Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Hello jukwaa la celebs

Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto.......

Bi dada huyo ametrend kwenye social media za east africa akiwa katika mwonekano huu unaosemekana eti kaongeza Lips kwa kufanya surgery.

Wale visokorokwinyo eti kwani nini wanaume wanagossip piteni mbali maana kama uko hapa na wewe ni mwanaume mmbeya kama mimi.......changes are innevitable kwa hii dunia huwezi ishi kutegemea ushamba wako utakuwa kila siku.

Wewe kwa upande wako unaona kapendeza au kazingua hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…