TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

Wawekezaji hoyee!
Moja ya vitu vinavyoangaliwa na wawekezaji ni pamoja na nishati ya umeme, tena ya uhakika. Ninyi mnasema wanapendezwa na amani muliyonayo! Subirini mpaka bwawa likamilike mtapata umeme wa uhakika. [emoji45][emoji45]

Tafakari!!

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom