TANESCO board split on MD Rashidi's fate

TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Nadhani msingi wa mtizamo wa Zitto kwa Dr Rashid ni kuwa ameweza kuitoa Tanesco from CHAOS to state of NORMALCY na angependa kuona anapata muda zaidi ili kutumia hiyo state of NORMALCY to ensure EFFICIENCY or even EXCELLENCY on services kama wengi mngelipenda kuona inakuwa.

.
Is it wrong or Is it abnormal to have such kind of stand?

Sometimes lets avoid political expediency in every things…..

It looks like being pragmatic and optimistic is sinful in our society?

omarilyas
Mtu yoyote mwenye akili zake timamu angfanya hivyo, hata wewe ungefanya hivyo. Je ukifanya hivyo wewe ndio the Best of the Best.
Pili halafu kimgime kinachopingana na utawala bora ni pale unapotumia hela za mkopo kwa kitu kisicho cha kibiashara, sasa yeye anatofauti gani na mtu anaye kwenda kuomba mkopo wa biashara ya mahindi, halafu badala ya kufanya hivyo anawekeza kwenye kuoa mke mwingine/kununua gari la kutembelea/kutengeneza ofisi iwe na faksi na kiyoyozi, badala ya kwenda kununua malighafi ambayo itamuongezea kipato na kumuwezesha kulipa mkopo.
naomba ushauri wako kwa hilo. Omarilyas nakuamini ndugu yangu.
 
Nadhani msingi wa mtizamo wa Zitto kwa Dr Rashid ni kuwa ameweza kuitoa Tanesco from CHAOS to state of NORMALCY na angependa kuona anapata muda zaidi ili kutumia hiyo state of NORMALCY to ensure EFFICIENCY or even EXCELLENCY on services kama wengi mngelipenda kuona inakuwa.

Is it wrong or Is it abnormal to have such kind of stand?

Sometimes lets avoid political expediency in every things…..

It looks like being pragmatic and optimistic is sinful in our society?

omarilyas

Hiyo efficiency inapatikana kwa kupandisha ovyo bei ya umeme? Kwa kuwekeza kwenye maua ya plastiki? Kwa kugombana na wateja wake wakubwa?

I am still not impressed. Aende tu na awaachie wengine.

Amandla.......
 
Hatimae Field Marshall ame surrender na kuweka silaha chini. Miaka kenda ya majivuno na vitisho eti yeye ni sauti ya umeme mara hii kakutana na mionzi mikali ya kibluu kwishey.

Mie nilidhani ni Field Marshall kweli kumbe wa udongo!

- Hapana mkuu sijawahi ku-surrender hata siku moja, ninasimamia hoja yangu mpaka mwisho, msimamo wangu uko pale pale kwamba:-

1. JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article, sio kazi yetu ni kazi ya mikono ya sheria na ikibidi ishu za namna hiyo zinatakiwa kuwekwa kule chini kwenye jukwaa la sheria.

2. Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa, pale pale tunaanza ku-deal na hoja, bila ya kujali aliyeileta nani au aliyesema ni nani ndani ya article.

3. Kiongozi wa taifa wa level ya Zitto, anakuwa kazini kwa taifa masaa 24/7 chochote anachosema kama kinahusu siasa, basi ni msimamo wake kisiasa, kama amekosea kuwa quoted, ni wajibu wake kusema kwamba amenukuliwa vibaya au hakuwa na maana ya tafsiri iliyojitokeza on the ishu, asipofanya hivyo basi huo ni msimamo wake na ni fair game kujadiliwa na public,

- Mfano mzuri ni pale Jesse Jackson aliposema maneno mabovu kuhusu Obama, tena off the record, lakini yale maneno ya Jesse pamoja na kwamba aliyasema off the record, bado yali-make their way to the public kama msimamo wake na Jesse akalazimika ku-apologize kwa Obama, sikuona akisema maneno yamenukuliwa kwa nia mbaya, wala off the record, aliomuomba radhi mbele ya public.

