TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Unfortunately I don't believe in the whole supersistious enterprise of blessings. Neither do I need it.
Fair enough, I suppose you might as well be cursed, and for that matter you need HELP!
 
Fair enough, I suppose you might as well be cursed, and for that matter you need HELP!

As far as I am concerned a blessing and a curse are two sides of the same coin, the blessing being positive and the curse being negative.

That is to say, If I don't believe in the supersistion of blessing, I also do not believe in the supersistion of cursing.

Curse me a googolplex times.

Hata Waswahili walisema dua la kuku halimpati mwewe.

If there is anybody who need help it will be the one who believe in superstition, not the one who is rational.

Unaamini n uchawi pia? Al badiri? Voodo? Hebu nichanganyie vyote hivyo halafu nitumie tuone.
 

Ha ha Good point you have there!
In actual fact you almost made my point. I am not only rational but also religious as well.
And I dont beleive that Bluray is Omnipontent or Infinite becase if he was, you would not be a man of this world,
But coming to uchawi,Al badri, vodoo, if at all I also believed in it I would have thrown it all the fisadis in TZ.
Like Nyerere said," anayejua kuwa uchawi upo, basi akanilogee makaburu maana wananisumbua sana huko kusini mwa Afrika."
Of course nobody took up the challenge.
Big up for not beliving in the negative , but also you need to believe in the positive.
Above all as we retire into our beds pray for Zitto to do the right thing.
 

Kaka nakuunga mkono kwa hili.

Tatizo humu ndani kuna watu ama hawana hulka ya kutambua na kuheshimu ethics, integrity, principles and even their vision for Tanzania is absoluty MEDIOCRE...na zaidi hawana upeo wowote wa kutambua umuhimu wa vigezo nilivyovitaja hapo juu katika masuala ya uongozi hata wa familia ukiachilia mbali wa Taifa

Ukiangalia michango yao, aina ya watu wanaowapigia debe na hata mitizamo yao katika masuala ya nchi na jamii yetu, unabaki kujiuliza tumefikaje kuwasimika watu wa aina hii katika usukuni wa OPINION MAKING sio hapa jf tu lakini hata katika vyombo vyetu vya habari...

Naamini hili ni tatizo kubwa zaidi linalosibu nchi yetu zaidi hata UFISADI.

omarilyas
 
 

- Tatizo sio anything to do na hiyo bold yako, isipokuwa unaongelea kitu ambacho hapa jukwaa la siasa sio mahali pake, na infact hata kwenye hiii topic sio mahali pake, sasa kwa mtu unayedai una high IQ, haingii akilini kwamba unaweza kuja kujenga misingi ya uandishi wa habari mahali pasipohusika, ndipo ninapokuna a very much low IQ isipokuwa unajaribu tu kujisheua sheua na kujifanya umeenda shule,

- Mkuu shule ipi hiyo waliyokufundisha kwamba Jukwaa la siasa ukafundishe sheria za uandishi wa habari? hivi hujui kwamba chini kule kuna jukwaa la sheria, labda ungeenda kule kufundisha hizo sheria zako za habari hapa sio mahali pake, sasa kama hata hili dogo tu linakupa taabu kuelewa itakuwaje makubwa ya taifa kama haya ya Zitto na misimamo yake, acha matusi wewe nenda tena shule ile uliyosoma kwa hela za hili taifa bila ya kuzirudisha umezipoteza bure mkuu!

Respect.


Field Marshall Es!
 

- Mkuu Pasco, finally you are talking, lakini ya mwandishi wa Kulikoni na anything sisi hayatuhusu hayo ni ya gazeti lao huko huko, Jf kazi yetu ni kuchambua habari muhimu kwa taifa letu bila ya kujali ameleta nani,

- Cha muhimu hapa ni kujua tu kwamba hii habari ni ya ukweli au sio kweli, hii habari so far ni kweli sasa, mengine ya sheria yake hayo ni yenu huko pembeni mkayamalize huko huko, hapa tunajadili the context na umuhimu wake kwa taifa letu, kama waandishi wamepata message au hawakupata again ni none of our JF business, kwa sababu aliyeileta habari hapa ameileta kwa njia ile ile inayokubalika hapa JF ya njia ya ID fake, na it is none of our business,

- I mean otherwise kwa nini serikali na viongozi wake wahangaike kutusikiliza JF, iwapo tunatumia majina ya bandia na kutoa dataz ambazo hatukuzipata kisheria, eti mkuu kuna dataz hapa tunazozitoa kila wakati na kuitesa serikali ambazo tumewahi kuzipata kwa njia ya halali kisheria?

