TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi.

Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na watumishi wanauhujumu zaidi wapate sababu ya kupiga pesa maana wataandika bajeti ya dharura kuurekebisha.

Bila kuwa na sheria km za China hii nchi haitafika kokote.
 
20241029_101409.jpg
 
Back
Top Bottom