Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Hili pia niliwahi kulizungumzia miaka kadhaa nyuma humu JFNaona waweke tu mfumo,ukinunua umeme kwa mfano wa 5000 unajijaza wenyewe. Hakuna kwenda kujaza kwenye mita
Lissu anataka kuja CCM kumuunga mkono mama SamiaTundu Lissu atabisha mpaka wazo hili
Tundu Lissu atabisha mpaka wazo hili
Hao vijana wa CCM achana nao bali jibu hoja zangu tuKweli ww ni mataga wa kiwango cha PHD.
mita ni mali ya TANESCO na huwezi kuhama nayo.
Mm nimepanga fremu, kumbuka mita iliyofungwa, imefungwa na kusajiliwa jina jingine.
Nimekuja kwako na nimepanga fremu ya duka. Umeme unajitegemea. Siku nakaribia kuondoa nakopa umeme wa laki moja. Muda ukiisha naondoka. Hilo deni nani analipa?
Watanzania ni wagumu sana kulipa madeni. Kuna watu wanadaiwa na voda, tigo, airtel, branch na tala lkn hawajalipa mpaka leo.
Lissu hawezi kuwa na akili za kijinga kama hizi za kwako
MATAGA CCM ndio nguzo ya nchi hiiKweli ww ni mataga wa kiwango cha PHD.
Soja jiunge CCM nikupe shavu uache kuendesha Taxi bubuHao vijana wa CCM achana nao bali jibu hoja zangu tu
Ukikopa umeme, SMS au email notification inaenda kwa mmiliki wa nyumbamita ni mali ya TANESCO na huwezi kuhama nayo.
Mm nimepanga fremu, kumbuka mita iliyofungwa, imefungwa na kusajiliwa jina jingine.
Nimekuja kwako na nimepanga fremu ya duka. Umeme unajitegemea. Siku nakaribia kuondoa nakopa umeme wa laki moja.
Baadhi ya watanzania na sio woteWatanzania ni wagumu sana kulipa madeni.
Mkuu, usifananishe mitandao ya simu ambayo ipo mingi na TANESCO. Unaweza kuacha kutumia umeme wa serikali na kuamua kufunga solar kisa unadaiwa 15,000?Kuna watu wanadaiwa na voda, tigo, airtel, branch na tala lkn hawajalipa mpaka leo.
Lissu mtoto wa mama analialia tu huko UbelgijiLissu hawezi kuwa na akili za kijinga kama hizi za kwako
Hivi unajua kirefu cha neno LUKU?Baadhi ya watanzania na sio wote
Sijui mkuuHivi unajua kirefu cha neno LUKU?
Mitandao ya simu inatumia mfumo wa "prepayment" lakini bado wanakopeshaHivi unajua kirefu cha neno LUKU?
Thanks bossWazo zuri sana
Email na SMS notification. Au wanaweza kuweka limit kwamba sio ruhusa kwa majengo ya biashara.Hapo itabidi waweke kiwango cha meisho cha kukopa kwa mwezi na taarifa za mkopaji ziwe zinaenda na kwa mmiliki wa nyumba