TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Kweli ww ni mataga wa kiwango cha PHD.
mita ni mali ya TANESCO na huwezi kuhama nayo.
Mm nimepanga fremu, kumbuka mita iliyofungwa, imefungwa na kusajiliwa jina jingine.
Nimekuja kwako na nimepanga fremu ya duka. Umeme unajitegemea. Siku nakaribia kuondoa nakopa umeme wa laki moja. Muda ukiisha naondoka. Hilo deni nani analipa?
Watanzania ni wagumu sana kulipa madeni. Kuna watu wanadaiwa na voda, tigo, airtel, branch na tala lkn hawajalipa mpaka leo.
Lissu hawezi kuwa na akili za kijinga kama hizi za kwako
Tundu Lissu atabisha mpaka wazo hili
 
Hao vijana wa CCM achana nao bali jibu hoja zangu tu
 
mita ni mali ya TANESCO na huwezi kuhama nayo.
Mm nimepanga fremu, kumbuka mita iliyofungwa, imefungwa na kusajiliwa jina jingine.
Nimekuja kwako na nimepanga fremu ya duka. Umeme unajitegemea. Siku nakaribia kuondoa nakopa umeme wa laki moja.
Ukikopa umeme, SMS au email notification inaenda kwa mmiliki wa nyumba
 
Kuna jamaa yangu ni mtaalamu wa Computer Engineering na Uchumi, katika maongezi yetu siku moja akanigusia hilo la kutengeneza mfumo huo wa kumkopesha mteja na akaenda kuuwasilisha kwenye board ya mameneja wa makao makuu akaambiwa asubiri ataitwa mpaka leo hola.

Nb. Sio hao tu Tanesco, niliwahi kuwaambia Dawasco wanifungie maji ofisini kwangu sababu biashara ninayoifanya haifanyiki bila maji tena ya kutosha, nikapewa fundi akaja walipofika fundi akaanza kuchimba ili aniunganishie maji ofisini, kidogo faza hausi akaja kumbe na yeye alikuwa ameomba aletewe ya Dawasco ikabidi kwangu huduma isitishwe kuunganishiwa akaunganishiwa mwenye nyumba mimi wa biashara nikaachwa. Kichekesho kinakuja kwenye bill, mwenye nyumba huwa bill yake haizidi elfu 3 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom