Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Kwani kukopa sio kununua?Nunua umeme tu mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kukopa sio kununua?Nunua umeme tu mdogo wangu
Kuna meneja mmoja wa tanesco nilikua naongea nae akaniambia shirika linaenda kufa...coz cost of production n kubwa kuliko mapato.
Hizi stori nazisikiaga tokea utotoni hukoKuna meneja mmoja wa tanesco nilikua naongea nae akaniambia shirika linaenda kufa...coz cost of production n kubwa kuliko mapato.
Hizo ni chai tuHizi stori nazisikiaga tokea utotoni huko
Wahusika wapo humu na wamekusikia...Hivi kuna shirika linaloingiza hela kama tanesco?
Kwanza wanatakiwa washushe gharama ya kuvutiwa umeme, ndio maana vijijini/wilayani n.k wengi wanatumia solar zenye gharama nafuu.
Kuvutiwa single fesi Laki tatu ishirini na moja 321,000/=
Three fesi laki tisa na elufu kumi na mbili 912,000/=
Mbaya zaidi hawana mpinzani ndio maana wanakua na kiburi cha kufa mtu. Huyu mama naamini kabisa ataruhusu wawekezaji na hapo ndio itakua salama yetu.
Hata hizi simu zetu, tungekuwa tunakopeshwa muda wa maongezi/vifurushi, wengi zingekuwa zimetushinda.Unawezaje kukwepa deni la 20,000/= la LUKU?
serikali inakopaga sana tu pesa za nchi zingine. Je, nao pia wana nia ovu?...Hata hizi simu zetu, tungekuwa tunakopeshwa muda wa maongezi/vifurushi, wengi zingekuwa zimetushinda.
Mwenye mawazo ya kutaka kukopeshwa, ana nia ovu.
Tofautisha simu ya mkononi na nyumba mzee babaWengi tu tunawaona wanakwepa kulipa haya madeni ya KUPIGWA TAFU, au SONGESHA, kwenye simu hizi hizi!
Sawa mkuu, ngoja nitaanzisha mada ya kuvutiwa umeme wa viwanda na manyumbani.Hivi kuna shirika linaloingiza hela kama tanesco?
Kwanza wanatakiwa washushe gharama ya kuvutiwa umeme, ndio maana vijijini/wilayani n.k wengi wanatumia solar zenye gharama nafuu.
Kuvutiwa single fesi Laki tatu ishirini na moja 321,000/=
Three fesi laki tisa na elufu kumi na mbili 912,000/=
Mbaya zaidi hawana mpinzani ndio maana wanakua na kiburi cha kufa mtu. Huyu mama naamini kabisa ataruhusu wawekezaji na hapo ndio itakua salama yetu.
Infantry Soldier, naomba uanzishe mada ya "kuvutiwa umeme wa viwanda na manyumbani (Mijini, wilayani na vijijini) Gharama zipungue hata nusu yake angalau
THREE FESI NI 912,000/= IWE ANGALAU 450,000,/=
SINGLE FESI 321,000/= IWE ANGALAU 150,000/=
Mkuu mbona ni simpo tu, mathalana tanesco wanaweza kukukopesha umeme wa 15,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.
Ndani ya riba ndiko kunakopatikana faida. Mbona wee jamaa ni mbishi hivi?Ingekuwa hivyo kama ulivyoandika watu wangekuwa wanapata 100% kwa kila mtihani.
Eleza km msomi, njia zitakazo tumika kukopesha umeme na kulipa. Siyo rahisi km unavyofikiri ndiyo maana umeishia kwenye riba tu.
CHADEMA hawajui hili
Soma tena kwenye bandiko langu kuu imeandikwa hivi;Ingekuwa hivyo kama ulivyoandika watu wangekuwa wanapata 100% kwa kila mtihani.
Eleza km msomi, njia zitakazo tumika kukopesha umeme na kulipa. Siyo rahisi km unavyofikiri ndiyo maana umeishia kwenye riba tu.
Ukumbuke huu umeme hatununui moja kwa moja TANESCO tunapitia kwa wakala km Max malipo, voda, tigo n.k
Kibaya zaidi mita hazihamishiki hicho ni kikwazo kikubwa
Hamia CCM nikupe kadi leo hii hiiNyie wanyonge ndiyo mnafanya hii nchi isiendelee.
Mnakimbilia kukopeshwa kwasbb hamna fedha za kulipa. Unaweza kununua umeme hata wa 100 kwa mtandao wa Vodacom
Vifurushi vya mtandso vimepanda mnaanza kulalamika. Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
Km hauwezi kununua umeme, tumia hata solar itakufaa.
TANESCO ili lipate faida inabidi liuze unit 1 - 1000.
Achana na huyo kijana wa CCM. Hii sio mada ya siasaNyie wanyonge ndiyo mnafanya hii nchi isiendelee.
Mnakimbilia kukopeshwa kwasbb hamna fedha za kulipa. Unaweza kununua umeme hata wa 100 kwa mtandao wa Vodacom
Vifurushi vya mtandso vimepanda mnaanza kulalamika. Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
Km hauwezi kununua umeme, tumia hata solar itakufaa.
TANESCO ili lipate faida inabidi liuze unit 1 - 1000.
Asipolipa deni la umeme wa 10,000/= tu, atawezaje kuitumia tena hiyo mita yake? Ina maana atakaa mwaka mzima bila umeme kisa deni la 10,000/= na riba kidogo?Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
naomba jamaa utusaidie kwenye mamlaka za maji ict afisa II ni kiasi gani kwa mwenzi tunasaidiana na kuelimishana pia
Kukopesha na kulipana na utaratibu wa kibiashara karibu nchi zote dunia nzima. Mbona serikali inakopa?Nyie wanyonge ndiyo mnafanya hii nchi isiendelee.
Mnakimbilia kukopeshwa kwasbb hamna fedha za kulipa.