TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

Tulieni nyi s ndo mnaosema huko ni nchi nyngine mwajiita USA [emoji1787] kwaiyo pambaneni na haLi zenu[emoji1787][emoji1787] watu wa usa
 
Yule cowboy mlimchumkia mpaka mkafanya party alivyouliwa,endeleeni kuandaa party jamani wa old Moshi uru machame meru wote Mana aliwachukia. Wekeni heshima bar jamani ,mshamba na masikini na bornvillage
Sasa mtu anaongelea Arusha unataja sehemu zingine kabisa. Yani kuna vibwengo hii nchi 🤣
 
Si Arusha tu ni Tanzania nzima, yan hali ni mbaya, tunaishi kwa timing, TANESCO waki ku time unashindwa sm Haina chaji. Hii hatari
 
Uchaguzi ijao tumia zaidi kichwa kuliko miguu katika kupiga kura yako, wilaya zimegubikwa mno na kamati za ulinzi na usalama na SIO kamati za maendeleo za wilaya!
 
Mambo haya tuliyashuhudia awamu ya nne mgao wa umeme, maji na mengine mengi awamu ya tano tulisahau mambo hayo, awamu ya sita yamejirudia mambo ya awamu ya tano. Kweli tutamkumbuka Jiwe (rip)
 
Back
Top Bottom