TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Mtu yoyote mwenye akili zake timamu angfanya hivyo, hata wewe ungefanya hivyo. Je ukifanya hivyo wewe ndio the Best of the Best.
Pili halafu kimgime kinachopingana na utawala bora ni pale unapotumia hela za mkopo kwa kitu kisicho cha kibiashara, sasa yeye anatofauti gani na mtu anaye kwenda kuomba mkopo wa biashara ya mahindi, halafu badala ya kufanya hivyo anawekeza kwenye kuoa mke mwingine/kununua gari la kutembelea/kutengeneza ofisi iwe na faksi na kiyoyozi, badala ya kwenda kununua malighafi ambayo itamuongezea kipato na kumuwezesha kulipa mkopo.
naomba ushauri wako kwa hilo. Omarilyas nakuamini ndugu yangu.
 

Hiyo efficiency inapatikana kwa kupandisha ovyo bei ya umeme? Kwa kuwekeza kwenye maua ya plastiki? Kwa kugombana na wateja wake wakubwa?

I am still not impressed. Aende tu na awaachie wengine.

Amandla.......
 
Hatimae Field Marshall ame surrender na kuweka silaha chini. Miaka kenda ya majivuno na vitisho eti yeye ni sauti ya umeme mara hii kakutana na mionzi mikali ya kibluu kwishey.

Mie nilidhani ni Field Marshall kweli kumbe wa udongo!

- Hapana mkuu sijawahi ku-surrender hata siku moja, ninasimamia hoja yangu mpaka mwisho, msimamo wangu uko pale pale kwamba:-

1. JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article, sio kazi yetu ni kazi ya mikono ya sheria na ikibidi ishu za namna hiyo zinatakiwa kuwekwa kule chini kwenye jukwaa la sheria.

2. Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa, pale pale tunaanza ku-deal na hoja, bila ya kujali aliyeileta nani au aliyesema ni nani ndani ya article.

3. Kiongozi wa taifa wa level ya Zitto, anakuwa kazini kwa taifa masaa 24/7 chochote anachosema kama kinahusu siasa, basi ni msimamo wake kisiasa, kama amekosea kuwa quoted, ni wajibu wake kusema kwamba amenukuliwa vibaya au hakuwa na maana ya tafsiri iliyojitokeza on the ishu, asipofanya hivyo basi huo ni msimamo wake na ni fair game kujadiliwa na public,

- Mfano mzuri ni pale Jesse Jackson aliposema maneno mabovu kuhusu Obama, tena off the record, lakini yale maneno ya Jesse pamoja na kwamba aliyasema off the record, bado yali-make their way to the public kama msimamo wake na Jesse akalazimika ku-apologize kwa Obama, sikuona akisema maneno yamenukuliwa kwa nia mbaya, wala off the record, aliomuomba radhi mbele ya public.

- Mfano mwingine ni pale George Bush, alipomtukana muandishi wa habari wa New York Times, akimuonyeshea mgombea mwenza Dick Chenney, wakiwa off the record, lakini yale maneno yali-make a way to the public anyways na Rais Bush aliishia kuomba radhi tena mbele ya public.

- Mfano mwingine ni Nyota wa Cinema Alec Baldwin, alimrushia maneno mabovu mtoto wake ambaye ni minor kwenye mashine ya kurekodi katika simu ya mkono, lakini yale maneno yali-make their way to the public na Baldwin alilazimika kuomba radhi to the public na pia kuchukuliwa hatua na Mahakama, hakuna aliyeuliza ruhusa yake kuyatumia yale maneno wala anything!

4. The idea kwamba maneno anayoandika hapa JF Mheshimiwa Zitto, ni off the record ni foolish in absolutism, the idea kwamba maneno ya Mheshimiwa Zitto yamenukuliwa kwa nia mbaya ni even insane kama sio insanity thinking, the idea kwamba eti integrity ya source ya ile article ni questionable, that is even nonsense maaana sasa unai-question JF, ambayo ndio iliyokuwa source ya ile article, how do you dare to do that yaani kui-question JF's integrity as the source ya ile article?

- Ndio maana niliamua kuachana na huu mjadala kwa sababu sikuona hoja badala yake nikaanza kuona vioja vya kutafutana personally, kitu ambacho sikukitaka, maana kwanza ninaweza kwenda personal tena kiroho mbaya, lakini tatizo sitawasaidia wananchi, tuko hapa kuelimishana ni pale tu bin-adam anapokuwa hana elimu na ustaarabu ndio ananza matusi ambayo hata akijibiwa hawezi kuyaweza, lakini kwamba nimekimbia hapana mkuu sijwahi hata siku moja na wewe unanijua vizuri sana kuanzia hapa JF mpaka nje ya hapa, msimamo wangu siku zote ni ule ule, na ni taifa mbele kwanza!

