Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

Tanasha kama kubadili muonekano alitakiwa aishie pale kwenye ile shape,ama labda kama inawezekana kuongeza angeongeza na ile miguu

Usoni angepaachaga manake sura yake nzuri
Kwamba huyo miguu akaongeze Tena!


Wanawake mna shida sana hivi nani kawaambia wanaume wanapenda mamiguu makubwa kama Magogo ya Kupikia futari
 

Attachments

  • 3a877bb5b67f8681440b9c03283f3860.jpg
    245.5 KB · Views: 9
Lile tako la Nicole kama tairi la trekta, sijui walikosea kipimo wakati wa Surgery au alifanyiwa na wanafunzi wa field.Yule aliyekuwa mke wa Momo yaani kawa kama katuni,tako kubwa mapaja na miguu membamba,yaani kama lile lungu la mmasai,rungu kubwa mshikio mwembamba.Halafu wakifika uzeeni hawajui hizi nyama zinalegea,yaani tako litakuwa lina dondoka kama zile kofia anazovaa Kingwendu.

Sasa huyu Tanasha anasura nzuri ndio kaamua kuiharibu.
 
Nicole si anasemaga ndivyo alivyo toka mdgo.
Kama katengeneza biashara imelipa sio kwa madanga yale.
 
Kafuata alivyofanya baba mtoto wake aka Domo
 
Tena umechelewa haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha mambo haya mbona mwana born town sana nina krismas nyingi sana dsm, bado kabla ya dar mkoani nimeishi miini kati ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