Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Kama pesa ngumu unakaa tu chiefUnakaa kwenye giza kisa pesa kidogo? Utakuwa m.ch.a.wi wewe sio bure
Huyo Teddy ni ID mpya kuwa naye makini sanaShosti upo? Umeadimika jamaaani my
Mpaka hapo ilipo tu shirika linajiendesha kwa mbeleko ya serikali kuu kwa madeni kibao linalodaiwaKama Tanesco inataka kufa basi waanze kukopesha umeme. Hiyo shilingi 3,000 unayoidharau chukulia watu 10,000 wamekopa umeme na hawajalipa. Unafikiri wamepoteza kiasi gani cha fedha? Fedha ambayo utaipata kwa siku moja, uipate kwa siku 10 si utopolo tena kwa faida ndogo.
Siyo kila ushauri unafaa. Km mm mtanzania ambaye naipenda TANESCO wasijekujaribu kukopesha umeme sababu madeni hufilisi. Kama wanataka kufa kifo cha mende basi wajaribu kukopesha umeme.
Km wanataka kupata pesa waboreshe huduma zao na kisha wapandishe bei ya umeme.
Wakaulize TALA, BRANCH na mitandao ya simu wamepoteza kiasi gani kwenye kukopesha.
Sidhani kama upo sahihi kijanaMpaka hapo ilipo tu shirika linajiendesha kwa mbeleko ya serikali kuu kwa madeni kibao linalodaiwa
Always ndio naskiaga hayo malalamiko juu ya Tanesco! Si wanalipia mitambo gani ile ya kufua umemeSidhani kama upo sahihi kijana
Hao jamaa wanakudanganya. TANESCO ni monopoly hivyo hawezi kupata hasara hata siku moja.Always ndio naskiaga hayo malalamiko juu ya Tanesco! Si wanalipia mitambo gani ile ya kufua umeme
Sijui mkuuObjectives za Tanesco ni kutengeneza Profit as much as Possible au Kuwapa watu huduma as cheaply as practically possible ?
Yaani hata wasipotengeneza hata senti na waka-break even na kila mtu kupata umeme kwa gharama ndogo watakuwa wamefaulu kuliko kutengeneza faida ila watumiaji kulipia zaidi...
You can't be seriousNimefuatilia huu uzi
Ki msingi hii huduma haiwezekani
Sababu.
Mita ya luku inatumika nawatu wengi si mtu mmoja. Mfano mm nikope umeme wa elfu mbili nani atakuja kuipa? je ni mtu mwingine anaekuja kununua umeme kwa mita hiyohiyo??
Labda kuwe na authrized number moja ya simu ambayo itaruhusiwa kukopa,
otherwise watu watakataa madeni kwa kusema yalikopwa na watu wengine
Vp kuhusu faida itakayotokana na riba?Huko ni kurudisha maendeleo nyuma tu na kuleta urasimu tu mambo yaende hivi hivi
Ni safi
Hiyo huduma ikianza leo kwa mfano baada ya mwezi utakuta umeme wa mabilioni umeshatumika na hela ziko kwa wananchi tofauti na sasa wanapata hela yao kwa wakati na kuweza kufanya uzalishaji mwingine
Kwani ni nani amesema kuwa unajua mkuu? Punguza mashauzi bhanaSijui mkuu
Yaani ukae kwenye giza kisa umeme wa 1,000?Kama pesa ngumu unakaa tu chief
ID mpya ya nani mkuu?Huyo Teddy ni ID mpya kuwa naye makini sana
Karibia kila member wa JF ana IDs tatuID mpya ya nani mkuu?
Mbona mimi sina mkuuKaribia kila member wa JF ana IDs tatu
Kwa hiyo mpaka wewe una id nyingi?Karibia kila member wa JF ana IDs tatu
Inawezekana wewe ndio kinara wa huo mchezo wa kitoto. Na hiyo avatar yako ni ya nani?Mbona mimi sina mkuu
Kumiliki ID zaidi ya moja huo ni utotoKwa hiyo mpaka wewe una id nyingi?