Huyo Faru Rajabu alisilimishwa nini? maana baba yake ambaye ni Faru John ni Mkristo.Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee.
Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47.
Faru Rajabu ambaye alizaliwa mwaka 1979 eneo la Ngorongoro, mwaka 1993 alihamishiwa katika Hifadhi za Taifa ya Serengeti, ameacha watoto, wajukuu na vitukuu kadhaa.
TANAPA imeeleza kuwa wastani wa maisha ya faru Weusi ambao wapo katika kundi la Wanyama walio katika hatari ya kutoweka hukadiriwa kuwa na kati ya miaka 35 hadi 40.
View attachment 2159078
Ni aina ya faru, ambao ni tofauti na faru tuloyowazoeaIla Hii Nchi Ngumu, Wizara inatoa taarifa officially Mnyama Kufariki.
.
Faru wana uspesho Gani Mpaka akifariki Taarifa Itolewe wakati Huo Simba+swala wakifariki Taarifa Hazitolewi [emoji3][emoji3]View attachment 2159176
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikua mchapakaziR.I.P-Hakuwa na wasifu wowote Jamani...
Duh, watu mna laumu mpaka mnyama kuwa maarufu na kuwa na jinaFaru john alikua baba akiwa na miaka mitatu tu.
Hapana , sio mitatu mkuuFaru john alikua baba akiwa na miaka mitatu tu.
Huyu itakuwa kafata dini kwa mama yake mkuuHuyu Rajab yeye alibadili dini au ilikuwaje, maana baba yake John alikuwa Mkristo
Hapana , sio mitatu mkuu
2015 faru John alikufa umri ukiwa 47,
Meanwhile faru rajabu umri ukiwa 36
Kwa mwaka huo
Kama Niko sawa lakni.
Kumbuka tangazo limelipiwa 5M hilo!!Ila Hii Nchi Ngumu, Wizara inatoa taarifa officially Mnyama Kufariki.
.
Faru wana uspesho Gani Mpaka akifariki Taarifa Itolewe wakati Huo Simba+swala wakifariki Taarifa Hazitolewi [emoji3][emoji3]View attachment 2159176
Sent using Jamii Forums mobile app
Akituma unitag plz 😀Tuma namba plz
DuhNa wewe unayetoa press kutangaza kifo cha faru ufe
....Faru Rajabu ambaye alizaliwa mwaka 1979 eneo la Ngorongoro, mwaka 1993 alihamishiwa katika Hifadhi za Taifa ya Serengeti, ameacha watoto, wajukuu na vitukuu kadhaa