- Mfano mwingine ni pale George Bush, alipomtukana muandishi wa habari wa New York Times, akimuonyeshea mgombea mwenza Dick Chenney, wakiwa off the record, lakini yale maneno yali-make a way to the public anyways na Rais Bush aliishia kuomba radhi tena mbele ya public.

- Mfano mwingine ni Nyota wa Cinema Alec Baldwin, alimrushia maneno mabovu mtoto wake ambaye ni minor kwenye mashine ya kurekodi katika simu ya mkono, lakini yale maneno yali-make their way to the public na Baldwin alilazimika kuomba radhi to the public na pia kuchukuliwa hatua na Mahakama, hakuna aliyeuliza ruhusa yake kuyatumia yale maneno wala anything!

4. The idea kwamba maneno anayoandika hapa JF Mheshimiwa Zitto, ni off the record ni foolish in absolutism, the idea kwamba maneno ya Mheshimiwa Zitto yamenukuliwa kwa nia mbaya ni even insane kama sio insanity thinking, the idea kwamba eti integrity ya source ya ile article ni questionable, that is even nonsense maaana sasa unai-question JF, ambayo ndio iliyokuwa source ya ile article, how do you dare to do that yaani kui-question JF's integrity as the source ya ile article?

- Ndio maana niliamua kuachana na huu mjadala kwa sababu sikuona hoja badala yake nikaanza kuona vioja vya kutafutana personally, kitu ambacho sikukitaka, maana kwanza ninaweza kwenda personal tena kiroho mbaya, lakini tatizo sitawasaidia wananchi, tuko hapa kuelimishana ni pale tu bin-adam anapokuwa hana elimu na ustaarabu ndio ananza matusi ambayo hata akijibiwa hawezi kuyaweza, lakini kwamba nimekimbia hapana mkuu sijwahi hata siku moja na wewe unanijua vizuri sana kuanzia hapa JF mpaka nje ya hapa, msimamo wangu siku zote ni ule ule, na ni taifa mbele kwanza!

Field Marshall Es ni Wazee wa Sauti ya Umeme! = Real Deal!
 
Naona hata FEM naye anongelea hisia tu mpaka anaenda kulala hajasema vitu kwa figures??? .

- Mkuu samahani sana, hakuna mahali popote katika hii thread nilipoijadili Tanesco ona faida na hasara zake, kama unatka nikupatuie figures then una haki ya kufungua mjadala mpya unaohusu Tanesco on faida na hasara zake!

es!
 
SAMAHANI kaka,

Naamini sikumtaja mtu hivyo its nothing personal. Mine was general observation. Hata hivyo naamini jana nilikuwa katika wakati mgumu hivyo niliteleza na kushindwa kujizuia. Samahani kwa wote niliowakwaza.

omarilyas

- Mkuu umesikika na wewe ni ndugu yangu sana, sasa tuendelee kukata ishus hapa kwa masilahi ya taifa!

Respect.

FMEs!
 
Nadhani msingi wa mtizamo wa Zitto kwa Dr Rashid ni kuwa ameweza kuitoa Tanesco from CHAOS to state of NORMALCY na angependa kuona anapata muda zaidi ili kutumia hiyo state of NORMALCY to ensure EFFICIENCY or even EXCELLENCY on services kama wengi mngelipenda kuona inakuwa.

* Is it wrong or Is it abnormal to have such kind of stand?

Sometimes lets avoid political expediency in every things…..

It looks like being pragmatic and optimistic is sinful in our society?

omarilyas

- Wait! wait! I mean wait a minute, Mkulu Omar I like this, na hii uliyoiweka hapo juu ndiyo hasa ninayoitaka, that is all Zitto had to say,

- That is all Zitto had to stand up na kuisema bila wasi wasi wala kubabaika, angefanya hivyo ningekufa katika kumtetea, lakini aliposema nimenukuliwa kwa nia mbaya ameharibu kila kitu,

- Je anaweza kuja hapa na kurudia maneno yako Omar as a man tukampa heshima yake?

Respect.

FMEs!
 
July 28, 2008

Rev. Jesse Jackson apologized Wednesday for saying Barack Obama is "talking down to black people" during what Jackson thought was a private conversation before a FOX News interview Sunday.

