TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Kuna factors nyingi zinazochangia kwa organisation isifikie malengo and part of them ni foreseeable and unforeseable factors. Rais alipozungumza alikuwa anaelezea vision ya yake na expectation zake kwa Tanesco.

Unapozungumzia competence ya mtu zungumzia facts na usiwe subjective kwa kuelezea hisia zako eti una give up!! Give up baada ya kutoa facts na sio kuwa bias pasina kuwa na vigezo vinavyomtuhumu Dr.Idris JF wengi wetu tunajitia wataalam but naona mara nyingi tunapiga siasa tu. Competence ya mtu inapimwa na results na sio blah blah!!! tupeni facts zinazoonyesha kuwa hafai idrissa. Na tutoe relative performance metrics za idriss against other prior management. Venginevyo mnatuelezea hisia zenu which mwisho wa siku tunaweza kusummarize as majungus.

Hatuna critical analysis ya kwanini Tanesco kwa Dr. Idris haifai zaidi ya majungu majungu. Hatuna facts zinazomtoa Dr. Idriss katika UCEO badala yake mnatoa arbitrary arguments ambazo to me ni rubish and does not make any sense nadhani mjadala tusummarize kuwa hakuna hoja inayomzuia Dr. Idriss asiwe tena CEO zaidi vimajungu majungu vya watu.

Nakaribisha hoja!!!

Inasikitisha kuanzisha thread bila wewe mwenyewe kuisimamia na kushindwa kuifuatilia. Nasema inasikitisha kwani members wengi wametoka nje ya mada na wewe upo unakodolea macho, sasa hivi ndo unaibuka na kutoa conclusion!! Te te te te !!!!

Haya uliyoandika hapa inaonekana haufatilii au upo upo tuu kama wengine wanavyo post hao!!! wakakimbia thread. Anzia kusoma topic #94 & 97 n.k rudia kusoma ujue wananchi wanataka nini juu umeme??? Soma topic zote alizochangia Dr. Kitila (samahani kama nimekosea jina) muelewe alivyochanganua tanesco ya zamani na ya sasa!!!

Harafu njoo utoe hiyo conclusion yako au siyo.
 
Nilianzisha thread si kwania ya kuitetea kwa sababu i do not buy the story ya kwamba eti Idrissa hafai Tanesco siko pamoja na nyie kwa hilo. But let us assume nakubaliana na nyie tumtoe Dr.Idrissa je ni sababu zp za kumtoa Dr.Idrissa Tanesco nipeni moja???

Eti alitumia mamilioni kwenye maua ya plastic kama quotation za maua ndio zipo hivyo kwanini isiwe milioni afadhali yake amereplace maua yaliyochakaa kwa mapya Kitilya hubadilisha magari kabla hata halijakufa tena jipya kabisa kisha akajiuzia lile la zamani mwenyewe mbona hamsemi hayo. Acheni ubaguzi na argument zisizokuwa na msingi.

Ndio maana nilisema pale chini katika nilipoanzisha je ni kweli au majungu nikitegemea watu watatoa facts za kutokafaa kwake bali imekuwa watu wanatoa argument zilizokuwa bias na tena hazina supporting evidence zozote. Acheni unafiki jamani tuwe wakweli badala kuwa wazushi. Unadai Idrissa hafai kwa kesi SFO je hao SFO washamfikisha mahakamani Idrissa akajibu tuhuma zake msiconclude kabla ngoma kuisha

Tuelezeni Idrissa hafai kwa lipi. Na wewe unaedai Dr. Kitila sijui amechambua watanzania wanataka nini sasa nikiisoma itaishia kuwa majungu yasiokuwa na msingi kama report ya mwakyembe aliyoikomalia Richmond kumbe nayeye shareholder wa kampuni ya umeme sasa unajiuliza authenticity ya report yake hupati jibu. Pengine labda kwa kuwa jamaa nae PhD holder lakini kama angelikuwa mwadilifu angelideclare kabla hajaanza uchunguzi wa Richmond. Tukirudi kwenye main topic tupeni ushahidi wa kwamba Idrissa hafai!!!!!

