Kuna factors nyingi zinazochangia kwa organisation isifikie malengo and part of them ni foreseeable and unforeseable factors. Rais alipozungumza alikuwa anaelezea vision ya yake na expectation zake kwa Tanesco.
Unapozungumzia competence ya mtu zungumzia facts na usiwe subjective kwa kuelezea hisia zako eti una give up!! Give up baada ya kutoa facts na sio kuwa bias pasina kuwa na vigezo vinavyomtuhumu Dr.Idris JF wengi wetu tunajitia wataalam but naona mara nyingi tunapiga siasa tu. Competence ya mtu inapimwa na results na sio blah blah!!! tupeni facts zinazoonyesha kuwa hafai idrissa. Na tutoe relative performance metrics za idriss against other prior management. Venginevyo mnatuelezea hisia zenu which mwisho wa siku tunaweza kusummarize as majungus.
Hatuna critical analysis ya kwanini Tanesco kwa Dr. Idris haifai zaidi ya majungu majungu. Hatuna facts zinazomtoa Dr. Idriss katika UCEO badala yake mnatoa arbitrary arguments ambazo to me ni rubish and does not make any sense nadhani mjadala tusummarize kuwa hakuna hoja inayomzuia Dr. Idriss asiwe tena CEO zaidi vimajungu majungu vya watu.
Nakaribisha hoja!!!
Inasikitisha kuanzisha thread bila wewe mwenyewe kuisimamia na kushindwa kuifuatilia. Nasema inasikitisha kwani members wengi wametoka nje ya mada na wewe upo unakodolea macho, sasa hivi ndo unaibuka na kutoa conclusion!! Te te te te !!!!
Haya uliyoandika hapa inaonekana haufatilii au upo upo tuu kama wengine wanavyo post hao!!! wakakimbia thread. Anzia kusoma topic #94 & 97 n.k rudia kusoma ujue wananchi wanataka nini juu umeme??? Soma topic zote alizochangia Dr. Kitila (samahani kama nimekosea jina) muelewe alivyochanganua tanesco ya zamani na ya sasa!!!
Harafu njoo utoe hiyo conclusion yako au siyo.