Jackson was speaking to a fellow guest at the time about Obama's speeches in black churches and his support for faith-based charities. Jackson added before going live, "I want to cut his nuts off."

At a hastily arranged news conference Wednesday evening in Chicago, Jackson said he supports Obama "unequivocally" and that he hopes to "get this behind me."

He said, "They were hurtful and wrong ... but we have a relationship that can survive this."

Jackson said the conversation "does not reflect any disparagement on my part for the historic event in which we are involved or my pride in Senator Barack Obama, who is leading it, whom I have supported by crisscrossing this nation in every level of media and audience from the beginning in absolute terms."

Jackson said he has called Obama's campaign to apologize.

The Associated Press contributed to this report.
- Huu ni mfano hai wa tunayoyasema, kwamba sio lazima kuwe na ruhusa ya kiongozi anaposema maneno yake popote pale, ili kuyatumia to the public kama msimamo wa kiongozi,

- Sasa Zitto jifunze kutoka kwa hawa wenzetu walioendelea, hakuna nia mbaya kuyanukuu maneno ya kiongozi, regardless yamesemwa wapi na sio lazima kupata ruhusa ya kiongozi kuyatumia kwenye article.

- Tizama hapo chini, jinsi maneno ya Bush privately yalivyokwenda kwenye public na mtumzima akaishia kuomba radhi, sasa jamani tujifunze kutoka walioendelea badala ya kupigizana kelele hapa bila sababu, kiongozi ukisema umesema hakuna ni mbaya wala njema kwenye kuku-quote!

Respect.

FMEs!
 
Bush uses expletive to describe Times reporter

September 4, 2000

NAPERVILLE, Ill. (CNN) -- During what his campaign called a "whispered aside," Republican presidential candidate George W. Bush used an expletive Monday to describe a New York Times reporter, the author of several articles Bush has felt were unfair. Standing on a stage here just prior to making an address, Bush told his vice presidential running mate, Dick Cheney, "There's Adam Clymer, major league a------ from The New York Times."

Cheney replied, "Oh, yeah, big time." Neither man was apparently aware that their remarks could be picked up by an open microphone on the podium.

Asked about the comment later Monday as he deplaned in Allentown, Pennsylvania, where he was to make a speech on health-care policy Tuesday, Bush said, "I regret that the private comments made it to the public airwaves." Asked if he planned to apologize to the reporter, Bush answered, "I regret people heard the comments."

1. JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article, sio kazi yetu ni kazi ya mikono ya sheria na ikibidi ishu za namna hiyo zinatakiwa kuwekwa kule chini kwenye jukwaa la sheria.

2. Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa, pale pale tunaanza ku-deal na hoja, bila ya kujali aliyeileta nani au aliyesema ni nani ndani ya article.

Kama kawaida unaanza kwa kujicontradict.

Kwanza unasema "JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article," halafu unaendelea kuenda kusema "Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa"

Hiyo part ya pili inai contradict hiyo ya kwanza, huwezi kujua kama article ina ukweli wa hoja kama hujali kuhusu integrity ya article, so kama unajali kujua ukweli wa hoja wa article utajali integrity yake, ama la, hujali integrity ya article, hujali ukweli pia, una advance your own political views.

Yaani kuanza tu, point mbili za kuanzia zina bonge la contrradiction, nachelea kusoma zaidi nitakuta contradictions bin incoherency kila sentensi.

Huko mbele ndio kabisaaaaaaa, unajionyesha kwamba uelewa zip zerooooo.

Hujui tofauti ya issue iliyokuwa raised hapa, ya verifiability, kwamba gazeti haliwezi kuthibitisha kwamba Zitto mbunge ndiye aliyeandika haya maneno.

Wewe unaenda kuleta maneno ya "off the record"! Kama vile Zitto kaongea na waandishi wa habari in secrecy, au kaongea sehemu akidhani mic iko off wakati iko on.

Hujaona tofauti ya hoja yangu kwamba mimi siongelei on/off the record, naongelea can the paper really verify that Zitto kasema?

