TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

Wakati wafanyakazi/wafanya biashara waamkapo asubuhi na mapema wanawahi enda tafuta chochote kwa maendeleo yao ..... wapo wafanyakazi wa taasisi husika wanaamka na kwenda bonyeza switch kuzima umeme kisha kukaa maahali na kujisifu amezima umeme.
 
Uongozi siyo kugombana na yeyote ni kukubali Hali halisi na kulifanyia kazi kimya kimya. Hatutakinmikurupuko kama ya jiwe na kuua watu bila sababu ya Msingi. Mpaka jpm anakufa ameshaua watu zaidi ya elfu 50 mojakwa moja au kwa prssuere. Mfano ni Nomrodi mkono ambaye account zake zote zilichukuliwa pesa akapararise na kufa
 
Duh mambo ya jpm sijui kifo imeingiaje na shida ya umeme iliyopo
Mkuu

Ova
 
Usimtusi waziri koma kabisa
 
Mradi wa gesi wa kinyerezi, ndiyo suluhisho la upungufu wa umeme unaolikabili taifa hivi sasa.
 
Hawa wanajali matumbo yao hawawezi kukusaidia wew ivi ushawahi kujiuliza kwa nini hawakati umeme ikulu alafu huku kwa ngedere na panya ndo wanakata ndo hivyo sasa saiv tunaishi ma serikali ya hovyo sana
 
Hii kitu inaharibu sana kazi za watu. Umeme unakatika masaa 10, kuna kujenga uchumi tena hapo?.
 
Wameamua kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…