Field Marshall Es ni Wazee wa Sauti ya Umeme! = Real Deal!
 
Naona hata FEM naye anongelea hisia tu mpaka anaenda kulala hajasema vitu kwa figures??? .

- Mkuu samahani sana, hakuna mahali popote katika hii thread nilipoijadili Tanesco ona faida na hasara zake, kama unatka nikupatuie figures then una haki ya kufungua mjadala mpya unaohusu Tanesco on faida na hasara zake!

es!
 
 


- Wait! wait! I mean wait a minute, Mkulu Omar I like this, na hii uliyoiweka hapo juu ndiyo hasa ninayoitaka, that is all Zitto had to say,

- That is all Zitto had to stand up na kuisema bila wasi wasi wala kubabaika, angefanya hivyo ningekufa katika kumtetea, lakini aliposema nimenukuliwa kwa nia mbaya ameharibu kila kitu,

- Je anaweza kuja hapa na kurudia maneno yako Omar as a man tukampa heshima yake?

Respect.


FMEs!
 
- Huu ni mfano hai wa tunayoyasema, kwamba sio lazima kuwe na ruhusa ya kiongozi anaposema maneno yake popote pale, ili kuyatumia to the public kama msimamo wa kiongozi,

- Sasa Zitto jifunze kutoka kwa hawa wenzetu walioendelea, hakuna nia mbaya kuyanukuu maneno ya kiongozi, regardless yamesemwa wapi na sio lazima kupata ruhusa ya kiongozi kuyatumia kwenye article.

- Tizama hapo chini, jinsi maneno ya Bush privately yalivyokwenda kwenye public na mtumzima akaishia kuomba radhi, sasa jamani tujifunze kutoka walioendelea badala ya kupigizana kelele hapa bila sababu, kiongozi ukisema umesema hakuna ni mbaya wala njema kwenye kuku-quote!

Respect.


FMEs!
 
Bush uses expletive to describe Times reporter

September 4, 2000


NAPERVILLE, Ill. (CNN) -- During what his campaign called a "whispered aside," Republican presidential candidate George W. Bush used an expletive Monday to describe a New York Times reporter, the author of several articles Bush has felt were unfair. Standing on a stage here just prior to making an address, Bush told his vice presidential running mate, Dick Cheney, "There's Adam Clymer, major league a------ from The New York Times."


Cheney replied, "Oh, yeah, big time." Neither man was apparently aware that their remarks could be picked up by an open microphone on the podium.


Asked about the comment later Monday as he deplaned in Allentown, Pennsylvania, where he was to make a speech on health-care policy Tuesday, Bush said, "I regret that the private comments made it to the public airwaves." Asked if he planned to apologize to the reporter, Bush answered, "I regret people heard the comments."



 

Kama kawaida unaanza kwa kujicontradict.

Kwanza unasema "JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article," halafu unaendelea kuenda kusema "Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa"

Hiyo part ya pili inai contradict hiyo ya kwanza, huwezi kujua kama article ina ukweli wa hoja kama hujali kuhusu integrity ya article, so kama unajali kujua ukweli wa hoja wa article utajali integrity yake, ama la, hujali integrity ya article, hujali ukweli pia, una advance your own political views.

Yaani kuanza tu, point mbili za kuanzia zina bonge la contrradiction, nachelea kusoma zaidi nitakuta contradictions bin incoherency kila sentensi.

Huko mbele ndio kabisaaaaaaa, unajionyesha kwamba uelewa zip zerooooo.

Hujui tofauti ya issue iliyokuwa raised hapa, ya verifiability, kwamba gazeti haliwezi kuthibitisha kwamba Zitto mbunge ndiye aliyeandika haya maneno.

Wewe unaenda kuleta maneno ya "off the record"! Kama vile Zitto kaongea na waandishi wa habari in secrecy, au kaongea sehemu akidhani mic iko off wakati iko on.

Hujaona tofauti ya hoja yangu kwamba mimi siongelei on/off the record, naongelea can the paper really verify that Zitto kasema?

Yaani comprehension zip zero!
 