Yaani comprehension zip zero!
 
Kama kawaida unaanza kwa kujicontradict.

Kwanza unasema "JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article," halafu unaendelea kuenda kusema "Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa"Hiyo part ya pili inai contradict hiyo ya kwanza, huwezi kujua kama article ina ukweli wa hoja kama hujali kuhusu integrity ya article, so kama unajali kujua ukweli wa hoja wa article utajali integrity yake, ama la, hujali integrity ya article, hujali ukweli pia, una advance your own political views.

- Mkuu acha kupoteza muda wangu, vitu vyote nimeviweka hapo juu sasa suka au unyoe, huna hoja sasa tulia upewe darasa, darasa hilo juu kuhusu kilio chako cha Journalism Integrity, umepewa mifano yate hapo juu, sasa jibu hoja au nyamaza maana huna hoja pumba tupu!

Yaani kuanza tu, point mbili za kuanzia zina bonge la contrradiction, nachelea kusoma zaidi nitakuta contradictions bin incoherency kila sentensi.
Huko mbele ndio kabisaaaaaaa, unajionyesha kwamba uelewa zip zerooooo.
Hujui tofauti ya issue iliyokuwa raised hapa, ya verifiability, kwamba gazeti haliwezi kuthibitisha kwamba Zitto mbunge ndiye aliyeandika haya maneno.
Wewe unaenda kuleta maneno ya "off the record"! Kama vile Zitto kaongea na waandishi wa habari in secrecy, au kaongea sehemu akidhani mic iko off wakati iko on.Hujaona tofauti ya hoja yangu kwamba mimi siongelei on/off the record, naongelea can the paper really verify that Zitto kasema?
Yaani comprehension zip zero
- Kichwa chako mkuu kimeoza no wonder unahangika kujisema mwenyewe kwamba uwezo wa kufikiri ni zero, unajifanya unajua wakati hujui kitu unawekewa vitu hapo naaanza kujifanya kuruka kimanga **** wewe, kichwa kikubwa pumba tupu kichwani kama anavyosema.......,

- Umesema unataka integrity ya source ya ile article na kwamba kuna ruhusa ya aliyeyasema, nimekuambia kiongozi kama Zitto hahitajiki kutoa ruhusa akisema amesema, acha kuyeyusha mjinga wewe,

- Eti umesoma shule, shule gani uliyosoma hako ka-degree kamoja ka mungu nisaidie kukamaliza miaka saba! Acha wewe, tihsa wengine mkuu hapa hatutishiki na maneno ya kujisheua sheua, huku ukionyesha ujinga mbona unachagua majibu jibu yote kama umeenda shule kweli,

Sasa naenda kulala, ukinihitaji tena nitafute kesho mjinga wewe, huna shule yoyote waliosoma hawafanyi kazi unayofanya mkuu acha wewe! Bwa! ha! ha! ha! kazi kwenda kujiweka weka michuzi, wanaume tuko hapa tunakata hoja tu hakuna visingizio!

FMEs!
 
- Mkuu acha kupoteza muda wangu, vitu vyote nimeviweka hapo juu sasa suka au unyoe, huna hoja sasa tulia upewe darasa, darasa hilo juu kuhusu kilio chako cha Journalism Integrity, umepewa mifano yate hapo juu, sasa jibu hoja au nyamaza maana huna hoja pumba tupu!

- Kichwa chako mkuu kimeoza no wonder unahangika kujisema mwenyewe kwamba uwezo wa kufikiri ni zero, unajifanya unajua wakati hujui kitu unawekewa vitu hapo naaanza kujifanya kuruka kimanga **** wewe, kichwa kikubwa pumba tupu kichwani kama anavyosema.......,

- Umesema unataka integrity ya source ya ile article na kwamba kuna ruhusa ya aliyeyasema, nimekuambia kiongozi kama Zitto hahitajiki kutoa ruhusa akisema amesema, acha kuyeyusha mjinga wewe,

- Eti umesoma shule, shule gani uliyosoma hako ka-degree kamoja ka mungu nisaidie kukamaliza miaka saba! Acha wewe, tihsa wengine mkuu hapa hatutishiki na maneno ya kujisheua sheua, huku ukionyesha ujinga mbona unachagua majibu jibu yote kama umeenda shule kweli,

Sasa naenda kulala, ukinihitaji tena nitafute kesho mjinga wewe, huna shule yoyote waliosoma hawafanyi kazi unayofanya mkuu acha wewe! Bwa! ha! ha! ha! kazi kwenda kujiweka weka michuzi, wanaume tuko hapa tunakata hoja tu hakuna visingizio!

