Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

Ungekua mpare labda, wachaga enyewe siku mmekua vidampa mie nirudi upya class kujifunza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unataka tukoboaneee?? Lol
Mi wa kiume aiseee wewe si wakiume pia astgfuraiiiiiii 😅😅😅😅😅
 
Mi wa kiume aiseee wewe si wakiume pia astgfuraiiiiiii [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Eeeh sisi sote wa kiume, ndo maana nkakuuliza unataka tukoboaneee?

Ila ungekua mwanaume, ungenikazaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie namtaka mwanaume, sio wa kiumeee.
 
Eeeh sisi sote wa kiume, ndo maana nkakuuliza unataka tukoboaneee?

Ila ungekua mwanaume, ungenikazaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie namtaka mwanaume, sio wa kiumeee.
Unazingua dogo 😃
 
Hii ni non surgical procedure inaitwa lip fillers na sio permanent hivyo baada ya muda anatakiwa akafanye touch up ama sivyo anarudi kama alivyokuwa
mkuu habari za siku mingi
 
Halaf diamond ndio anapenda wanawake kama zuchu na sarah 😂😂😂 wanaume bana
 
Kumbe huyu dada pia waga hajielewi🙄🙄sijawahi kujua pole yake.
 
Hii ni non surgical procedure inaitwa lip fillers na sio permanent hivyo baada ya muda anatakiwa akafanye touch up ama sivyo anarudi kama alivyokuwa
Bora arudi alivyoku maana mdomo kama kitako cha kuku..
 
Back
Top Bottom