Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
Yaps!
Then hakuna haja ya kuniambia niwe serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaps!
Be blessed mkuu!Then hakuna haja ya kuniambia niwe serious.
Be blessed mkuu!
Fair enough, I suppose you might as well be cursed, and for that matter you need HELP!Unfortunately I don't believe in the whole supersistious enterprise of blessings. Neither do I need it.
Fair enough, I suppose you might as well be cursed, and for that matter you need HELP!
As far as I am concerned a blessing and a curse are two sides of the same coin, the blessing being positive and the curse being negative.
That is to say, If I don't believe in the supersistion of blessing, I also do not believe in the supersistion of cursing.
Curse me a googolplex times.
Hata Waswahili walisema dua la kuku halimpati mwewe.
If there is anybody who need help it will be the one who believe in superstition, not the one who is rational.
Unaamini n uchawi pia? Al badiri? Voodo? Hebu nichanganyie vyote hivyo halafu nitumie tuone.
Nakuonyesha tu kwamba kuongelea kitu kama "journalistic integrity" kwa watu fulani ni sawa sawa na kumpigia mbuzi gitaa, au kujaribu kumfundisha ng'ombe superposition ya quantum physics.
Angalau kuna watu wengine wanaelewa, kuna wengine hasara tupu hap.
Na kukumbatia mediocrity ndiyo hallmark ya uelewa kwako? Mimi sikumbatii hii humility potofu inayotusababisha tuwe nyuma mpaka leo, mtu akichemka kachemka na anaambiwa, kitu na box, mambo ya transparency.
Habari za kuleana kuleana, heshima heshima za uongo si ndiyo tunayoyalalamikia hap kila siku kwamba yanafuga ufisadi na kutusababishia matatizo lukuki? Kama tungekuwa na transparency tungekuwa na matatizo yote tuliyo nayo sasa? Sasa kama mimi nakuona unachemka kwa nini iwe ujinga kwangu kusema kwamba unachemka na unaongea kama mtu asiye familiar na concepts basic kama journalistic integrity? Unaona kitu academic kichizi wakati kitu kina athira direct.
Mtu akiwa hana argument anaambiwa hana argument, mtu akiwa na weak argument anaambiwa ana weak argument, mtu akija na argument hazijaenda shule anaambiwa, no apologies.
Sasa kama kuna utamaduni wa kulea mediocrity unaosema ili uonekane una akili inabidi uwe na upole wa kijinga, wa kufuga mediocrity, mimi siamini katika akili hii.
- Bwa! ha! ha! angalau hapa unakubali kwamba na wewe ni mediocrity exactly unayowalalmikia wengine, nilifikiri unajaribu kusema kwamba wewe una high IQ, kwa hilo mkuu hapana huna na wala hapa JF sio mahali pake pa kuzipima, pole sana ila ukitaka kujadili high IQ na Low IQ na pia mediocrity anytime mkuu, sasa ninavua ustaarabu na niko tayari kuongea lugha yako!
- Now lets talk kuhusu hii low and high IQ, bring it on sasa niko tayari mkuu!
FMEs!
I am bold and outspoken.Kama huoni umuhimu wa principles za uandishi wa habari katika kujenga taifa bora basically unachoniambia ni kwamba sio tu hujaenda shule na kwamba hata kama umeenda shule umetupa hela tu, bali pia unaniambia kwamba hata kujielimisha mwenyewe kwa kushika vitabu na kusoma kutoka maisha umeshindwa.
Namshukuru Tina kwa kuleta mjadala huu, namsikitikia Zitto kama kweli atakimbia jumla hapa JF, lakini pia naamini mwandishi wa Kulikoni alie rip hapa JF na mhariri wake kuipitisha kuwa headline story yao, inashusha credibility ya gazeti lao ambalo lilishajipambanua kwa investigative journalism hapo mwanzo, likaja kwenye witch hunting, to character assasinations sasa limeingia kwenye shoptalks za vijiweni linaelekea kaburini kama sio kugeuka la udaku!.
Naamini pamoja na mwandishi kuwako humu, na kutojitokeza kuutetea utumbo wao, hiyo inamaanisha somo kwake pia limeeleweka, natanguliza shukrani.
Nakuonyesha tu kwamba kuongelea kitu kama "journalistic integrity" kwa watu fulani ni sawa sawa na kumpigia mbuzi gitaa, au kujaribu kumfundisha ng'ombe superposition ya quantum physics.
Angalau kuna watu wengine wanaelewa, kuna wengine hasara tupu hap.
Kaka nakuunga mkono kwa hili.
Tatizo humu ndani kuna watu ama hawana hulka ya kutambua na kuheshimu ethics, integrity, principles and even their vision for Tanzania is absoluty MEDIOCRE..
