figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hivi huwa ni umeme umekata au umezimiikaSina akili za science, mimi porojo tu
Uwajibikaji..Issue hasa ni nini ukiachana na porojo?
Upi mkuu be specificUwajibikaji..
Kwa kila kazi ufanyao, hatuwajibiki wala kuwajibishwa. Hatuna targets wala goals, hatuna performance reviews, hatuko serious na maisha yetu, maendeleo wala vision!Upi mkuu be specific
Huko ndio ucrudi kabisa na zile cable pale kundichi tuzing'oe kabisa 😂😂😂Yeah hata hapa zenji tupo tunatumia generator
Unaongea pumbaKwa kila kazi ufanyao, hatuwajibiki wala kuwajibishwa. Hatuna targets wala goals, hatuna performance reviews, hatuko serious na maisha yetu, maendeleo wala vision!