 
 
 
 

- Kwanza naanza na huyu mediocre mwenzio, tizama quote yake ambayo anakuunga mkono pumba zako, halafu ninakuja na wewe!

FMEs!
 
- Kwanza naanza na huyu mediocre mwenzio, tizama quote yake ambayo anakuunga mkono pumba zako, halafu ninakuja na wewe!

FMEs!

Unashindwa kujibu maswali unaanza kuzuga sasa.Nakuangalia tu. Hapa ndipo wswahili walisema "Mfa maji heshi kutapatapa" mara kashika hili, mara kashika lile, hata akiona unywele unaelea anataka kuushika, mtu mzima unataka kuleta michezo ya kuigiza hapa, ushike unywele ili usizame, umekuwa exposed like a person undressed now kwa umajinuni wako wa mbio za sakafuni.

Bado hujatolea ufafanuzi contradiction zako za point 1 na 2 hapo juu.

Uzuri wako FMES, mimi hata sijitaabishi kufikiri sana, wewe mwenyewe unajifunga kamba kwa incoherency yako, kila sentensi ya pili imegubikwa na contradiction.
 




- Wewe mtu hebu niambie aliyehojiwa hiyo tarehe na Jambo Leo alikua Zitto mbunge au huyo wa kwako unayemililia kua sio yeye?

FMEs!
 
- Wewe mtu hebu niambie aliyehojiwa hiyo tarehe na Jambo Leo alikua Zitto mbunge au huyo wa kwako unayemililia kua sio yeye?

FMEs!


Adress issues hizo hapo juu,


Angalia hata kupost unashindwa sasa na unategemea nikujibu kutoka upupu uliopost, hebu angalia mwenyewe kama ulichopost kina make sense yoyote.

Mpaka dakika hii wewe hujaelewa kwamba ninachoongea mimi is bigger than an incident, bigger than Zitto, naongelea principles za uandishi, naongelea integrity ya information tunazoconsume kutoka papers zetu, naongea kitu systemic.

Wewe unabaki kwenye pathetic level ya kubishana Zitto this Zitto that.Mimi namtumia Zitto na hii incident kama mfano wa kuonyesha tunavyoburuzwa na viandishi habari koko visivyojua proper sourcing, wewe unaabudu libeneke la bora liende na partisan politics zisizo mbele wala nyuma.

Thats the difference between m and you.

Aibu tupu!
 
Hivi hawa waandishi uchwara wakiambiwa wathibitishe huyu Zitto wa JF ndiye Zitto mbunge watathibitishaje?

Wanamuandikia mtu article kutokana na maandiko ya JF wakati hata hawawezi kuthibitisha kwamba ni yeye kaandika?

- Aliyehojiwa na Jambo Leo ni zitto mbunge na ndiye aliyekuja kusema hapo juu kwamba amehojiwa, sasa unachodai kwamba ni yeye au si yeye ni kipi hasa? kama sio u-mediocre, bado ninakuja!

FMEs!
 




- Haya mkuu huyu ni Zitto gani uliyekuwa unamzungumzia, Zitto mbunge au huyo wako wa kuchonga ambaye akiwa quoted unasema sio yeye, lakini ulipompinga hapa alikuwa yeye, au?

FMES!
 
- Aliyehojiwa na Jambo Leo ni zitto mbunge na ndiye aliyekuja kusema hapo juu kwamba amehojiwa, sasa unachodai kwamba ni yeye au si yeye ni kipi hasa? kama sio u-mediocre, bado ninakuja!

FMEs!

Amehojiwa lini, kuhusu issue gani, interview iko wapi, ina uhusiano gani na article ya "ThisDay" ninayoiongelea mimi, timeline imekaaje? Mimi assertion yangu kwamba waandishi wa ThisDay wamekosea kwa kufanya source JF imekosea wapi?

Hayo ndiyo maswali ambayo mtu aliye coherent angeweza kujaribu kunielewesha.

Si wewe, issue article ya "ThisDay" wewe unaenda kuleta article ya "Jambo Leo"

Either unajua article ya "ThisDay" ina stink na haiwezi kusimama hapa under scrutiny (I doubt your nose can smell anything) au unaendeleza culture yako ya kuwa hapharzardously and randomly incoherent.

Unamix madawa, unachanganya mambo tofauti.

Unachanganya proper sourcing na ruhusa ya source!

Unachanganya incident na principle

Unachanganya "ThisDay" na "JamboLeo"

Naangalia tu nione utachanganya nini zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…