TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Mwizi hajui hilo. Ukikaa vibaya anapita na wewe ndio maana watu wakikamata wanachoma tu moto.
Siku hizi wanawanyesha cement iliyochanganywa na maji. Hamalizi hata dakika 20 lazima akate moto
 
Kwa nature ya watanzania, hili wazo siliungi mkono, unakuaga na mawazo mazuri sana ila hili, hapana.

TANESCO sio wafanyabiashara, na wakijiroga kifanya hili wazo, watajuta, maana tutarudi kule kwenye kulimbikiza madeni, maana zile mita za zamani watu walikua hawalipi, sioni utofauti utakukuwepo kwenye kulipa haya madeni ya luku pia.
 
Mkuu, deni la 2,000/= la TANESCO unawezaje kulikwepa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…