- Mkulu Pasco kwa maneno yako na wale wote mnaoungana mkono, ni kwamba serikali na viongozi wetu wana haki ya kutokutusikiliza, halafu mnadai eti wanaowapinga kihoja ni medocrity sasa tunajiuliza exactly hao low IQ hapa ni nani hasa, maana mnadai waandishi hawakupata ruhusa ya Zitto na maneno yake mwenyewe, sasa tunawauliza hizi habari na data tunazojadili hapa JF kila kukicha huwa tunapewa ruhusa wahusika kuzileta hapa?

- Kama hatupewi then kwa nini msiopenda kuvunjwa kwa sheria za uandishi mnashiriki kuzijadili, sasa hapa ndio utapata exactly nani ni mediocrity na nani ni low IQ, na inasikitisha sana kutumia maneno makubwa makubwa ambayo hamuwezi kuya-define na kuyatumia inavyotakiwa na in the process mnaishia kuonyesha uwezo wenu wa kufikiri na ku-comprehend complex ishus za taifa ulipo!

- Poleni Sana Wakuu!, ila sisi tutandelea hapa Jf kuchambua ishus ambazo tunajua wazi kwamba zinaletwa bila ruhusa ya wahusika, as long as ni masilahi ya taifa letu!


Field Marshall Es!
 


- Mkuu unajua swali ni kwamba hili la "Journalistic Integrity" umeligundua lini kwamba ni tatizo hapa JF? Mimi ninachojua ni kwamba siku zote haoa zinaletwa habari nyingi ambazzo hazijawahi kutolewa ruhusa na wanaohusika hasa viongozi wa taifa letu, lakini hata siku moja sijakuona ukilia kwamba Journalistic Integrity imeharibiwa, sasa leo kwa sababu yamemkuta Zitto ndio imekwua kilio cha Journalistic Integrity, sasa hiyo ndio hasara yenyewe mkuu kwa wewe mwenyewe unayeililia,

- Kuanzia leo mkuu waombe watawala wa JF, tuanze kufuata hayo ya Journalistic Integrity na iwe kwa viongozi wote sio mpaka zkiguswa Zitto tu ndio inakwua tatizo, mkuu poleni sana maana kama unavyosema mwenyewe tunakwua kama tunampigia mbuzi gitaa tunapowaambieni kwamba sheria za journalistis Integrity hapa sio mahali pake yaani kwenye ishu inayomuhusu Zitto tu, that is a big joke!

FMEs!
 
 

........in addition..........inasikitisha sana pia kuona watu wanafikiri kuwa wanajua.........kumbe hawajui kuwa hawajui.........and the same person anaongelea mediocrity, logic and IQ........duh!
 

Mimi mbona nalalamika na waandishi wa habari kila siku hapa FMES? Ina maana ndiyo leo unaniona nalalamikia uandishi wa habari? Mbona kuna threads lukuki nawabalasa hawa waandishi wa habari mbuzi?

Halafu zaidi ya hapo, hata kama ningekuwa naanza leo, the fact kwamba naanza leo kuwabalasa waandishi wa habari haliondoi makosa yao, kama yapo.Kwa hiyo swala la msingi liwe whether makosa yapo au hayapo, sio nimeanza kuyaona lini.

Mimi nimeongelea journalistic integrity zilipofanyiwa photoshop picha za Salim, nimeongelea integrity mara kibao tu hapa ukitaka naweza kukaa chini nikaachambua posts zangu.Wasomaji makini wananijua nilivyokuwa nawakandya king'ong'o waandishi wa kibongo.

Nawakandya kama wengine wanavyosema sala ya bwana.

Nawakandya ninavyoamka, nawakandya ninavyolala.

Juzi tu nimetoka kuwasemea mbovu waandishi wa habari wamemnukuu rais Karume wa Zanzibar bila kuweka direct quotes na kufanya serious distortion ya message.Kama huoni haya yote eithr husomi JF au unayafumbia macho kwa sababu zako.Na mimi najua kwamba unasoma, kwa sababu posts ni lukuki, kwa hiyo labda weye utueleze kwa nini unataka kusema uongo kwamba mimi sijaongelea journalistic integrity mpaka leo kwenye issue ya Zitto?

