Kuna mission inaendelea? Na leo pillika pillika za humu haikuwa coincidenceUvccm hawaonekani hapa... Ndio wapo kwenye ufundi wa umeme🤣🤣... Ccm bana!! Lile jamaa la zimbabwe sio linapakia wanaya kutoka mbuga zetu kweli?.... Hitilafu gani itokee usiku aseeee...
Sijui bhanaWakazi wa
Hivi huwa ni umeme umekata au umezimiika
Mkuu,nchi hii haina mikosi hata kidogo, ukitaka kuamini maneno yangu sikiliza yowe la shangwe (huoooo...) pale watakapo washa umeme. Ungesema nchi hii imefuga mazuzu labda ningekubaliana na wewe maana hatuijui haki yetuNchi ina mikosi hii
Nyie ndo waze wa huooo ukirudi alaf mnakimbilia remote.Sijui bhana
Ulisikia wapi jambo la kipuuzi kama hili.... Nchi nzima?Kuna mission inaendelea? Na leo pillika pillika za humu haikuwa coincidence
Kwahiyo unazima au unakatika?Nyie ndo waze wa huooo ukirudi alaf mnakimbilia remote.
Una katika.. Niulize why!!Kwahiyo unazima au unakatika?
Si ndo ushangae alaf zile pillika pillika za mchana humu ilikuwa kama mchezo wa kutu distractUlisikia wapi jambo la kipuuzi kama hili.... Nchi nzima?
WhyUna katika.. Niulize why!!
Hakuna hata ripoti itakayotolewa kusema serikali imepoteza mapato kiasi gani kwa kukatika umeme nchi mzima!Unaongea pumba
Hahaha kama kawaida yetu na nchi yetu hapo Hadi wakaitwe watu wengineWaungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku, kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya umeme ya Taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayopata huduma ya umeme kupitia Gridi ya Taifa kukosa huduma hiyo.
Wataalamu wetu wanandelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme kwa awamu katika maeneo yaliyoathirika.
Soma Pia: TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme
Shirika linawaomba radhi wateja wake na wananchi kwa usumbufu uliojitokeza na linawashukuru kwa uvumilivu wao wakati jitihada za kurejesha huduma zikiendelea.
kuna viwanda vimesimama kufanya kazi, ni hasara kwa uzalishaji na hakuna wa kufidia hasara hiyoHii nchi kuwa na maendeleo tutasubiri sana.
Kuna kuwa na disconnect kutoka energy plant(uzalishwapo) mpk umfikiapo mteja. So basically umeme wenyewe upo ila flow yake inakuwa imekatika mpk kumfikia mlengwa
Ni grid mzee!! Grid huwa inacombine vyanzo vingivingi Jua,HEP,umeme wa zile wind turbine,mbolea na chochote kile kinachozalisha umeme..kwahiyo kilichozingua hapo ni mfumo katika Grid ya taifa na sio chanzoVyanzo vya umeme vipo vingi tu. Ajabu wanakomaa na chanzo hichp hicho cha maji miaka yote.
CCM michosho sana.
Haya ndo tatajua kwa nini umekatika?Hakuna hata ripoti itayotolewa kusema serikali imepoteza mapato kiasi gani kwa kukatika umeme nchi mzima!
Maana yangu ilikuwa tuwe navyanzo tofauti vya umeme vinavyojitegemea.Ni grid mzee!! Grid huwa inacombine vyanzo vingivingi Jua,HEP,umeme wa zile wind turbine,mbolea na chochote kile kinachozalisha umeme..kwahiyo kilichozingua hapo ni mfumo katika Grid ya taifa na sio chanzo