TANESCO board split on MD Rashidi's fate

TANESCO board split on MD Rashidi's fate

FMES,

1. Unachoshindwa kuelewa, kwa fikra zako ndogo zizisoweza kumung'unya kitu chochote complex,

2. .Sasa wewe kama unaona speculation ndiyo news, au vitu visivyothibitishika ndiyo news, sawa.

3. Why am I even surprised wakati tunajua wewe ndiye baba wa grapevine, umeshawaona Dilunga na Fundi Mchundo pamoja na a zillion other JF members kwenye basement ya DC. Wengine wamepata ajali na mabibi zao impossibly similarly kwenye gari etc.

4. In other words, speculation is in your blood, how can you understand anything that aspires to standards za verification?

5. I am not surprised unashangaa verification ni nini, hujafundishwa hivi vitu, hujawahi kukutana navyo popote, unapasua kienyeji enyeji tu. No surprise at all.

6. .Check my record here.Kwa hiyo si fair kuja na innuendos kwamba watu wanamtetea Zitto, hiyo ina expose partisan motivations zako tu.

- Mkuu Bluray, ahsante sana kaka unajua mimi huwa sina haraka na wala huwa sina uchokozi, huwa ninachokozwa kwanza na hata nikichokozwa huwa sina haraka sana ya kujibu kwa hii level uliyoianza hapa, nimeuona toka jana ukianza kaka endelea ninakukaribisha kwa mikono miwili.

Respect.


FMEs!
 
1. Wakuu nawaomba tuendelee kuitunza sifa ya JF kwa kumkoma nyani bila kumtazama uso awe Zitto au Jepesi ndiyo jadi yetu hapa. Pili mara nyingi magazeti mbali mbali yameandika mambo mengi tu source kubwa ikiwa JF lakini sijashuhudia mjadala kama huu kuhusu Kulikoni, sasa nawauliza kulikoni ? Ni kwa sababu mfalme kaambiwa yuko uchi ama vipi ? Hakuna mahali msimamo wa Mh. Zitto umewahi kusifiwa na kuungwa mkono hapo nyuma kuliko hapa JF, hili linathibitika kwa kuperuzi kidogo tu michango ya huko nyuma - labda kwa wageni wa JF.

Ni pale tu alipoanza kuchukua misimamo iliyoshabahiana na mafisadi ndio wengine tulianza kuhoji, ja Zitto kulikoni ? Nakumbuka mara ya kwanza alipokosolewa, alihamaki hadi akatoa maneno humu ambayo hivi leo bado atakuwa anayajutia - siju alitegemea nini, kusifiwa tu ? Ukweli ni kuwa wengi wanaopinga msimamo wake kwa sasa ni wale waliomuunga mkono mwanzoni na wanaomshabikia kwa sasa ni wale waliokerwa na msimamo wake wa mwanzo. Ni juu yake Zitto kuamua kuwa kati ya haya makundi mawili, lipi lamtakia mema.

Kwa kifupi tuliokuwa mashabiki wa Zitto mwanzoni tunakerwa na mambo yafuatayo:

  • Kuchangamkia kamati ya Kikwete ya madini badala ya kamati ya Bunge.
  • Kutetea ununuzi wa mitambo ya wizi ya Dowans.
  • Kupendeza tume huru eti ya majaji kuichunguza upya Richmond.
  • Kuusifu utawala huu pamoja na mapungufu yake.
  • Kumwita Rashidi eti one of the best CEO the country ever had.
Nawapa pongezi wote ambao mmesimama kidete kutetea msimamo wa JF kama the place where we dare !. Wengine wanaruhusu mapenzi yao ama chuki zao kwa mtu kutawala fikra na mawazo yao na hii hakika ni hatari sana. Kocha mzuri wa timu ya soka atasifiwa pale tu timu ikifanya vizuri na kubeba kombe - nje ya hapo, hafai. One of the best CEO na shirika linachungulia kaburi, wapi na wapi !


- Mkulu Mag3, heshima mbele sana mkuu kwa kusimamia principle bila kuangalia nani anahusika, ambao ndio hasa msimamo wangu, sina ya kurudia maana umesayema yote tena kiroho mbaya, yaani kumkoma nyani style, ninaomba kukuombea kwa Mungu wangu wa Mbinguni akubariki zaidi,

- Tuendelee kusimamia ukweli bila kujali unamuhusu nani huko upande wa pili wa gilasi. Tupo pamoja sana mkuu mpaka kieleweke!

