Diamond mjinga sanaChanzo mojawapo Cha stress Kama ni mimi nakata mawasiliano kabisa, dah zari alikuja akajiona so special sasa tanasha kaja Kati ya wanawake wakuhurumiwa ni hawa waliozaa na diamond aisee
Sasa kaka mbona mama peter kanizaliaShida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.
Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!
Diamond anawadhalilishaje?kwani amewabaka?Daimond mdhalilishaji sana.. nao hawa wadada sijui zipo sawa kweli hivi ?
Kaimiss...basi sawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibu nyumbani Mrs. Nyange
Kakuzalia kwa sababu maalumu jitathminiSasa kaka mbona mama peter kanizalia
MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior wakitokea kwao nchini Kenya.
Tanasha amepokelewa na gari ya Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal 3, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Tanasha amesema amekuja kwa ajili ya shughuli za kimuziki ikiwemo ku-shoot video na Msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania Faustina Charles maarufu kwa jina la Nandy.
Achapishiwe t-shirts ziandikwe mgongoni..."NAGAWA MIMBA BURE"...!How do you find it,madam!😂😂😂😂
Hakuna raha kwa nani?Hehe kuzaa na mwanaume wenye watoto wengi mama tofauti hakuna raha kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umehakiki ni wako?
Anaongea tu huyo sababu mondi hajamfata akamtongoza na kutaka amzalie.....Shida sio kuzaa na wanawake wengi, shida ni huyo mwanaumw akiwa worth $6 Million na nchi na ulimwengu mzima unamjua. Hapo ndipo wenzio walipokwama.
Kwa mie kajamba nani sina jina mjini wala pesa za kuzidi ni rahisi kufanya maamuzi ya kunipiga chini. Najua utabishana ila nimeamua kwenda straight to the point. Mwanamke hakuzalii kama huna kitu special kwenye jamii, either respect, money or fame!
Tanasha has a classMambo ya co-parenting hayo......zamu kwa zamu.
Ila nampenda tanasha Hana tashitit
Yule mswahili mwenzetu ametuzidi kumwaga ung’eng’e tu.Yule kweli ana damu ya kizungu, hana uswahili kabisa[emoji122][emoji122]
Kama kawaida tamasha tarehe 30 sasa kila kick muhimu sana ndio wakati wake huu na bado tutaona mengi kukiwa na dalili za kupungua kuongelea ataita press sasa kuongelea ya baba yake muhimu kick mwanzo mwisho.
Vujana tafuteni fezwaa narudia tena tafuteni fezwa
Sio kuwaweka wanamtegeshea siku zamimbaSisi wanaume wote tuko kama Diamond, sema tofauti ni kwamba mwenzetu yeye kaamua kuwaweka mimba kabisa.
Shida si wanawazaga mgao 😂😂😂 yani mtu anawaza ile mi Vieite na Ji Prado basi K inalegea kabisa. Hasa akitiwa mjengoni Madaleni full AC na ma furniture ya gharama.Hana ishu huyo...
Mwanamke anajua kabisa mwanaume yule ni malaya sana na bado anajipeleka kutafunwa sembuse kuzaa nae...