Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala.
Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na anaikubali kama ilivyo.
Tuna Viongozi ambao hawajui umuimu wa umeme kwenye kazi za kila siku na kiasi gani cha mapato kinaweza potea. Wao ni kuuza tuu Nchi, jana Mbuga, Leo Bandari. Kesho Madini.