Leo unataka kusema hujona hayo yote? Umeyaona leo ninavyoongelea hii issue allegedly ya Zitto?

Sasa kibao kinakugeukia wewe, kama hujaona hizi mara zote na umeona mara hii tu ninapoizungumzia hii issue anayosemwa Zitto, inawezekana weye ndiye mwenye kijiba na Zitto?

Kama nilivyosema, arguments weak, inconsistent, illogical, incoherent basi tabu tupu.
 
FMES,
Mkuu wangu taratibu, taratibu nasi tupate kufahamu kinachoendelea. Hizi habari zilizoandikwa hapa kama sikosei ziliandikwa siku zile Zitto alipozungumzia kuhusu ununuzi wa Dowans, na pia ilifikia wakati alimsifia Rashid kwa sababu alikuwa upande wa Wataalam..na wapo wengi hapa wanaojaribu leo kuharibu jina la Zitto walikubaliana na Zitto kwamba Wanasiasa ndio pingamizi kubwa la Watalaam wetu kiasi kwamba sifa zilitolewa kuhusiana na maamuzi ya Wataalam dhidi ya wanasiasa kina Shelukindo..Rashid alipewa sifa na wengi tu hapa JF kwa kuwa alikuwa upande wa Wataalam na sisi kina mapimaji tulifahamu kwamba Zitto kawekwa sawa tu. hakuna cha Mtaalam wala mjomba wake isipokuwa ni deal la Rostam na Lowassa kuonyesha umuhimu wa Dowans.

Wengi wetu tulipinga sana mawazo ya Zitto.. Na nakumbuka tulifika mbali sana kiasi kwamba Zitto mwenyewe alipotea kwa muda mrefu pasipo kuingia hapa JF..Sasa kinachonishangaza ni kwamba haya maneno yamenukuliwa tena na kurudishwa hata baada ya huyo Zitto kugeuza ushauri wake kwa serikali na kupendekeza Dowans itaifishwe...Na katika maelezo yake ya mwisho sikusoma mahala wala sehemu ambayo Zitto alimsifia Rashid kama CEO bora kuliko wote ktk mashirika yetu YOTE.

Ndicho kilichonisukuma mimi kuuliza, pengine nilipitwa na hadithi hii mpya..Sidhani kama Zitto anaweza kumsifia Rashid kiasi hicho wakati akielewa wazi kwamba Tanzania tuna dams za Hdro power zenye uwezo wa kuzalisha MW 4,700 lakini tunazalisha ONLY less than 15 percent na hakuna kiongozi yeyote aliyeweza kurudisha nguvu hizo hata zikafikia nusu ya mtaji tulokuwa nao mkononi. Ni katika mtaji kama huu tunayakuta mashirika yote ya Umma ambayo yalitaifishwa yalivyoboronga tukamlaumu Nyerere, wakati sisi wenyewe tumeshindwa kabisa kuyaendeleza tukiwa ktk mfumo bora wa kiuchumi..
Hivyo, swala hapa la uongozi bora sijui Rashid amepimwa ktk kundi la viongozi wabovu na uafadhali wake ama vinginevyo...
 
 

- Mkulu Pasco, huyu unayemsema ni Zitto yupi mbunge au mwingine, ndio maana tumesema mnaposema wanaowapinga kihoja kwamba wana Low IQ, tunashindwa kuelewa exactly nani hasa mwenye High IQ na nani mwenye Low IQ?

- However on a serious note: promise sasa ninapumzika nimesema ya kutosha mwenye macho aone mwenye masikio asikie, Mkulu Zitto waswahili wana msemo mmoja unasema hivi "ngoma ikila sana basi iko njiani kupasuka", wakuu wote mlioshiriki this great debate thanks a lot Wakulu Pasco Mzee wa high IQ, Mzee wa High IQ Bluray, Mkulu wa longtime Ogah, Ndugu yangu Lole Gwakisa, ninasema shukrani kwa mjadala deep sana, in the process nimejifunza mengi sana na kwa hapa naomba kuweka kalamu chini na tukutane tena kwenye mijadala mingine ila one thing ni tusisahau kwamba taifa alyways ni mbele kwanza!