- Mkuu Omaar, kama kweli wewe ungekua unalifahamu vizuri hili usingekuwepo hapa JF, ambapo kila kukicha tunachambua ishus za taifa na viongozi, ambazo huletwa hapa bila ruhusa za wahusika, sasa muwe waangalifu maana mnaishia kujitukana wenyewe!
.na zaidi hawana upeo wowote wa kutambua umuhimu wa vigezo nilivyovitaja hapo juu katika masuala ya uongozi hata wa familia ukiachilia mbali wa Taifa Ukiangalia michango yao, aina ya watu wanaowapigia debe na hata mitizamo yao katika masuala ya nchi na jamii yetu, unabaki kujiuliza tumefikaje kuwasimika watu wa aina hii katika usukuni wa OPINION MAKING sio hapa jf tu lakini hata katika vyombo vyetu vya habari...Naamini hili ni tatizo kubwa zaidi linalosibu nchi yetu zaidi hata UFISADI.
omarilyas
- Upeo wa bina-adam hupimwa na maneno na matendo ya yule bina-adam, hivi kweli mkuu Omaaar tukienda hivyo Avenue, mkuu utasimama hapa JF kama hivi unavyotukana watu hapa? Eti kweli mkuu unataka twende hiyo Avenue are you serious unatka tukuchambue on that Avenue?
- Maana kwa haya maneno kama ninakuelewa ni kwamba wewe ndiye mwenye uwezo mkubwa sana kimawazo, katika kufikiri binafsi na kuiongoza familia yako kama unayo kwa hiyo wewe ndiye unayefaa kuwa Opinion Maker mkuu Omaaar eti ni kweli haya mkuu?
- Watu wengine bwana mbona mnachekesha sana, tupingane kwa hoja wakuu hayo ya personal pelekeni huko pembeni hatuyahitaji hapa JF, huu ni uwanja wa siasa na kwa kawaida huwa tunajadili ishus zinazoletwa hapa kwanza kwa kudai ukweli wake, ndio maana kule chini kuna uwanja wa tetesi, habari yoyote isiyo na ukweli hushushwa kule, msianze ya pesonal maana hamtayaweza! tujadili taifa!
Respect.
FMEs!
- ..........inasikitisha sana kutumia maneno makubwa makubwa ambayo hamuwezi kuya-define na kuyatumia inavyotakiwa na in the process mnaishia kuonyesha uwezo wenu wa kufikiri na ku-comprehend complex ishus za taifa ulipo!............Field Marshall Es!
- Mkuu unajua swali ni kwamba hili la "Journalistic Integrity" umeligundua lini kwamba ni tatizo hapa JF? Mimi ninachojua ni kwamba siku zote haoa zinaletwa habari nyingi ambazzo hazijawahi kutolewa ruhusa na wanaohusika hasa viongozi wa taifa letu, lakini hata siku moja sijakuona ukilia kwamba Journalistic Integrity imeharibiwa, sasa leo kwa sababu yamemkuta Zitto ndio imekwua kilio cha Journalistic Integrity, sasa hiyo ndio hasara yenyewe mkuu kwa wewe mwenyewe unayeililia,
- Kuanzia leo mkuu waombe watawala wa JF, tuanze kufuata hayo ya Journalistic Integrity na iwe kwa viongozi wote sio mpaka zkiguswa Zitto tu ndio inakwua tatizo, mkuu poleni sana maana kama unavyosema mwenyewe tunakwua kama tunampigia mbuzi gitaa tunapowaambieni kwamba sheria za journalistis Integrity hapa sio mahali pake yaani kwenye ishu inayomuhusu Zitto tu, that is a big joke!
FMEs!
Mimi mbona nalalamika na waandishi wa habari kila siku hapa FMES? Ina maana ndiyo leo unaniona nalalamikia uandishi wa habari? Mbona kuna threads lukuki nawabalasa hawa waandishi wa habari mbuzi? Halafu zaidi ya hapo, hata kama ningekuwa naanza leo, the fact kwamba naanza leo kuwabalasa waandishi wa habari haliondoi makosa yao, kama yapo.Kwa hiyo swala la msingi liwe whether makosa yapo au hayapo, sio nimeanza kuyaona lini. Mimi nimeongelea journalistic integrity zilipofanyiwa photoshop picha za Salim, nimeongelea integrity mara kibao tu hapa ukitaka naweza kukaa chini nikaachambua posts zangu.Wasomaji makini wananijua nilivyokuwa nawakandya king'ong'o waandishi wa kibongo.
- Mkuu Bluray, ninasema hivi the whole idea ya kuwepo hapa JF na hasa huu uwanja wa siasa ni kujadili siasa, sikatai kwamba as a nation tuna tatizo la integrity na uandishi, lakini tuna matatizo kila kona ya taifa letu na ndio maana tupo hapa JF, mimi bado ninaheshimu mawazo yako isipokuwa matusi kwamba yoyote anayekupinga hoja zako, basi ni hafai na maneno yako mengi ya dharau kwamba umesoma sana hilo ninalikataa.