FMEs!

Angalia sana unavyozidi kujivua nguo hadharani mwenyewe mtu mzima .

Angalia sasa FMES unavyojidharaulisha mbele ya kadamnasi.

Nani kaongelea ruhusa? Mtu anayeamini katika freedom of speech kama mimi ninaweza kutoa kauli totalitarian kama za kutaka waandishi wa habari wapewe ruhusa na wanasiasa kuandika habari?

Again, unaonyesha umahiri wako wa kutojua comprehension, mimi naongelea sourcing.Kwamba hao waandishi wenu wamekuja kuokoteza habari kwenye forum, habari ambayo hata mimi au wewe unaweza kuwa umeiandika kwa kutumia jina la Zitto, wakai attribute kwa Zitto. Ruhusa iko wapi hapo?

Usichanganye mimi kusisitiza responsible journalism, by which I mean hata kama Zitto akiwa quoted offguard kwenye kona za bar huko inaweza kuwa sawa, hata kama yeye mwenyewe hataki, usiconfuse hilo (kukosa ruhusa ya Zitto) na swala jingine kabisa la kwamba, waandishi wameokoteza habari hapa bila ya kuwana uhakika kwamba aliyeandika ni Zitto, adui wa Zitto aliyeifuma account ya Zitto imekuwa logged on, au script kiddie aliye kwenye chuo kikuu kimoja huko Norway.

Ninaposema comprehension zero, ninaposema unachemka, si kama napenda kurusha maneno haya kirahisi rahisi tu, maneno yako yanakuonyesha jinsi ulivyo mtupu.Nikisoma sentensi mbili za kwanza tu incoherency kibao, siwezi hata kumaliza post, maana imejaa upupu mtupu.
 
- Pumba tupu siwezi hata kupoteza muda wangu kujibu, simply nonsense acha kutisha watu hapa kujifanya umeenda shule, huna shule yoyote mkuu sasa unaruka eti hukusema uliyosema, foolishness!

- Huwa hatukurupuki mkuu hata siku moja, sasa nawaachia wananchi waamue pumba na mchele ulipo, nilijua mwishoni utaishia kutosoma sentesi zote, Bwa! ha! ha! ha! Miaka saba ka-degree kamoja anakuja kupiga kelele hapa eti amesoma Bwa! ha! ha!

Swali dogo tu,

Unaelewa tofauti ya wrong attribution na kuomba ruhusa lakini?

Ushaelewa somo au bado unaogelea katika bahari ya incoherency bado?
 
a

1. Blue Ray nimekukubali sana kwenye journalisim ethics na standards, Tanzania bado hatuna any cyber legistlation hivyo habari yoyote ya kwenye mtandao including sms haiwezi kutumika kama ushahidi mahakamani kwenye mambo ya admisability of evidence na ndivyo ilivyo kwenye uandishi wa habari, habari ile haikupaswa kutumiwa bila double checking na cross checking na Zitto mwenyewe hili ni kosa la kisheria kabisa and can land the editor behind bars.

Pili ni kosa la kimaadili, hata kama ni kweli kabisa yes ni Zitto kayasema hayo, aliyasema kuchangia kwenye mjadala according to freedom of expression akiwa free. Gazeti lilitakiwa kuheshimu his 'right to privacy' kwa anachochangia humu na kuitreet mijadala ya humu as 'off the record'

unapotaka kuigeuza 'on the record' lazima umjulishe mhusika kuwa unadhamira ya kuyatumia maelezo yake for public consuption, akibali ndio unaitumia gazetini, vinginevyo ni hearsay na inabaki kuwa majungu.