Respect.


FMEs!
 

- Mkuu Bluray, ahsante sana kaka unajua mimi huwa sina haraka na wala huwa sina uchokozi, huwa ninachokozwa kwanza na hata nikichokozwa huwa sina haraka sana ya kujibu kwa hii level uliyoianza hapa, nimeuona toka jana ukianza kaka endelea ninakukaribisha kwa mikono miwili.

Respect.


FMEs!

Ni mambo ya intellectual jujitsu tu, nothing less nothing more, kama nimeenda overboard niwie radhi sometimes I tend to go overboard in the midst of mediocrity.

Principles mut prevail

Inawezekana kabisa Zitto kachemsha, inawezekana kabisa Zitto wa online ndiye mbunge.

At the very least, lazima ukubali waandishi wameboronga na wangeweza kuiandika habari hii vizuri zaidi.

Binafsi, hata kama sipendi kauli za Zitto, articles kama hizi naona zinaweka loopholes katika kum nail Zitto, wana squander opportunities. Mi najua (kwa mujibu wa uzoefu wa hapa na kwenyepress) Zitto si mtu wa kukataa position yake, jamaa anaonekana kuwa na conviction na audacity fulani, sasa kwa nini waandishi wale ng'ombe mzima na kushindwa kula mkia tu kwa kumpigia simu Zitto na kupata an airtight story?

Badala ya kufanya hivyo, wameacha room for debate on the authenticity of their story.

Ndiyo maana I cannot stand these little imbecile sea urchins passing themselves for reporters.
 
Ni mambo ya intellectual jujitsu tu, nothing less nothing more, kama nimeenda overboard niwie radhi sometimes I tend to go overboard in the midst of mediocrity.

- Mkuu unajua yote ni maneno yako, kama unasema uliyoyasema kule juu ni intellectualism ni uamuzi wako mkuu mimi sina haraka sana na uamuzi ni wako!

Principles mut prevail Inawezekana kabisa Zitto kachemsha, inawezekana kabisa Zitto wa online ndiye mbunge. At the very least, lazima ukubali waandishi wameboronga na wangeweza kuiandika habari hii vizuri zaidi.

- Binafsi mimi sio muandishi wa habari, lakini little I know kuhusu uandishi ninaamini kwamba kinachopaswa ku-matter ni iwapo Zitto amesema, na yeye mwenyewe amejitokeza na kukubali kuwa amesema, otherwise sheria zipo anatakiwa kuwafikisha hawa waandishi kwenye sheria, sisi JF sio tatizo letu kutafuta sheria za waandishi isipokuwa tunatakiwa ku-deal na hoja, na ikibidi pia ku-question ukweli wa habari inapokuwa haieleweki, lakini kwangu hii habari iko wazi kwamba aliyesema ni Zitto mbunge,

- Sasa Mkuu naomba nikuulize iwapo Zitto mbunge, atakwenda kwenye sheria na kudai kwamba huyu anayeandika hapa JF sio yeye kweli unaaamini kwamba ana uwezekano wa kushinda hiyo kesi? Angalia maneno yake toka siku ya kwanza alipoingia mpaka leo kwenye hii ishu, kweli unaweza with your clear mind kwamba sio yeye mbunge Zitto?


Binafsi, hata kama sipendi kauli za Zitto, articles kama hizi naona zinaweka loopholes katika kum nail Zitto, wana squander opportunities. Mi najua (kwa mujibu wa uzoefu wa hapa na kwenyepress) Zitto si mtu wa kukataa position yake, jamaa anaonekana kuwa na conviction na audacity fulani, sasa kwa nini waandishi wale ng'ombe mzima na kushindwa kula mkia tu kwa kumpigia simu Zitto na kupata an airtight story?Badala ya kufanya hivyo, wameacha room for debate on the authenticity of their story. Ndiyo maana I cannot stand these little imbecile sea urchins passing themselves for reporters.

- Sawa kuna point nzito unazi-raise kuhusu waandishi wetu, binafsi ningependa kumuachia Zitto a-deal na tatizo la sheria za waandishi yeye kama mbunge ana nafasi kubwa sana ku-deal na hilo kuliko sisi members hapa JF, sisi ni ku-deal na msimamo alioutoa Zitto kuhusu suala la Mkurugenzi wa Tanesco kuendelea na kazi, anatakiwa kujitokeza na kutetea msiamo wake wa kumteteaa huyu Mkurugenzi, wala hakuna complexity hapo!