Venginevyo ni nonsense arguments and bigotry
 
Inasikitisha kuanzisha thread bila wewe mwenyewe kuisimamia na kushindwa kuifuatilia. Nasema inasikitisha kwani members wengi wametoka nje ya mada na wewe upo unakodolea macho, sasa hivi ndo unaibuka na kutoa conclusion!! Te te te te !!!!

Haya uliyoandika hapa inaonekana haufatilii au upo upo tuu kama wengine wanavyo post hao!!! wakakimbia thread. Anzia kusoma topic #94 & 97 n.k rudia kusoma ujue wananchi wanataka nini juu umeme??? Soma topic zote alizochangia Dr. Kitila (samahani kama nimekosea jina) muelewe alivyochanganua tanesco ya zamani na ya sasa!!!

Harafu njoo utoe hiyo conclusion yako au siyo.

Mazee unajuaje kama alikuwa na access ya kuchangia?
 
Tuelezeni Idrissa hafai kwa lipi. Na wewe unaedai Dr. Kitila sijui amechambua watanzania wanataka nini sasa nikiisoma itaishia kuwa majungu yasiokuwa na msingi kama report ya mwakyembe aliyoikomalia Richmond kumbe nayeye shareholder wa kampuni ya umeme sasa unajiuliza authenticity ya report yake hupati jibu. Pengine labda kwa kuwa jamaa nae PhD holder lakini kama angelikuwa mwadilifu angelideclare kabla hajaanza uchunguzi wa Richmond. Tukirudi kwenye main topic tupeni ushahidi wa kwamba Idrissa hafai!!!!!

Venginevyo ni nonsense arguments and bigotry

Hautaki kusoma alichoandika Kitila kwa sababu itakuwa majungu! Sasa ulianzishaje thread wakati hautaki kusoma watakayochangia wenzako kwa kisingizio kuwa ni majungu? Hiyo kampuni ya Mwakyembe ilianzishwa lini? Na yeye kuwa ni shareholder wa kampuni ya uzalishaji umeme kumeondoa vipi authenticity wa ripoti ya kamati ambayo yeye alikuwa ni mwenyekiti? Au unataka kudai kuwa ripoti iliandikwa na yeye peke yake na hao wengine waliburuzwa tu? Una ushahidi gani wa kuwa ripoti iliandikwa na Mwakyembe peke yake? Kwa nini basi tusiseme haya madai yako ni majungu?

Utajuaje sababu za kwa nini Dr. Idriss hafai wakati hautaki kusoma mabandiko yanayosema hivyo? Unawahukumu watu kuwa bigots wakati unaonyesha dalili zote za bigotry!

Amandla......
 
Hebu mzee nikuombe nisummarizie hicho alichokisema Kitila unielimishe pengine mie sifahamu na sina muda wa kusoma nataka facts!!!!

Kuhusu ishu ya mwakyembe hapahapa ndani ya JF tuliwekewa Company Registration document MOA ya kampuni ya windfarm inayoonyesha bwana mkubwa alikuwa ni mmoja wa mastakeholders anadai eti hakuwa na haja kudisclose hiyo information kwa watu kama alikuwa hana haja ya kudisclose hiyo information kwanini basi aliingia katika tume ya kuchunguza hiyo kashfa kama angelikuwa mwadilifu??? Watanzania si wote tunaosukumwa kama maji tukafata mazee.

Kuhusu ishu ya Idrissa mie simtetei kwani kila mwanadamu lazima umpe benefit of doubt hakuna mkamilifu isipokuwa mmungu but mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kama mtu ni mtendaji kazi, performer kwanini asipewe haki yake jamani eti hafai hafai kwasababu zipi nimeiacha hii mada muda mrefu sasa nataka evidence za kwamba hafai venginevyo ni bigots hamna zaidi.

Naomba jibu!!!!
 
Hapa unaweza kuonekana unataka kumfanya mtu Secretary wako.
 
..... je ni sababu zp za kumtoa Dr.Idrissa Tanesco nipeni moja???
Venginevyo ni nonsense arguments and bigotry

Moja tu ni kwamba alikarabati nyumba ya shirika analolisimamia kwa shilingi milioni 650 na kujiuzia kwa shilingi milioni 80! Aliposhitukiwa ndipo akaanza visa.
Hatuhitaji mtu wa namna hii!