Respect.


FMEs!
 
Field Marshall unaweka chininkalamu kwa msingi gani wakati mjadala haujaisha?

Umeniita mimi mtetezi wa Zitto wakati mimi mtetezi wa maadili ya uandishi wa habari, umeniomba nikuletee matundiko niliyoweka hapa kuthibitisha kwamba mimi nilikuwa mtetezi wa maadili ya uandishi wa habari kabla ya hili swala la Zitto.

Haya hapa nakuwekea, sema jengine.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...eading-zenu-kwenye-magazeti-3.html#post677742

Angalia mtiririko wangu katika thread hii

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/44084-karume-no-elections-next-year-in-zanzibar-if.html

Hususan kuanzia post ya tatu hapa

https://www.jamiiforums.com/660633-post3.html

Halafu mifano mingine michache ya harakaharaka kuhusu activism yangu for "Journalistic Integrity" kabla ya hii issue ya Zitto, activism ambayo itanionyesha kuwa ni non partisan advocate wa journalistic integrity regardless ya siasa, contrary ya unavyotaka kuni paint wewe hapa.


https://www.jamiiforums.com/670154-post23.html

https://www.jamiiforums.com/667945-post38.html

https://www.jamiiforums.com/665989-post6.html

Kama una matatizo kuona hiyo link ya kwanza ninakucopia hapa chini

Niliandika haya 16th November 2009,

Niliquote article


President Karume told reporters at Zanzibar Airport on Saturday evening that the elections would not be held if all eligible Zanzibaris would not be registered.

Nikakosoa uandishi potofu huu kama nilivyoonyesha katika link hapo juu, nawakilisha tena chini hapa.


Haya niliandika November 16, naongelea "Journalistic Integrity". Kwa hiyo usiseme nimeanza kusema journalistic integrity kwenye issue ya Zitto kwa sababu ya kumtetea Zitto, kwa sababu ya unazi, utakuwa muongo.Ninaweza hata kukuletea posts nilizomlima Zitto hapa.



 
FMES,


Mimi ni tabia yangu kusagasaga hoja zisizo na uti wa mgongo kama zako, na kama utaona hicho ni kijiba hayo ni maoni yako


There you go again with your vague plethora of uneducated randomness, "kuruhusiwa legally" maana yake nini? Mimi naongelea credibility ya source, ongea kuhusu credibility ya source nitakuelewa, wewe usharukia kwenye "kuruhusiwa legally". Tatizo muandishi wenu kama nyie, wote mmekimbia umande, hamjui na hamjali kwamba huwezi kuokoteza habari kwenye internet forum ukazi publish bila verification.

Sasa this is quite different na articles za watu waliohojiwa in person, habari zikaandikwa magazetini halafu zikaletwa JF. J aribu kujifunza na kuona tofauti.

Na kama kuna tatizo jingine la integrity ya uandishi, ni kawaida yangu kusema, kila siku, kwenye habari za watu wengi tu, si Zitto. Mifano hiyo hapo juu.Nimeongea hili alipoonewa Dully Sykes rapper wa bongoflava ambaye simjui siasa zake, nimeongea hili alivyokuwa distorted bila direct quote Amani Karume wa CCM na ninaongea kitu hiki hiki waandishi wanavyoandika bila proper sourcing katika issue ya Zitto wa CHADEMA. Nimeenda full political spectrum, kutoka mtoto wa mjini asiyejulikana political affiliation, kwenda Karume stalwart wa CCM, kwenda Zitto wa upinzani, sasa na wewe nikuulize mbona hukunijia juu nilivyoongelea kwamba habari ya Karume imekuwa distorted? Au ni kwa sababu unaendekeza ushabiki fulani?


Wapi nimesema mimi mtu clean? Nionyeshe niliposema mimi mtu clean.Hapa tuna matatizo on so many levels.Matatizo ya comprehension, matatizo ya honesty, matatizo bila shaka ya upeo.

Wapi nimesema mimi mtu clean?