- Kwanza naanza na huyu mediocre mwenzio, tizama quote yake ambayo anakuunga mkono pumba zako, halafu ninakuja na wewe!

FMEs!
 
- Kwanza naanza na huyu mediocre mwenzio, tizama quote yake ambayo anakuunga mkono pumba zako, halafu ninakuja na wewe!

FMEs!

Unashindwa kujibu maswali unaanza kuzuga sasa.Nakuangalia tu. Hapa ndipo wswahili walisema "Mfa maji heshi kutapatapa" mara kashika hili, mara kashika lile, hata akiona unywele unaelea anataka kuushika, mtu mzima unataka kuleta michezo ya kuigiza hapa, ushike unywele ili usizame, umekuwa exposed like a person undressed now kwa umajinuni wako wa mbio za sakafuni.

Bado hujatolea ufafanuzi contradiction zako za point 1 na 2 hapo juu.

Uzuri wako FMES, mimi hata sijitaabishi kufikiri sana, wewe mwenyewe unajifunga kamba kwa incoherency yako, kila sentensi ya pili imegubikwa na contradiction.
 
[SIZE=4 said:
Zitto[/SIZE];661756]Kuna maswali mengi katika mahojiano haya ya JamboLeo. Nilikuwa najibu nilichoulizwa na mwandishi jamani. Wengine wametaka niseme zaidi. Inshaallah kwenye interview nyingine kama itatokea. It was a short interview and i thought ni vizuri kushare nanyi. Hata hivyo maoni yote nimeyachukua.....

Unashindwa kujibu maswali unaanza kuzuga sasa.Nakuangalia tu.

Bado hujatolea ufafanuzi contradiction zako za point 1 na 2 hapo juu.

Uzuri wako FMES, mimi hata sijitaabishi kufikiri sana, wewe mwenyewe unajifunga kamba kwa incoherency yako, kila sentensi ya pili imegubikwa na contradiction.

- Wewe mtu hebu niambie aliyehojiwa hiyo tarehe na Jambo Leo alikua Zitto mbunge au huyo wa kwako unayemililia kua sio yeye?

FMEs!
 
- Wewe mtu hebu niambie aliyehojiwa hiyo tarehe na Jambo Leo alikua Zitto mbunge au huyo wa kwako unayemililia kua sio yeye?

FMEs!

Kwanza unasema "JF wajibu wetu ni kuchambua hoja sio ku-determine integrity ya any-article," halafu unaendelea kuenda kusema "Article yoyote inapokuja hapa uwanjani, kazi yetu ni kujua kama ina ukweli wa hoja muhimu kwa masilahi ya taifa"

Hiyo part ya pili inai contradict hiyo ya kwanza, huwezi kujua kama article ina ukweli wa hoja kama hujali kuhusu integrity ya article, so kama unajali kujua ukweli wa hoja wa article utajali integrity yake, ama la, hujali integrity ya article, hujali ukweli pia, una advance your own political views.

Adress issues hizo hapo juu,

Angalia hata kupost unashindwa sasa na unategemea nikujibu kutoka upupu uliopost, hebu angalia mwenyewe kama ulichopost kina make sense yoyote.

Mpaka dakika hii wewe hujaelewa kwamba ninachoongea mimi is bigger than an incident, bigger than Zitto, naongelea principles za uandishi, naongelea integrity ya information tunazoconsume kutoka papers zetu, naongea kitu systemic.

Wewe unabaki kwenye pathetic level ya kubishana Zitto this Zitto that.Mimi namtumia Zitto na hii incident kama mfano wa kuonyesha tunavyoburuzwa na viandishi habari koko visivyojua proper sourcing, wewe unaabudu libeneke la bora liende na partisan politics zisizo mbele wala nyuma.

Thats the difference between m and you.

Aibu tupu!
 
Hivi hawa waandishi uchwara wakiambiwa wathibitishe huyu Zitto wa JF ndiye Zitto mbunge watathibitishaje?

