Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Shida huleta maarifaAaah...
Ndo hivyoo watafanyaje na ndo wako Kwenye Tanzania yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida huleta maarifaAaah...
Ndo hivyoo watafanyaje na ndo wako Kwenye Tanzania yao
Aaah...Hao wanalala tu.
Wapo waliojiongeza wanatumia mashine za betri na kuchaji
Haukatiki. Ukikatika wanatoa notice one week in advance na Tena mida ya daytime too. Mkuu ushaishi uingereza unafaham tu.Huko kwenu pia umeme unakatika hovyo?
Kwa mmatumbi iyo hamna. Amekuwa na shida miaka nenda rudi lakini akili yake iko stagnant na retartedShida huleta maarifa
Kwa Bongo la maarifa ya kuiba.Shida huleta maarifa
HahahaKwa Bongo la maarifa ya kuiba.
Tanesco Arusha, je sasa ni rasmi mgao wa umeme?
Mbona hamjatangaza?
Ndugu wanaJF, ni takriban wiki 3 sasa Tanesco Arusha wanakata umeme kila siku kuanzia saa 3 asubuhi na unarudi jioni sana.
Maeneo mengi yanaathirika na kadhia hii hasa Meru na Arumeru kwa ujumla.
Na maeneo kadhaa ndani ya jiji la Arusha.
Jambo la kushangaza ni kuwa Tanesco mkoa wa Arusha hawajatangaza rasmi ili wananchi wachukue tahadhari au kupangilia kazi zao.
Kwa wajasiriamali wanaotegemea umeme kama salon za kike na kiume, stationery, wenye baa, welders nk wameathirika sana kwa kushindwa kufanya kazi zao ipasavyo.
Je, kwanini wasitangaze tu huu mgawo ili raia wajipange?
Tatizo nini hasa?
Niko apa morombo nakula maisha dingi😂😂😂Unateseka ukiwa wapi dingila🤣
Dingii hapo kuna chalii inaitwa Joshua masai fikani uliize inachoma nyama hatari hebu iulizie bhana😂Niko apa morombo nakula maisha dingi😂😂😂
Inaenda hadi lini? Njiro huku wanakata hovyo hovyo
Hawajasema hadi lini kwahiyo zoezi linaendeleaInaenda hadi lini? Njiro huku wanakata hovyo hovyo
Tunateseka na mgao mkali wa umeme yapata miezi miwili Tanesco mjirekebishe