TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

Kwa sasa ofisi tunafunga saa tatu usiku. Cha kushangaza Jana nipo maeneo ya Murieti umeme upo mpaka jioni halafu sisi wa mjini kati ofisini hakuna umeme mpaka jioni
 
Wazee wa Arusha hamna hela ya majenereta na solar.
Zamani nilikua nafikiri watu wa Arusha wanahela, kuumbeh.
 
Wiki ijayo tuna Kongamano kuhus nishati safi ya kupikia, tukimaliza tutandaa Kongamano la nishati safi ya kuwasha taa, kuwasha TV,kuchomelea mageti, Vinyozi n.k.

Step by step.
 
Sasa mtu anaongelea Arusha unataja sehemu zingine kabisa. Yani kuna vibwengo hii nchi 🤣
Kwani waliojaa ama walioijaza ama walioshikiria Arusha Ni wa wapi unadhani kama hatuijui nchi yetu. Arusha ukiwa na biashara lazima watu wajue Kama Ni wa kwao ndio waje kununua kwako. Iko Kama Kenya umeshawahi ishi
 
Habari za mchana wadau, kwa kweli hali ya mgao wa umeme jiji la Arusha imezidi. Shughuli za maendeleo zinakwama, kuanzia asubuhi mpaka usiku kila siku!. Hii ni hatari.....kuna manager wa Tanesco kweli??
 
Na mwaka huu wembe ni ule ule. Hakuna rangi hatuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…