Hakuna bigotry hapo!
 
Hapa unaweza kuonekana unataka kumfanya mtu Secretary wako.

Kaka unajua sometimes inawezekana kabisa kuna mtu ana argument that is very strong and valid. Perhaps he may convince me about Idrissa.

The second issue is that someone said earlier that i do not have argument but rather hearsays. One Zitto presented facts according to his perspective. Second other members kept complaining and presenting bias argument. Lack of evidence to me is like an arbitrary argument since does not have any valid supporting evidence.

Perhaps i am wrong which i donot believe but perhaps if someone summarize for me maybe i may misunderstood Dr. Kitila otherwise I donot change my position than concluding that all what has been presented here is purely bigotry, and non-sense arguments.

Rather I stand by my position!!!!
 
Moja tu ni kwamba alikarabati nyumba ya shirika analolisimamia kwa shilingi milioni 650 na kujiuzia kwa shilingi milioni 80! Aliposhitukiwa ndipo akaanza visa.
Hatuhitaji mtu wa namna hii!

Hakuna bigotry hapo!

Je nyumba ilikuwa valued or just speculative value?? Pili Auditor alikuwa wapi asilione hilo? Tatu wahasibu kama wapo hapa wanakitu kinaitwa written off value je hiyo house haikuwamo katika written off items. Kwasababu inawezekana kabisa ndio nyumba kwa mtazamo wetu ilikuwa ina thamani kabisa ya milioni 650 lakini katika book inaonyesha inatakiwa kuwa written off or revalued sasa je hilo lilifanyika.

Tatu tuassume kama facts zako ni kweli tunarudi tena ndani ya bodi walikuwa wapi. Basi board yote haifai ifukuzwe maana hawajui wanalolifanya humo ndani .

Na tuassume kuwa ni kweli measures gani zilichokuliwa kuhusu hilo jamani Tanzania ya leo ina wasomi na sio wanasiasa measures gani zilichukuliwa kumsulubu idrissa kama amefanya hilo au kumsafisha kama hakufanya wewe unatutolea allegations but not facts mzee!!!!

Tupe Facts!!!!!
 
Kaka unajua sometimes inawezekana kabisa kuna mtu ana argument that is very strong and valid. Perhaps he may convince me about Idrissa.

The second issue is that someone said earlier that i do not have argument but rather hearsays. One Zitto presented facts according to his perspective. Second other members kept complaining and presenting bias argument. Lack of evidence to me is like an arbitrary argument since does not have any valid supporting evidence.

Perhaps i am wrong which i donot believe but perhaps if someone summarize for me maybe i may misunderstood Dr. Kitila otherwise I donot change my position than concluding that all what has been presented here is purely bigotry, and non-sense arguments.

Rather I stand by my position!!!!

Kwa kiingereza hiki siwezi kuwa katibu muhtasi wako! Mtafute Kitila humu humu utaona aliyosema.

Asante Bluray.

Amandla.......
 
Moja tu ni kwamba alikarabati nyumba ya shirika analolisimamia kwa shilingi milioni 650 na kujiuzia kwa shilingi milioni 80! Aliposhitukiwa ndipo akaanza visa.
Hatuhitaji mtu wa namna hii!

Hakuna bigotry hapo!

Let me get this straight.

Huyu bwana alikarabati nyumba moja kwa shilingi milioni 650 na kujiuzia mwenyewe kwa shilingi milioni 80?

Au hizi milioni 650 zilitumika kukarabati nyumba kadhaa za TANESCO, na mojawapo ni hiyo aliyojiuzia kwa shilingi milioni 80?

The devil, as they say, is in the details, and that is what I am after.
 
Kwa kiingereza hiki siwezi kuwa katibu muhtasi wako! Mtafute Kitila humu humu utaona aliyosema.

Asante Bluray.

Amandla.......

Kibovu au kizuri?, Hakieleweki au kinaeleweka angalia mara nyingi mtu akiishiwaga hoja huanza kuandama mtu binafsi hiyo ni dalili ya kuishiwa na hoja hivyo basi usijiite uko makini wakati huna hoja ya msingi. Wazungu wanasema no research no right to speak
 
Let me get this straight.

