Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Hii ni kamati ya bunge ya hesabu za serikaliPAC ndio nini mkuu?
Chukua form ya ubunge 2025 kwa tiketi ya CCM chama la wanaHii ni kamati ya bunge ya hesabu za serikali
Bila CCM imara Tanzania itayumbaChukua form ya ubunge 2025 kwa tiketi ya CCM chama la wana
Sasa hivi inaongozwa na nani?Hii ni kamati ya bunge ya hesabu za serikali
PAC sasa hivi mwenyekiti wake ni Mh. Mwigulu NchembaSasa hivi inaongozwa na nani?
Wabongo kulipa deni ni ishu! Hahah wataanza kutumia vibatari mwaka 2021! Kisa ni deni tuWajidanganye kukopesha. Tutarudi kulekule kwa KUKATIWA UMEME!
Mkuu, unatumia kibatari kisa TANESCO wanakudai 3,000?Wabongo kulipa deni ni ishu! Hahah wataanza kutumia vibatari mwaka 2021! Kisa ni deni tu
Bila mama Samia imara CCM itayumbaBila CCM imara Tanzania itayumba
Eeh we huwajui wabongo wewe! Kama Mpesa na Tigopesa walianza kununua vifurushi juu kwa juu ili mtu asilipe 1500 tu unaona watashindwa kutumia vibatari kweliMkuu, unatumia kibatari kisa TANESCO wanakudai 3,000?
Kwanini mtu akinunua kifurushi juu kwa juu system inakubali wakati bado anadaiwa? Sasa hauoni kama huu ni uzembe wa kampuni hizi za simu?Eeh we huwajui wabongo wewe! Kama Mpesa na Tigopesa walianza kununua vifurushi juu kwa juu ili mtu asilipe 1500 tu unaona watashindwa kutumia vibatari kweli
Sindio maana waliondoa hio loopholeKwanini mtu akinunua kifurushi juu kwa juu system inakubali wakati bado anadaiwa? Sasa hauoni kama huu ni uzembe wa kampuni hizi za simu?
Kwa hiyo sasa hivi kununua juu kwa juu haiwezekani?Sindio maana waliondoa hio loophole
Wanafyeka chao kabla hujafumba na kufumbua salio lako linakuwa halitoshi😂😂😅😂Kwa hiyo sasa hivi kununua juu kwa juu haiwezekani?
Safi sanaWanafyeka chao kabla hujafumba na kufumbua salio lako linakuwa halitoshi😂😂😅😂
Tatizo sio fomu issue ni je wajumbe watampitisha?Chukua form ya ubunge 2025 kwa tiketi ya CCM chama la wana
Kwanini wajumbe wasimpe shavu kama anakidhi vigezo vyote? Tatizo la vijana wa chadema ni kuamini Lissu anaweza yote badala ya Mungu.Tatizo sio fomu issue ni je wajumbe watampitisha?
Ndio mkuu haiwezekani tena wale jamaa wamekuwa wajanja sasa hiviKwa hiyo sasa hivi kununua juu kwa juu haiwezekani?