Tetesi: TANESCO hawataki kuwaunganishia umeme wateja wa Bei ya 27000

Hpana mkuu ili siyo la kweli. Wateja waliolipia elfu 27 wanaunganishiwa vizuri tu . Tena hapa Bagamoyo, sema kunaucheleweshaji kidogo sababu ya uchache wa vifaa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
January Makamba atoke, kashindwa kazi
Kati ya watu ambao usitegemee watatoka katika Serikali hii ya awamu ya sita ni January na Nape, wamewekwa kimkakati hao.
 
acheni ujinga watu walipe laki tatu na nusu wewe ulipe 27000 hivi hiyo ni gharama ya nini? nauli consultations , waya , mita ama nguzo? maiasha yamepanda nyie mnaongelea vitu vya kufikirika
 
Acheni uzushi,
Mm binafsi nimeunganishiwa nyumba zangu 2 ambazo nilizilipia 27,000.
Ila nililipiaga 2020 May, nikaunganishiwa March 2022.
We mbwiga kweli hawa wote ni watanzania japo nawe ni mtanzania tafakari nimmoja kati ya wangapi. Niliwapigia simu bila aibu wananegotiate rushwa kwa simu miradi hii imefanywa chaka la rushwa na hawa majambazi .rushwa yao kwa sasa ni ya ki institutional
 
Huwajui police wewe
 
Tuheshimiane basi,
Mm nimetoa nnachokijua, na ww umetoa unachokijua why tutukanane, what are you trying to impose?
 
TANESCO

Toeni majawabu mapema mapema
 
Wasiponiunganishia Naapa Sitalipa Tena,Na Utakuwa mwisho wangu kutumia Umeme wa Tanesco Nipo Bagamoyo naona wanaunganishiana wenyewe na mimi wala Siwaulizi wanaipita nyumba yangu wanaunga inayofuata.
 
Tuheshimiane basi,
Mm nimetoa nnachokijua, na ww umetoa unachokijua why tutukanane, what are you trying to impose?
Sorry dist111 nimekengeuka kwa sababu experience yangu juu ya hilo shirika ni hazizidi week 3 . Siwapendi
 
Wasiponiunganishia Naapa Sitalipa Tena,Na Utakuwa mwisho wangu kutumia Umeme wa Tanesco Nipo Bagamoyo naona wanaunganishiana wenyewe na mimi wala Siwaulizi wanaipita nyumba yangu wanaunga inayofuata.
Wafuate usikie W anasemaje wakizingua peleka mahakamani . Contract ishakamilika watakuunganishia ama wakupe compensation .serikali ina upuuzi Mwingi sana
 
Makamba bado anaendelea kulamba asali hapiganii maslahi ya wateja kwenye wizara yake
 
Chief hangaya alisimama katika wilaya moja katika mkoa wa tanga na alisema serikali kwakuwajali imeshusha bei ya kuunganishiwa umeme kwasasa ni tsh27000 huyohuyo hangaya baada ya kuvembewa akasema hii bei haina uhalisia so mkeka uje ule ule wazee wa kukata na kuwasha dk 0 tu wakaweka mtangazo bei elekezi tatizo lipo pale magogoni maana hewa ya pale na chamwino hazifanani
 
Mkuu kwani wakati simba mwenye sharubu anatangaza wao hawakujua hilo +hangaya wakati anahubiri kule tanga?hayo yalikuwa maelekezo ya kamati ya bunge bei elekezi iwe 27 ili taaanesikoooo wawe na makusanyo ya kutosha kupitia mauzo ya luku
 
Matapeli wakati wa kampeni vs baada ya kuingia Ikulu:

Wakati wa kampeni:πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.

Baada ya kuingia Ikulu:πŸ‘‡πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Serikali inajichanganya sana
 
Wasiponiunganishia Naapa Sitalipa Tena,Na Utakuwa mwisho wangu kutumia Umeme wa Tanesco Nipo Bagamoyo naona wanaunganishiana wenyewe na mimi wala Siwaulizi wanaipita nyumba yangu wanaunga inayofuata.
mkuu hawa tunawashtaki soon, sio haki, mi nipo Zambia,nikirudi huko nataka nianze mchakato huo
 
Tunapaswa kuundoa mfumo ccm madarakani mapema ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…