Huyu bwana alikarabati nyumba moja kwa shilingi milioni 650 na kujiuzia mwenyewe kwa shilingi milioni 80?

Au hizi milioni 650 zilitumika kukarabati nyumba kadhaa za TANESCO, na mojawapo ni hiyo aliyojiuzia kwa shilingi milioni 80?

The devil, as they say, is in the details, and that is what I am after.

Asante kaka tufafanulieni jamani maana wengine sie hatujui nyie wenye kujua tuambieni 650 za nini na nyumba gani?

Na je hiyo nyumba aliyojiuzia ilikuwa na thamani gani inawezekana nyumbani hiyo ilikuwa na thamani ya bilioni 1 sasa value ya mwisho ilikuwa milioni 80 utasema mtu ameiba!!!!
 
Kibovu au kizuri?, Hakieleweki au kinaeleweka angalia mara nyingi mtu akiishiwaga hoja huanza kuandama mtu binafsi hiyo ni dalili ya kuishiwa na hoja hivyo basi usijiite uko makini wakati huna hoja ya msingi. Wazungu wanasema no research no right to speak

Kibovu, Mkuu. Kibovu sana. Hapa sikuandami binafsi bali uamuzi wakowa kutumia lugha ambayo haikuruhusu kupanga hoja zako utakavyo. Mbona unajieleza vizuri tu kwa kiswahili? Sii lazioma kutumia kimombo ili uonyeshe kuwa shule imepanda. Ni ushauri tu. Unaweza kuufuata au kuuacha.

Amandla.....
 
Asante kaka tufafanulieni jamani maana wengine sie hatujui nyie wenye kujua tuambieni 650 za nini na nyumba gani?

Na je hiyo nyumba aliyojiuzia ilikuwa na thamani gani inawezekana nyumbani hiyo ilikuwa na thamani ya bilioni 1 sasa value ya mwisho ilikuwa milioni 80 utasema mtu ameiba!!!!

Na nikiikosoa hii utasema nakuandama binafsi?

Itakuwaje na thamani ya bilioni moja halafu ikawa na value ya milioni 80? Hata Dubai value haidondoki kiasi hicho! Au thamani siyo sawa na value?

Katika account kuna kitu kinaitwa depreciation either straighline au reducing balance. Na nadhani kiingereza changu si kibovu kama unavyosema but kama unataka kwenda kiswahili twende nacho na kiingereza pia nakiweza sasa je vitabu vya uhasibu vinasemaje mkuu value ya mwisho ilikuwa ngapi?

Au mwenzetu value zako unatumia historical costs? Hata kwa fair value huwaga inachukuliwa vilevile uchakavu je value ya nyumba ya idrissa ilikuwa ngapi?
 
Hiyo depreciation hata New orleans baada ya Katrina au Mbagala baada ya mabomu haifui dafu, nini Dubai.

Labda tusubiri New Songdo City i flop ndipo tunaweza kupata hii super-hyper-depreciation.
 
Inawezekana mfano ikiwa nyumba limeungua likatekea, na inawezekana isiwe ndio value hiyo pia (kwa tanzania hilo linawezekana kwani mawaziri wetu walivyojiuzia nyumba kwa milioni moja hadi milioni 9 wakati nyumba zina thamani ya milioni 200 sishangai).

But turudi katika mada je Idrissa nyumba yake ilikuwa na thamani ya kiasi gani? Na watathmini walisemaje kabla haijauzwa? Tanesco books of accounts zilikuwa zinasemaje kabla ya nyumba kuuzwa. Msilaumu tu jamani tuwe na facts!!!
 
Trust me, kiingereza ulichotumia ni kibovu. I am not kidding. Kibovu.
Value ya nyumba haipangwi na accountants. Kuna watu wanaitwa valuers.
Kama ulivyoambiwa, hiyo depreciation uliyotumia ni kubwa mno. Value inajumlusha thamani ya kiwanja kwa hiyo hata hiyo nyumba ikiingua haiwezi kushuka kiasi hicho.
Bei waliojiuzia wafanyakazi wa umma haihusiani na value ya nyumba. Hata wenyewe hawakudai hilo. Ile ilikuwa ni bei waliyopanga bila kujali true value ya nyumba.

Amandla......
 
Back
Top Bottom