Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Akitaka kubaki hivyo maana yake kila baada ya miezi kadhaa anatakiwa akachome tena hizo sindanoAaah kumbe ya kutrend kwa muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitaka kubaki hivyo maana yake kila baada ya miezi kadhaa anatakiwa akachome tena hizo sindanoAaah kumbe ya kutrend kwa muda.
Tena umechelewa haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au mjini nimechelewa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwamba huyo miguu akaongeze Tena!Tanasha kama kubadili muonekano alitakiwa aishie pale kwenye ile shape,ama labda kama inawezekana kuongeza angeongeza na ile miguu
Usoni angepaachaga manake sura yake nzuri
Kwamba huyo miguu akaongeze Tena!
Wanawake mna shida sana hivi nani kawaambia wanaume wanapenda mamiguu makubwa kama Magogo ya Kupikia futari
Nicole si anasemaga ndivyo alivyo toka mdgo.Lile tako la Nicole kama tairi la trekta, sijui walikosea kipimo wakati wa Surgery au alifanyiwa na wanafunzi wa field.Yule aliyekuwa mke wa Momo yaani kawa kama katuni,tako kubwa mapaja na miguu membamba,yaani kama lile lungu la mmasai,rungu kubwa mshikio mwembamba.Halafu wakifika uzeeni hawajui hizi nyama zinalegea,yaani tako litakuwa lina dondoka kama zile kofia anazovaa Kingwendu.
Sasa huyu Tanasha anasura nzuri ndio kaamua kuiharibu.
Ile shape ya kutengeneza kuna picha zake humu JF walishare enzi hizo kabla ya surgery.Nicole si anasemaga ndivyo alivyo toka mdgo.
Kama katengeneza biashara imelipa sio kwa madanga yale.
Kafuata alivyofanya baba mtoto wake aka DomoView attachment 2974086View attachment 2974087View attachment 2974088Hello jukwaa la celebs
Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto.......
Bi dada huyo ametrend kwenye social media za east africa akiwa katika mwonekano huu unaosemekana eti kaongeza Lips kwa kufanya surgery.
Wale visokorokwinyo eti kwani nini wanaume wanagossip piteni mbali maana kama uko hapa na wewe ni mwanaume mmbeya kama mimi.......changes are innevitable kwa hii dunia huwezi ishi kutegemea ushamba wako utakuwa kila siku.
Wewe kwa upande wako unaona kapendeza au kazingua hapa.