Respect.


FMEs!
 
The simple facts of the matter ni kwamba waandishi wameandika habari kutokana na an undeniably unreliable source.

Sasa kama na wewe unataka kuwa katika mkumbo huo huo shauri yako. Basically husaidii kukuza level ya scritiny, ila unadidimiza standards.

Leo tunamquote Zitto hapa kesho itakuwa you know who.

Ni principles, precedents na policies, hatutaki politricks na propaganda.
 
ZIto anatapatapa,anatafuta umaarufu ambao umaarufu wake umeshuka sana,especial ktk tabaka la wasomi,haingii akilin ku suport Dk Rashi ilhal anatuhuma nyingi sana za kutmia fedha za shirika kukarabati nyumba na kujiuzia kwa bei chee
sikatai,Dr anaweza kuwa ni one of the best CEO kiutendaji,lakini je usafi wake si wa kutilwa mashaka??
Hatoshi kuwa mwalimu mzuri darasani at the same time ukawa huna nidhamu,mwizi,malaya etc afu still akina zito watake uendelee kufundisha kisa we kichwa..nooo,hiyo haipo kabisa Being a Good CEO is not enough kuwa mtndaj mzuri tu,maadili yako ni muhimu zaid,hata lowasa alikuwa mtendaji mzuri sana, lakini je maadili yake vp,anamaadili ya uongozi,zito anlisemaje hili???
huyu dogo anakurupuka sana.
LETS US STOP DISCUSS ABOUT ZITTO,A YOUNG MAN WHO HAS BEEN LOST A TOTAL DARKNESS,A YOUNG MAN WHO IS BEING USED BY POLITICIANS TO DESTROY OPOSTIONS PARTIES IN TANZANIA.
Zitto please,kama siasa zimekushinda,you just look for other things to do,it seems you have lost a truck as far sa politics is concerned.
THATS WHY UMEKUWA MCHEMFU SANA,KILA UNACHOPOST HAPA NDANI HUWAGA NAJIKUTA NAKUPINGA TU

Ulikuwepo humu wakati Zitto alipoleta muswada wake wa ethics hapa?

Unajua popularity aliyokuwa nayo Zitto wakati huo, kabla ya kuwa the so called "Mr. Dowans"? Practically the entire JF ilikuwa inamsupport.

Unajua nani ali dare kuuchambua huo mjadala point by point na kum criticize Zitto katika enzi ambayo hakuwa na mpinzani hapa JF? Unajua kwamba yours truly huyo huyo ndiye huyu anayedaiwa kutetea Zitto leo.

Tatizo ni kwamba ukiwa mwizi unaona kila mtu mwizi, ukiwa biased on partisan grounds, hata ukiji convince vipi kwamba uko neutral, unaona kila mtu yuko biased on partisan grounds.

Kwa tarifa tu, nilianza kumlima Zitto wakati Zitto alikuwa halimiki humu. Bef yangu ni hii standard ya uandishi wa habari, kama huwezi kuamini uandishi utaamini vipi kilichoandikwa?

Kwa hiyo usije hapa kusema kwamba watu wanamtetea Zitto, kabla hata hatujaenda nyuma sana huko kwenye muswada wa ethics ambapo probably hukukumbuki kwa sababu hukuwa member hapa, juzi tu Zitto kandika something about Salim nikamlima, kamuandika Kikwete in good light nikamlima kwamba hajawa firm kukataa ufisadi, brother Mukandara akaja kuniunga mkono, sasa utasemaje kwamba mtu anaye demonstrate objectivity kama hivi, kumcriticize Zitto inapostahili, na kucriticize uandishi mbaya (ambao kwenu Machiavellians mnaona ni kumtetea Zitto pale inapostrahili)

Acheni hii simplistic approach, kutaka labelling na simple answers to complex questions. Inabidi tuya address haya matatizo deply mpaka kwenye root zake, sio kuangalia mambo juu juu tu.Ama sivyo tutakuwa tunabadilisha majina na issues tu, lakini kila siku tutakuwa tunaogelea kwenye mitatizo ile ile huku tukiwapa sababu kina Nyani Ngabu kusema "Miafrika Ndivyo Ilivyo" over and over and over.
 
