata
 
Back
Top Bottom