harusi za leoa wamesherehekea gizani, kumbi hazina genereta wala solaMke wangu yupo mkoani nao hawana umeme hata birthday wameshindwa kusherkea na kula keki kisa gridi ya taifa imeingia itirafu hebu wasimkwaze mke wangu na watoto wangu
Naomba niku alike some where twende wawili tu, haihusiani na mambo ya mahusiano but mkoa mwingine, kutembea tuNdio
hivi vitu vikatwe kwa wakati mmoja itakuwa patashika nguo kuchanikaBado internet itakatwa tu!
Haha 🤣🤣 tumeshazoea mkuuPole na vumbi mkuu🥲
😍💘Umeme usirudi
Huu ni uzembe mkubwa, ukumbi unakosaje jeneretaharusi za leoa wamesherehekea gizani, kumbi hazina genereta wala sola
Sahihi,karibu IgawiloHaha 🤣🤣 tumeshazoea mkuu
KWA NN?kumbe Bukoba sio Tanzania
ulikuwepo FullKWA NN?
HATA HANDENI TANGA SIO TANZANIA PIA MANA ULIKUEPO FULLulikuwepo Full
Mikubwa sanaNchi ina mikosi hii
ni baadhi tu ya maeneo machache ambayo hayajapitiwa na Grid ya Taifa.ulikuwepo Full
kuna kumbi ni za kishenzi, wanategemea umeme wa TANESCO tu hawana umeme mbadalaHuu ni uzembe mkubwa, ukumbi unakosaje jenereta
Wewe acha uhuni,kama unashida na Mimi sema wapi tukutane,kama vipi jioni nikute samoma, id ya mwaka 2023 bado inasoma member? Hii inatosha kusema wewe ni mtu wa aina ganiKama ndiye,utusaidie electrolysis