Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

mimi naegemea kwenye point yangu ya afya ya akili

kuna magonjwa mabaya sana ya akili yanafanya mtu anakuwa katili sana mfano psychopathy

shida ni kwamba huwezi kujua moja kwa moja kwamba mtu ana shida ya akili au la

halafu nimewahi kusikia kuna wanawake wanavutiwa na wanaume wenye magonjwa flani ya akili
Ugonjwa wa akili husababishwa sio kitu kinatokea from nowhere e.g migogoro ya mahusiano imepelekea gonjwa la akili kuenea
Watu kusalitiana imekuwa sio tu kawaida Bali ni fahari Sasa huyu msaliti na anafurahia kusaliti ndio psychopath na sio muathirika
 

Attachments

  • 20240824_181954.jpg
    20240824_181954.jpg
    2.6 MB · Views: 3
Back
Top Bottom