TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Eeh we huwajui wabongo wewe! Kama Mpesa na Tigopesa walianza kununua vifurushi juu kwa juu ili mtu asilipe 1500 tu unaona watashindwa kutumia vibatari kweli
Kwanini mtu akinunua kifurushi juu kwa juu system inakubali wakati bado anadaiwa? Sasa hauoni kama huu ni uzembe wa kampuni hizi za simu?
 
Back
Top Bottom