TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

Mambongolala acheni mambo ya kngese kutusamehe iyo b60 tena ndio imekuwa nongwa,kwani sie tunakufanyieni mambo mangapi na wala haturingi wala nini
 
Mambongolala acheni mambo ya kngese kutusamehe iyo b60 tena ndio imekuwa nongwa,kwani sie tunakufanyieni mambo mangapi na wala haturingi wala nini
Kipi nyie mnafanya maskini waku tupwa kabisa nyie mna nini nyie makapuku choka mbaya
 
Zanzibar isamehewe deni ili waanze "KUKOPA"upya....
 
Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo alipewa January wakiwa ndani ya ndege wakitokea Uganda na mama
hakuna taarifa ya ndani wala nini huu ni uzushi tu.
 
🤣🤣🤣 natamani niwadisi hao mabazazi wa huko forodhani dah, deni linafutwa..?

Kwahiyo umeme wametumia wabure
 
Maza anaupiga mwingi zimeishia wapi.... Chawa wa Maza🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na bado tutajenga daraja tutake tusitake.
 
hivi hakuna uwezekano wa kutengeneza mita ya LUKU kwenye umeme mkubwa unaoenda zanzibar? ifungwe tu Luku watumie kwa kadiri wanavyolipa
 
Wacha tu nihamie Burundi
 
".........Sisi Wazanzibar ni wabinafsi sana ndugu Mwandishi" alisikima Makame Abdallah Mkazi wa Fumba Unguja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…