TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

Watangaze mgao watu wawe na uhakika na kazi zao,imagine mtu biashara yake inategemea umeme kwa inshu zinazohisiana na fridge
 
Mi nasema hakuna Jembe zaidi ya Mwamba JPM...
na huku mnakipigo cha Tozo hee...

Mpaka siku mpate akili watanzania
 
Watangaze mgao watu wawe na uhakika na kazi zao,imagine mtu biashara yake inategemea umeme kwa inshu zinazohisiana na fridge
Kama vinyozi sijui hali ikoje ukimuongezea na mzigo wa Tozo...
Mbona maji anaita Mma
 
Naona hujamwelewa, ninafikiri alikuuliza huko uliko mambo ni safi hakuna mgawo wa umeme?
Oooh sorry sikumget ,of course 24/7 naenjoy na solar yangu Ilolo village hapa.
 
Kiulaini tu. Unawalipa chawa wako kama akina Nyerere wanakupigia debe unakuwa rais🤣
Hatari sana!!kuna kile kingine kifupi cha futuhi, ukikiangalia kimechoka, halafu, kina leta mipasho kwa wanaopinga tozo!!
 
Najua na ndio maana yuko hapa kutusanifu.
Hakuna tatizo naye aliko wanamsanifu...sio kwa ubaguzi ule na upweke😂
Kuna wakati naiona nchi yetu ni bora sana kama tungerekebisha madhaifu yetu hasa huduma za jamii
 
Back
Top Bottom