Wanamuandikia mtu article kutokana na maandiko ya JF wakati hata hawawezi kuthibitisha kwamba ni yeye kaandika?

- Aliyehojiwa na Jambo Leo ni zitto mbunge na ndiye aliyekuja kusema hapo juu kwamba amehojiwa, sasa unachodai kwamba ni yeye au si yeye ni kipi hasa? kama sio u-mediocre, bado ninakuja!

FMEs!
 
Adress issues hizo hapo juu,

Angalia hata kupost unashindwa sasa na unategemea nikujibu kutoka upupu uliopost, hebu angalia mwenyewe kama ulichopost kina make sense yoyote.

Mpaka dakika hii wewe hujaelewa kwamba ninachoongea mimi is bigger than an incident, bigger than Zitto, naongelea principles za uandishi, naongelea integrity ya information tunazoconsume kutoka papers zetu, naongea kitu systemic.

Wewe unabaki kwenye pathetic level ya kubishana Zitto this Zitto that.Mimi namtumia Zitto na hii incident kama mfano wa kuonyesha tunavyoburuzwa na viandishi habari koko visivyojua proper sourcing, wewe unaabudu libeneke la bora liende na partisan politics zisizo mbele wala nyuma.

Thats the difference between m and you.

Aibu tupu!

1. Ulikuwepo humu wakati Zitto alipoleta muswada wake wa ethics hapa?

2. Unajua popularity aliyokuwa nayo Zitto wakati huo, kabla ya kuwa the so called "Mr. Dowans"? Practically the entire JF ilikuwa inamsupport.

3. Unajua nani ali dare kuuchambua huo mjadala point by point na kum criticize Zitto katika enzi ambayo hakuwa na mpinzani hapa JF? Unajua kwamba yours truly huyo huyo ndiye huyu anayedaiwa kutetea Zitto leo.

4. Kwa hiyo usije hapa kusema kwamba watu wanamtetea Zitto, kabla hata hatujaenda nyuma sana huko kwenye muswada wa ethics ambapo probably hukukumbuki kwa sababu hukuwa member hapa, juzi tu Zitto kandika something about Salim nikamlima,

5. kamuandika Kikwete in good light nikamlima kwamba hajawa firm kukataa ufisadi, brother Mukandara akaja kuniunga mkono, sasa utasemaje kwamba mtu anaye demonstrate objectivity kama hivi, kumcriticize Zitto inapostahili, na kucriticize uandishi mbaya (ambao kwenu Machiavellians mnaona ni kumtetea Zitto pale inapostrahili)

- Haya mkuu huyu ni Zitto gani uliyekuwa unamzungumzia, Zitto mbunge au huyo wako wa kuchonga ambaye akiwa quoted unasema sio yeye, lakini ulipompinga hapa alikuwa yeye, au?

FMES!
 
- Aliyehojiwa na Jambo Leo ni zitto mbunge na ndiye aliyekuja kusema hapo juu kwamba amehojiwa, sasa unachodai kwamba ni yeye au si yeye ni kipi hasa? kama sio u-mediocre, bado ninakuja!

FMEs!

Amehojiwa lini, kuhusu issue gani, interview iko wapi, ina uhusiano gani na article ya "ThisDay" ninayoiongelea mimi, timeline imekaaje? Mimi assertion yangu kwamba waandishi wa ThisDay wamekosea kwa kufanya source JF imekosea wapi?

Hayo ndiyo maswali ambayo mtu aliye coherent angeweza kujaribu kunielewesha.

Si wewe, issue article ya "ThisDay" wewe unaenda kuleta article ya "Jambo Leo"

Either unajua article ya "ThisDay" ina stink na haiwezi kusimama hapa under scrutiny (I doubt your nose can smell anything) au unaendeleza culture yako ya kuwa hapharzardously and randomly incoherent.

Unamix madawa, unachanganya mambo tofauti.

Unachanganya proper sourcing na ruhusa ya source!

Unachanganya incident na principle

Unachanganya "ThisDay" na "JamboLeo"

Naangalia tu nione utachanganya nini zaidi.
 
Back
Top Bottom