Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikiona mamakeup sijui magari makaliHizi nyingine nyingi watu mda woote wapo na makeup.. Hadi muda wa kulala[emoji23][emoji23] adi unashangaa ni kwelii jamanii?
Ndo maana kuna mdau alisema kuwa japokuwa ni sanaa lakn wanaigiza kuigiza maisha[emoji23][emoji23]
Fundi ni mchezo wa hovyo kuwahi kurushwa..Fundi vp?
Vibaya mnoooo [emoji23][emoji23][emoji3]Kumbe nawe unaangaliaga
Kuna cku nilicheka mbele za watu yaan yule mnoko hadi cio poaMbwana au kimbembe
Ila anajua mnooBi Star,mama Mwazani
Hana kazi mbovu yule mama,, halafu ni mkali sana hasa anapocheza na wasanii wachanga au wazembe wasio serious na kazi.
Yeye ukipangwa naye jiandae kumeza script na ujipange kweli maana anawapiga msasa wenzie kabla director hajaanza.
Hataki uzembe kabisa yule mama..
Ukiwa mzembe lazima Cha moto ukione kucheza naye [emoji1787]
Sanaaaaa jamaniKiukweli nampenda sana huyu bi mkubwa anajua mnoo
Mimi hata siipendi [emoji2][emoji2][emoji2] naona ni preference
Mie maybe Fungu Langu, Kosa Moja na ile mpya Mwanamziki
Mie tamthiliya inayoonyesha dhiki kila saa hapana yaan plot yake imebase mazingira duni akaa mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hii scene
Na ile ya J5 hii
Alikuwa amebeba fuko la nguo
Mgonjwa anamwambia shkamoo
Anajibu shkamoo mwenyewe[emoji1787]
Umebeba Nini
Eti nywele zakoo[emoji23]
Yaani yule mama ni boonge la comedian
Bahati mbaya waandaaji wengi wameacha watu wenye vipaji kama Hawa
Ila wanatujazia watu ambao hata kuigiza hawawezi, kisa tu jitu Lina mwenekano mzuri.
Kiukweli director wa hii series yupo vzr mnooYaani hii scene
Na ile ya J5 hii
Alikuwa amebeba fuko la nguo
Mgonjwa anamwambia shkamoo
Anajibu shkamoo mwenyewe[emoji1787]
Umebeba Nini
Eti nywele zakoo[emoji23]
Yaani yule mama ni boonge la comedian
Bahati mbaya waandaaji wengi wameacha watu wenye vipaji kama Hawa
Ila wanatujazia watu ambao hata kuigiza hawawezi, kisa tu jitu Lina mwenekano mzuri.
Yule mama kazi zake zote ni nzuri sana.Ila anajua mnoo
Bora Chelsea..Kuna yule dada wa kwenye fungu langu anaitwa chelsea hajui kuigiza hata kidogoi
Bado Yule babu kibonge( MZEE MILANZI) na Yule bibi muuza duka la dawaThat’s the whole point![emoji23]
Sasa namna walivyokuwa wanajibizana asee ni kaka kweli hawaigizi, Bi. Ubwa na wenzao wako very natural wallah siwezi ikosa kutazama [emoji23][emoji23][emoji23]
Unazizungumziaje zile love story za
Mbiki na Msichoke
Tausi na Masalu
Ombeni na yule bi mzee (hii naipenda sana)[emoji23][emoji23]
Abdul safari hii ameua[emoji119]Kiukweli director wa hii series yupo vzr mnoo
Mimi mwenyewe mchezo ya vijijini sipendagiMimi hata siipendi [emoji2][emoji2][emoji2] naona ni preference
Mie maybe Fungu Langu, Kosa Moja na ile mpya Mwanamziki
Mie tamthiliya inayoonyesha dhiki kila saa hapana yaan plot yake imebase mazingira duni akaa mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli mimi ananikera jamaniHhhha nimecheka sanaa
Nzuri sana aiseeNgoja nianze kufatilia huwa nachunguliaga tu mara moja moja sana