[SIZE=4 said:
Zitto[/SIZE];676287]Kuandika habari kutoka JF sio tatizo na inasaidia kutangaza JF. Hata hivyo kuandika habari maliciously kutatufanya wengine tuogope kutoa mawazo yetu kwa uhuru humu katika jukwaa letu.

Habari hii imeandikwa kwa nia mbaya.

Sasa itabidi niwe msomaji tu JF. Endeleeni na mijadala bandugu.

Zitto

The simple facts of the matter ni kwamba waandishi wameandika habari kutokana na an undeniably unreliable source. Sasa kama na wewe unataka kuwa katika mkumbo huo huo shauri yako. Basically husaidii kukuza level ya scritiny, ila unadidimiza standards. Leo tunamquote Zitto hapa kesho itakuwa you know who. Ni principles, precedents na policies, hatutaki politricks na propaganda.

- Sawa sawa mkuu, umesikika sana.

Respect.


FMEs!
 
The simple facts of the matter ni kwamba waandishi wameandika habari kutokana na an undeniably unreliable source.

Sasa kama na wewe unataka kuwa katika mkumbo huo huo shauri yako. Basically husaidii kukuza level ya scritiny, ila unadidimiza standards.

Leo tunamquote Zitto hapa kesho itakuwa you know who.

Ni principles, precedents na policies, hatutaki politricks na propaganda.

Bluray, I am honestly surprised with your level of contemporary news analysis.
 
Bluray, I am honestly surprised with your level of contemporary news analysis.


What surprises you?

You cannot have "news analysis" if you don't have news, this is what I am saying all along.

Get some news first, then we can analyse, otherwise ni propaganda, innuendos, he said he said.

You really think there is any analysis here?
 
Wakuu zangu,
Hizi habari zilizoandikwa hapa, huyo Zitto alizungumza lini na wapi?..
 
nilishasemaga tangu awali kuwa magazeti ya kitamzania sasa tamepoteza mwelekeo...
hilo gazeti la kulikoni sioni kama lina tofauti yoyote na magazeti ya 'udaku'.ambayo kila kukicha yanaandika kuhusu mambo yanayohusu watu...
niwakumbushe tu ndugu zangu kuwa hili gazeti lilianzishwa rasmi na bwana MENGI maalumu kwa ajiri ya kumuandika bwana YUSUPH MANJI ,sasa inaonyesha MANJI amenyamaza wanamchokonoa zitto...
HAWANA JIPYA
aliyeandika yupo humu humu ndio maana pamoja na kuwa anaongoza kwa posts hapa JF kwenye hili kakaa kimya akitumia majina mengine.inajulikana kuna watu wameajiriwa na Mengi kupambana na Zitto Kabwe.

wajuaji wala hatukushtuka kuona habari hii na kusingizia source ni JF wakati mwandishi ni mwanachama Mwandamizi hapa JF.kuna wakati alipomualika Zitto Huko Marekani.

Zitto nilikutahadharisha uwe makini na watu.
 
Wakuu zangu,
Hizi habari zilizoandikwa hapa, huyo Zitto alizungumza lini na wapi?..
Alikuwa akichangia humu JF kwenye thread ya 'Tanesco Board Split on MD Rashidi's Fate' iliyotokana na news story kwenye This Day/Kulikoni iliyohusu mchakato wa kumpata Boss mpya Tanesco. Zitto alimtetea Dr. Rashid as one of the best CEO's Tanzania has ever had. Thisgay/Kulikoni wakashuka nayo kama lead story kesho yake, Zitto akakasirika na kuamua kujinyamazia kwa kutochangia tena kwenye mijadala hapa JF.
 
Alikuwa akichangia humu JF kwenye thread ya 'Tanesco Board Split on MD Rashidi's Fate' iliyotokana na news story kwenye This Day/Kulikoni iliyohusu mchakato wa kumpata Boss mpya Tanesco. Zitto alimtetea Dr. Rashid as one of the best CEO's Tanzania has ever had. Thisgay/Kulikoni wakashuka nayo kama lead story kesho yake, Zitto akakasirika na kuamua kujinyamazia kwa kutochangia tena kwenye mijadala hapa JF.

Mkandara unaona mambo hayo mkuu wangu?

Unanielewa sasa?
 