- Hapa ninakukubali kwamba waandishi wana matatizo, lakini bado haina uhusiano wowote na the ishu ya Zitto na gazeti la Kulikoni, ingawa ninaweza kukubali kwamba sijawahi kupay-attention kuhusu kilio chako na waandishi lakini ningeelewa zaidi kama ungeliwa-boycott kwa kutochangia tena habari zao hapa JF, ukasubiri zile habari tu zilizokuwa approved legally na wahusika, na by the way unaweza ukazi-point habari ambazo zipo hapa JF ulizowahi kuzichangia ambazo kwa muono wako ni legally approved na wahusika kabla ya kuletwa hapa JF?Nawakandya kama wengine wanavyosema sala ya bwana. Nawakandya ninavyoamka, nawakandya ninavyolala. Juzi tu nimetoka kuwasemea mbovu waandishi wa habari wamemnukuu rais Karume wa Zanzibar bila kuweka direct quotes na kufanya serious distortion ya message.Kama huoni haya yote eithr husomi JF au unayafumbia macho kwa sababu zako.Na mimi najua kwamba unasoma, kwa sababu posts ni lukuki, kwa hiyo labda weye utueleze kwa nini unataka kusema uongo kwamba mimi sijaongelea journalistic integrity mpaka leo kwenye issue ya Zitto? Leo unataka kusema hujona hayo yote? Umeyaona leo ninavyoongelea hii issue allegedly ya Zitto?
Sasa kibao kinakugeukia wewe, kama hujaona hizi mara zote na umeona mara hii tu ninapoizungumzia hii issue anayosemwa Zitto, inawezekana weye ndiye mwenye kijiba na Zitto? Kama nilivyosema, arguments weak, inconsistent, illogical, incoherent basi tabu tupu.
- Kama ni kijiba mkuu basi ninatakiwa kuwa na kijiba na viongozi wengi sana wa taifa letu, vipi ni tabia yako kuwa na vijiba na watu wasiokuunga mkono hoja zako nini mkuu maana sio rahisi kuisema njia ambayo hujawahi kuipitia yaani ya vijiba vijiba, Bwa! ha! ha!
- Unajua mkuu wangu it works both ways, yaani naziona arguments zako kuwa ni absolutely foolish, licha ya kua weak na sababu muhimu ni moja tu kwamba habari zote zinazokuja hapa JF hazijawahi kuruhusiwa legally na mtu yoyote na wewe upo hapa siku zote ni member, sasa kwa nini unachangia mada ambazo zina matatizo yale yale integrity na uandishi huku wewe ukiwa bingwa wa kujali sheria ndio ninashindwa kuelewa,
- Na mtu clean kwama unavyodai you are, kwa nini hata kuingia na jina la bandia huoni hilo nalo ni tatizo sana na integrity na hoja zako, I mean talking about weak arguments unaona unavyopwaya mkuu na hizi integrity zako, maana mtu mwenye akili timamu akikusikia kwamba unadai integrity kwenye forums ambayo watu wanaingia kwa majina bandia, na wewe included itakuwaje mkuu si atakushangaa sana kwamba kumbe na wewe wale wale! wapindishaji wa mambo, Bwa! ha! ha! mkuu Brulay tujadili hoja mkuu sio viroja!
- Anyways, ninaomba kupumzika sasa maana nimesema ya kutosha, ila kumbuka kwamba mtu ambaye ni bingwa wa integrity kama unavyodai to be hawezi kuingia kwenye forums yenye members wenye majina ya bandia na kuanza kudai integrity ! Bwa! ha! ha! inachekesha sana mkuu, alamsiki mkuu!
Respect.
FMEs!
Zitto nafarijika sana ninapokuona online hata kama umekaa kimya. Zitto wewe ni kichwa, uchangiaji wako humu unatokana na potential ulionayo, the more you give out, the more you get in, kwa kukaa kimya, kususa au kupumzika, kutakufanya uwe stagnant, just swallowing in without taking out kutakufikisha mahali you will full up to the point you can't take anymore na brain yako itakuwa saturated very soon sio kwa kuweka akiba ili siku ukishusha ushushe haswa, utajashangaa siku unataka kushusha, kunaweza tokea blast!.
President Karume told reporters at Zanzibar Airport on Saturday evening that the elections would not be held if all eligible Zanzibaris would not be registered.
As much as I would like to go into the issue, I must point out a distracting dereliction of the most basic rules of journalistic integrity, attribution, sourcing and quotations.
