TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Kwa nature ya watanzania, hili wazo siliungi mkono, unakuaga na mawazo mazuri sana ila hili, hapana.

TANESCO sio wafanyabiashara, na wakijiroga kifanya hili wazo, watajuta, maana tutarudi kule kwenye kulimbikiza madeni, maana zile mita za zamani watu walikua hawalipi, sioni utofauti utakukuwepo kwenye kulipa haya madeni ya luku pia.
 
Mkuu, deni la 2,000/= la TANESCO unawezaje kulikwepa?
 
Back
Top Bottom