Kuingia na jina la forum ni haki ya hii forum.Na wala haifuatishi kwamba ukiingia na jina lako ndiyo utatoa the best contribution.Kuna maswala mengine mazito yanahitaji privacy na anonimity kuyasema kikamilifu, wewe mwenyewe umeingia na jina la bandia.Kulikuwa na kina "Publius" huko kina Andrew Jackson na John Jay wameandika "The Federalist Papers", walikuwa wanamwaga utirio wa uhakika kuhusu freedom na democracy Marekani miaka hiyo wakati Marekani ndiyo kwanza inakaa sawa, lakini nchi haikuwa tayari kwa ideas zao, wakatumia pen names.Hili si jambo geni, lishatokea sana.

Mara nyingine natamani forum nzima ingekuwa anonymous, kila post anonymous, labda tungeweza kuangalia zaidi kinachozemwa badala ya anayesema.Maana wengine tushaanza ku form bias, kwamba kitu akisema Bluray lazima kiwe hivi, FMES kiwe vile.

Kwa hiyo ncontrary to your idea kwamba mtu anayekuja na jina lake hapa ndiye msafi sana, actually mimi naona kuja na jina lako kunakupunguzia uhuru wa kuongea.Kuna watu wanamkoma nyani giladi hapa, wanaweka wazi mpaka ufisadi wa families zao wenyewe katika maslahi ya umma, sasa wewe unasema watu hawa waje kwa majina yao? Haiingii akilini, kwa sababu haitajenga bali itabomoa tu.

Kwa hiyo, hiyo hoja ya kuja na jina langu ni distortion tu kutoka main issue hapa, haina msingi, ni weak kabisa.Unarukaruka tu kutoka hapa kwenda kule all over the place kama mfa maji ambaye kashindwa kudeal na mambo ya journalistic integrity sasa anataka kuwayayusha watu na vijimambo lukuki.

Unaposema "tujadili hoja, si viroja" unajisema mwenyewe.Umeshindwa kujadili hoja ya "Journalistic Integrity" sasa unarukia viroja visivyo msingi vya kutaka kulazimisha watu waingie na majina yao wakati chata letu la JF linaprotect privacy na aninimity kwa hali ya juu ili watu waweze kumkoma nyani bila mashaka yoyote, wewe mwenyewe ukiwa mmoja wa wafaidika wa provision hii.

Acha kuchekesha kwa kuja na self defeating arguments.


Lazima uombe maji ya kunywa kwa sababu unapata kipigo intellectually ambacho hukuwahi kupata. Huelewi maana ya integrity, huwezi kumwambia mtu "kama wewe una integrity nenda kaanike social security number yako kwenye internet, unaogopa nini, wewe si una integrity"

Kuna kitu kinaitwa privacy, inaonekana hiki kitu kimekupitia kushoto.Kila mtu yuko entitled to privacy.Mimi included, wewe included, ndiyo maana hukuja na jina lako hapa, umekuja na alias.Mtu kuja na alias haina maana mtu kakosa integrity - nenda kasome historia ya "The Federalist Papers" na mtu aliyejulikana kwa jina la Publius uone jinsi watu walivyoshusha issues za taifa lao vilivyo, wanasomwa mpaka kesho katika madarasa ya falsafa na sayansi ya siasa, lakini wali value privacy yao na walifanya hivi kwa kutumia pen names.

Again,

Nakufunga kwa kamba yako mwenyewe, nakuhukumu kwa sheria uliyoileta mwenyewe. Stick to hoja, acha viroja.

Hoja tulikuwa tunaongelea journalistic integrity, imekushinda unaenda kuokoteza viroja vya kunitaka kuniingiza mkenge ni jeorpardize privacy yangu halafu wewe na Gestapo wako wa CCM mje kutaka kuniharass?

I wasn't born yesterday. Kisoda ulichofungua kimeandikwa "Jaribu Tena"
 

Mzee nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo la nchi yetu ukienda inavyotakiwa katika maadili ya kazi utakumbana na vizuizi vingi na nina imani ndicho kilchopelekea Dr Rashid kumwandikia barua Rais ya kutaka kujiuzulu.

Kwa waliokuwa karibu na wanaomfahamu vizuri Dr. Rashid katika utendaji wake walimshauri vizuri raisi kwa kutokubali kujiuzulu kwake.

Nina uhakika akiwekwa CEO mwengine Tanesco itarudi pale ilipotoka na kingine ninachojiuliza kama hizo kasha alizokuwa nazo ni za kweli kwanini wamcheleweshe mpaka sasa?

Ni majungu tu ya wasiopenda maendeleo ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…