Before going out any further, I would not like to neglect the possibility of President Karume making such a nonsensical statement as the above quoted.The only reason I am letting him off the hook and concentrating on the journalistic integrity of the reporter is because Karume is not quoted directly as having said the attributed.
The above quoted statement, made by the journalist, is not supported anywhere else in the piece by a direct quote.This lead me to conclude that - discounting the case of a Karume overpromising slip - the journalist's powers of comprehension, interpretation and narration are severely lacking.
Indeed, the only direct quote attributed to President Karume is "We want both the winners and losers to accept the results this is possible only if the elections are free and fair,"
The fallacy of the far above quoted statement statements lies in the unverifiability of the registration of all eligible Zanzibaris. How can you ensure that all eligible Zanzibaris are registered? There are eligible Zanzibaris in Likoni Mombasa and Stockholm Sweden, are they going to be registered too? What about those who are in Zanzibar and eligible but do not care for the electoral system, are they going to be forced just to be able to say all eligible voters are registered?
This points to the ever deteriorating quality of our so called journalism.Even a person with the most basic of understanding of logic would question the validity of an exercise to register "all eligible Zanzibaris". The callous irresponsibility demonstrated by this macabre cancer is deepened by the fact that it is not merely an isolated incident, but an established trend.
This simpleton-like mentality of giving sweeping unverifiable statements must be stopped at once if our reporting is to be taken seriously, and if indeed the president did utter these words, this intellectually sombre diction betrays a horrible plight for our nation.
Show me someone who cannot organize words and I will show you one that cannot organize thoughts.
- Kama ni kijiba mkuu basi ninatakiwa kuwa na kijiba na viongozi wengi sana wa taifa letu, vipi ni tabia yako kuwa na vijiba na watu wasiokuunga mkono hoja zako nini mkuu maana sio rahisi kuisema njia ambayo hujawahi kuipitia yaani ya vijiba vijiba, Bwa! ha! ha!
- Unajua mkuu wangu it works both ways, yaani naziona arguments zako kuwa ni absolutely foolish, licha ya kua weak na sababu muhimu ni moja tu kwamba habari zote zinazokuja hapa JF hazijawahi kuruhusiwa legally na mtu yoyote na wewe upo hapa siku zote ni member, sasa kwa nini unachangia mada ambazo zina matatizo yale yale integrity na uandishi huku wewe ukiwa bingwa wa kujali sheria ndio ninashindwa kuelewa,
- Na mtu clean kwama unavyodai you are, kwa nini hata kuingia na jina la bandia huoni hilo nalo ni tatizo sana na integrity na hoja zako, I mean talking about weak arguments unaona unavyopwaya mkuu na hizi integrity zako, maana mtu mwenye akili timamu akikusikia kwamba unadai integrity kwenye forums ambayo watu wanaingia kwa majina bandia, na wewe included itakuwaje mkuu si atakushangaa sana kwamba kumbe na wewe wale wale! wapindishaji wa mambo, Bwa! ha! ha! mkuu Brulay tujadili hoja mkuu sio viroja!
- Anyways, ninaomba kupumzika sasa maana nimesema ya kutosha, ila kumbuka kwamba mtu ambaye ni bingwa wa integrity kama unavyodai to be hawezi kuingia kwenye forums yenye members wenye majina ya bandia na kuanza kudai integrity ! Bwa! ha! ha! inachekesha sana mkuu, alamsiki mkuu!
Respect.
FMEs!
Mimi nilifanya kazi kwa karibu sana na Dr Rashid. lakini all in all itazameni NMB alivyoibeba na hata kuifanya pesa hata BOT kuifanya atleast pesa ya Tanzania kuwa stable ( pitia miaka mitatu kabla kuwa Gavana na miaka mitatu baada ya kuondoka ugavana).
Sasa hivi ni mwenyekiti wa Nafikiri bank ya Azania. Ni mtu anayeaminika sana katika fani ya Finance.
Kila Bin'Adam ana upungufu wake lakini sifa zake lazima tumpe.
Labda sijui siku hizi huko Tanzania. lakini zamani Shirika kama hilo la Umma, Dg ni kama kibarua tu kuna wengi sana wanamkono wao ndani ya shirika na hata DG anapokea maelekezo tu na yeye anabaki kuwa mtekelezaji.
Kuna Waziri, katibu Mkuu, akurugenzo wengi tu wa Wizara nishati, Mwenyekiti wa Bodi , wanasiasa ambao wajumbe wa bodi. hao wote wanamwongoza DG.
Sasa hata akiwa na jipya halina nafasi na yeye kubaki kama mlalamikiwa.
Tukumbuke siku za nyuma alitoa mpaka notice ya kujiuzuru sababu ya wakubwa wengi kumwingilia shughuli zake.
Dr nakuheshimu sana na nakuamini kwa umakini wako...........tumpe mwingine tuone atafanyani?