Wakuu zangu,
Hizi habari zilizoandikwa hapa, huyo Zitto alizungumza lini na wapi?..

Zitto:

Pre-emptive strategy...........!

Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals.
__________________
“Ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa - TUJISAHIHISHE, Nyerere 1962.”
 
Zitto:-

1. Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana.

2. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi.

3. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika.

4. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea..... __________________



“Ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa - TUJISAHIHISHE, Nyerere 1962.”
 
Zitto:-

Moja tu - Amechukua u CEO pakiwa na hasara ya 162bn kwa mujibu wa audited accounts za 2006. 2007 hasara ilishuka mpaka 67bn. 2008 imeshuka mpaka 30bn na mpaka june 2009 tayari TANESCO ilikuwa imebreak even. Kama sio mgawo wa Septemba, Oktoba na Novemba wangepata faida mwaka huu.

Mbili - kwa mara ya kwanza Taasisi za fedha zimekopesha TANESCO 400bn na wana service mkopo huo bila tatizo lolote na hivyo kuweka mazingira ya kukopa zaidi.

Tatu - Shirika lina mpango wa muda mfupi, wa kati na mrefu wa kuzalisha na kusambaza umeme. Miradi yote ya kuanzia mwaka jana imekwamishwa na Serikali kama Mhisa mkuu.

Nne - Sasa Shirika lina rejesta ya mali zake zote (zenye thamani ya 1bn usd) na wakati Rashidi anaingia CAG alitoa disclaimer audit opinion kwa kuwa pamoja na mambo mengine Shirika halikuwa na orodha na thamani halisi ya mali zake. NHC wana tatizo hilo na Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma iliwatimua na mpaka leo hawajaweza kufanya kama TANESCO.

Tano - Yupo very clear anataka Shirika lifike wapi kwa muda gani. Kwa mfano kama Mhisa pekee (serikali) angetekeleza commitment zake na faida iliyotarajiwa mwaka huu ikawa realised, lengo lilikuwa ni kustain faida kwa miaka mitatu ili TANESCO iuze hisa zake DSE na hivyo public listed company - kuongeza uwazi kwa mujibu wa masharti ya PLCs.


Niendelee? _
_________________
“Ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa - TUJISAHIHISHE, Nyerere 1962.”
 
Mkandara unaona mambo hayo mkuu wangu?

Unanielewa sasa?
a
Blue Ray nimekukubali sana kwenye journalisim ethics na standards, Tanzania bado hatuna any cyber legistlation hivyo habari yoyote ya kwenye mtandao including sms haiwezi kutumika kama ushahidi mahakamani kwenye mambo ya admisability of evidence na ndivyo ilivyo kwenye uandishi wa habari, habari ile haikupaswa kutumiwa bila double checking na cross checking na Zitto mwenyewe hili ni kosa la kisheria kabisa and can land the editor behind bars.

Pili ni kosa la kimaadili, hata kama ni kweli kabisa yes ni Zitto kayasema hayo, aliyasema kuchangia kwenye mjadala according to freedom of expression akiwa free. Gazeti lilitakiwa kuheshimu his 'right to privacy' kwa anachochangia humu na kuitreet mijadala ya humu as 'off the record' unapotaka kuigeuza 'on the record' lazima umjulishe mhusika kuwa unadhamira ya kuyatumia maelezo yake for public consuption, akibali ndio unaitumia gazetini, vinginevyo ni hearsay na inabaki kuwa majungu.

Hata waandishi, wanapata habari nyingi tuu from various sources na sio kila kitu wanaandika, wanawajibu wa kutunza 'comfidentiality of the source' kama walivyofanya Kulikoni, Zitto is always reachable, it was a matter of contacting him kunjulisha we have this and that ulichosema jamiiforums, angekubali then its really news.

Kwa maoni yangu, habari hiyo imeandikwa na mwandishi kigogo wa Thisday/Kulikoni ambaye anauwezo wa kihariri kuithibitisha jamiiforums as a reliable source bila kuhitaji double checking na cross checking. Naungana na Zitto, habari hiyo imetumika kwa nia mbaya, kuonyesha Zitto ameingilia mchakato wa kumpata MD wa Tanesco, Zitto is only made victim ili kumdisqualify Rashidi katika mchakato mzima ili hata kama ni kweli ilikuwa Rashidi arudishwe kwa merits zake, sasa itabidi ang'olewe kwa vile mchakato umeingiliwa kwa kupigiwa chapuo na Zitto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma ambayo Tenesco ni subject.
 
