Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Kama ndio wakwe zako lazima tu aibu ukishikeHii ilinikuta mwaka jana alafu nikiwa na wageni ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndio wakwe zako lazima tu aibu ukishikeHii ilinikuta mwaka jana alafu nikiwa na wageni ndani
Shida sana mkuu. Unaweza ukajikuta wezi wanakuja na kuiba hivi hiviUmeme ukiisha usiku wa manane na hauna pesa ni shiiiida mkuu...
Juzi hapa kuna jirani yangu aliibiwa baada ya umeme kuzima ghafla usiku. Waliiba na kumjeruhi kidogo kwa panga.Shida sana mkuu. Unaweza ukajikuta wezi wanakuja na kuiba hivi hivi
Pole zake sana. Bora waibe lakini wasijeruhi wala kuua mtuJuzi hapa kuna jirani yangu aliibiwa baada ya umeme kuzima ghafla usiku. Waliiba na kumjeruhi kidogo kwa panga.
Wezi wanaiba sana umeme ukikatika pamoja na mvua zikinyesha sana usiku. Sijui kwanini?Shida sana mkuu. Unaweza ukajikuta wezi wanakuja na kuiba hivi hivi
Mvua ikinyesha huwezi kusikia hata kama wanavunja mlango au getiWezi wanaiba sana umeme ukikatika pamoja na mvua zikinyesha sana usiku. Sijui kwanini?
Mwizi hajui hilo. Ukikaa vibaya anapita na wewe ndio maana watu wakikamata wanachoma tu moto.Pole zake sana. Bora waibe lakini wasijeruhi wala kuua mtu
Siku hizi wanawanyesha cement iliyochanganywa na maji. Hamalizi hata dakika 20 lazima akate motoMwizi hajui hilo. Ukikaa vibaya anapita na wewe ndio maana watu wakikamata wanachoma tu moto.
TANESCO ni akina nani sasa mkuu?TANESCO sio wafanyabiashara
Ila hili hapana? Sawa mkuu...Kwa nature ya watanzania, hili wazo siliungi mkono, unakuaga na mawazo mazuri sana ila hili, hapana.
Mkuu, deni la 2,000/= la TANESCO unawezaje kulikwepa?TANESCO sio wafanyabiashara, na wakijiroga kifanya hili wazo, watajuta, maana tutarudi kule kwenye kulimbikiza madeni, maana zile mita za zamani watu walikua hawalipi, sioni utofauti utakukuwepo kwenye kulipa haya madeni ya luku pia.
Haiwezekani hata kidogoMkuu, deni la 2,000/= la TANESCO unawezaje kulikwepa?
Wanataka kukutoa nje ya mada watu kama hao. Kuwa nao makini sana kaka mkubwa.Ila hili hapana? Sawa mkuu...
Labda wametumwa na ZittoWanataka kukutoa nje ya mada watu kama hao. Kuwa nao makini sana kaka mkubwa.
Zitto ana sura mbaya aisee, utasema labda anawanga usiku.Labda wametumwa na Zitto
Zitto ni muha wa Kigoma hana jipya mganga njaa tu yuleZitto ana sura mbaya aisee, utasema labda anawanga usiku.
Zitto kuna kipindi alikuwa anachepuka na mke wa marehemu Deo FilikunjombeLabda wametumwa na Zitto
Musiba alipigia sana kelele hii skendo ila watanzania wakawa wanamuona kama vile chiziZitto kuna kipindi alikuwa anachepuka na mke wa marehemu Deo Filikunjombe
Zitto alikuwa anamla mpaka Esther Bulaya. Huyu jamaa ni mayala sanaMusiba alipigia sana kelele hii skendo ila watanzania wakawa wanamuona kama vile chizi