Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

Huo nyimbo inamaanisha nini sjuagi eti wakacha warere๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndugu yangu nilikuwa nasikiliza tu zuchu akiimba kwenye ule wimbo wake wa zawadi hata sijui maana yake......labda tutafute taratibu tutajua icho ni kilugha cha kikuyu au kikamba au kijaluo ๐Ÿ˜…
 
Tanasha kawa DOMO-Tanasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