Mkuu FMES,
Journalisim ni proffesional kama professional nyingine zote, ina rules of the game na ethics zake, tunachobishania hapa sio kama Zitto alisema ama hakusema, there is no doubt ni Zitto huyo huyo 'the one and only' kuhusu Zitto hapa hakuna haja ya kuleta hadithi za Sigmund Freud kwenye Dr. Jekely na Mr. Hide.

Tunabishania contex aliyoizungumzia Zitto ni kwenye forum na kuwa quoted bila idhini yake, hii sio maadili kwa upande wa Thisday/Kulikoni. Ni kama Zitto amechangia off the record wewe unakimbilia kubandika on the record, ni uungwani kumwambia nio yako, hii inapoteza uaminifu as a result, JF imeloose confidence ya Zitto, tutakosa michango yake.
 
a
Blue Ray nimekukubali sana kwenye journalisim ethics na standards, Tanzania bado hatuna any cyber legistlation hivyo habari yoyote ya kwenye mtandao including sms haiwezi kutumika kama ushahidi mahakamani kwenye mambo ya admisability of evidence na ndivyo ilivyo kwenye uandishi wa habari, habari ile haikupaswa kutumiwa bila double checking na cross checking na Zitto mwenyewe hili ni kosa la kisheria kabisa and can land the editor behind bars.

Pili ni kosa la kimaadili, hata kama ni kweli kabisa yes ni Zitto kayasema hayo, aliyasema kuchangia kwenye mjadala according to freedom of expression akiwa free.
Gazeti lilitakiwa kuheshimu his 'right to privacy' kwa anachochangia humu na kuitreet mijadala ya humu as 'off the record' unapotaka kuigeuza 'on the record' lazima umjulishe mhusika kuwa unadhamira ya kuyatumia maelezo yake for public consuption, akibali ndio unaitumia gazetini, vinginevyo ni hearsay na inabaki kuwa majungu.

Hata waandishi, wanapata habari nyingi tuu from various sources na sio kila kitu wanaandika, wanawajibu wa kutunza 'comfidentiality of the source' kama walivyofanya Kulikoni, Zitto is always reachable, it was a matter of contacting him kunjulisha we have this and that ulichosema jamiiforums, angekubali then its really news.

Kwa maoni yangu, habari hiyo imeandikwa na mwandishi kigogo wa Thisday/Kulikoni ambaye anauwezo wa kihariri kuithibitisha jamiiforums as a reliable source bila kuhitaji double checking na cross checking. Naungana na Zitto, habari hiyo imetumika kwa nia mbaya, kuonyesha Zitto ameingilia mchakato wa kumpata MD wa Tanesco, Zitto is only made victim ili kumdisqualify Rashidi katika mchakato mzima ili hata kama ni kweli ilikuwa Rashidi arudishwe kwa merits zake, sasa itabidi ang'olewe kwa vile mchakato umeingiliwa kwa kupigiwa chapuo na Zitto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma ambayo Tenesco ni subject.


- Mkuu Pasco, maneno yako ni mazito sana, lakini mnasahau kwamba sisi JF tunachojali ni hoja muhimu kwa taifa, mambo ya sheria za uandishi hzituhusu hapa, kutumiwa kwa habari hii kwa nia mbaya kama alivyosema mwenyewe Zitto hakuna uhusiano wowote na context za maneno ambacho ndio hasa interest yetu hapa JF,

- Nijuavyo ni kwamba viongozi wetu kuanzia ngazi za ubunge kama wa Zitto, wanakuwa on duty 24/7 chochote wanachosema to the public kama hapa JF tulivyo ni fair deal kuwa quoted, sikatai kwamba huenda kuna ethics za uandishi zimekiukwa, sasa hayo tuwaachie mahakama ndio iamue kwamba maneno ya Zitto hapa JF ni off the record, lakini sio members wa JF hapo na sisi sasa tunaingilia uhuru wa mawazo wa Zitto, ndio maana tuna mahakama sisi tunaweza kuichambua hukumu iliyotolewa na mahakama, lakini sasa tunaanza hata kuwa mawakili wa Zitto bila ya yeye kutuomba, pleasee!

- Ya sheria za uandishi wa habari hazituhusu wakuu!

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom