TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Kuna meneja mmoja wa tanesco nilikua naongea nae akaniambia shirika linaenda kufa...coz cost of production n kubwa kuliko mapato.

Hivi kuna shirika linaloingiza hela kama tanesco?

Kwanza wanatakiwa washushe gharama ya kuvutiwa umeme, ndio maana vijijini/wilayani n.k wengi wanatumia solar zenye gharama nafuu.

Kuvutiwa single fesi Laki tatu ishirini na moja 321,000/=

Three fesi laki tisa na elufu kumi na mbili 912,000/=

Mbaya zaidi hawana mpinzani ndio maana wanakua na kiburi cha kufa mtu. Huyu mama naamini kabisa ataruhusu wawekezaji na hapo ndio itakua salama yetu.

Infantry Soldier, naomba uanzishe mada ya "kuvutiwa umeme wa viwanda na manyumbani (Mijini, wilayani na vijijini) Gharama zipungue hata nusu yake angalau

THREE FESI NI 912,000/= IWE ANGALAU 450,000,/=

SINGLE FESI 321,000/= IWE ANGALAU 150,000/=
 
Wahusika wapo humu na wamekusikia...
 
Unawezaje kukwepa deni la 20,000/= la LUKU?
Hata hizi simu zetu, tungekuwa tunakopeshwa muda wa maongezi/vifurushi, wengi zingekuwa zimetushinda.
Mwenye mawazo ya kutaka kukopeshwa, ana nia ovu. Wengi tu tunawaona wanakwepa kulipa haya madeni ya KUPIGWA TAFU, au SONGESHA, kwenye simu hizi hizi!
 
Hata hizi simu zetu, tungekuwa tunakopeshwa muda wa maongezi/vifurushi, wengi zingekuwa zimetushinda.
Mwenye mawazo ya kutaka kukopeshwa, ana nia ovu.
serikali inakopaga sana tu pesa za nchi zingine. Je, nao pia wana nia ovu?...
 
Hivi kuna shirika linaloingiza hela kama tanesco?

Kwanza wanatakiwa washushe gharama ya kuvutiwa umeme, ndio maana vijijini/wilayani n.k wengi wanatumia solar zenye gharama nafuu.

Kuvutiwa single fesi Laki tatu ishirini na moja 321,000/=

Three fesi laki tisa na elufu kumi na mbili 912,000/=

Mbaya zaidi hawana mpinzani ndio maana wanakua na kiburi cha kufa mtu. Huyu mama naamini kabisa ataruhusu wawekezaji na hapo ndio itakua salama yetu.

Infantry Soldier, naomba uanzishe mada ya "kuvutiwa umeme wa viwanda na manyumbani (Mijini, wilayani na vijijini) Gharama zipungue hata nusu yake angalau

THREE FESI NI 912,000/= IWE ANGALAU 450,000,/=

SINGLE FESI 321,000/= IWE ANGALAU 150,000/=
Sawa mkuu, ngoja nitaanzisha mada ya kuvutiwa umeme wa viwanda na manyumbani.
 
Ingekuwa hivyo kama ulivyoandika watu wangekuwa wanapata 100% kwa kila mtihani.
Eleza km msomi, njia zitakazo tumika kukopesha umeme na kulipa. Siyo rahisi km unavyofikiri ndiyo maana umeishia kwenye riba tu.
Ukumbuke huu umeme hatununui moja kwa moja TANESCO tunapitia kwa wakala km Max malipo, voda, tigo n.k
Kibaya zaidi mita hazihamishiki hicho ni kikwazo kikubwa
Mkuu mbona ni simpo tu, mathalana tanesco wanaweza kukukopesha umeme wa 15,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.
 
Ingekuwa hivyo kama ulivyoandika watu wangekuwa wanapata 100% kwa kila mtihani.
Eleza km msomi, njia zitakazo tumika kukopesha umeme na kulipa. Siyo rahisi km unavyofikiri ndiyo maana umeishia kwenye riba tu.
Ndani ya riba ndiko kunakopatikana faida. Mbona wee jamaa ni mbishi hivi?
 
Nyie wanyonge ndiyo mnafanya hii nchi isiendelee.
Mnakimbilia kukopeshwa kwasbb hamna fedha za kulipa. Unaweza kununua umeme hata wa 100 kwa mtandao wa Vodacom
Vifurushi vya mtandso vimepanda mnaanza kulalamika. Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
Km hauwezi kununua umeme, tumia hata solar itakufaa.
TANESCO ili lipate faida inabidi liuze unit 1 - 1000.
CHADEMA hawajui hili
 
Ingekuwa hivyo kama ulivyoandika watu wangekuwa wanapata 100% kwa kila mtihani.
Eleza km msomi, njia zitakazo tumika kukopesha umeme na kulipa. Siyo rahisi km unavyofikiri ndiyo maana umeishia kwenye riba tu.
Ukumbuke huu umeme hatununui moja kwa moja TANESCO tunapitia kwa wakala km Max malipo, voda, tigo n.k
Kibaya zaidi mita hazihamishiki hicho ni kikwazo kikubwa
Soma tena kwenye bandiko langu kuu imeandikwa hivi;

TANESCO wanaweza kufanya special arrangement na kampuni husika ya mtandao wa simu kama Vodacom au Tigo kutoka mkopo wa pesa mahususi kwa kununua units za umeme tu na sio muamala mwingine wowote. Ukitumia pesa hiyo kwa muamala mwingine inakataa.

Mathalana TANESCO wanaweza kukukopesha umeme wa 15,000. Halafu utakatwa labda 25% kila utakaponunua tena mpaka deni liishe. Au ukiamua unalipa 100%.
 
Nyie wanyonge ndiyo mnafanya hii nchi isiendelee.
Mnakimbilia kukopeshwa kwasbb hamna fedha za kulipa. Unaweza kununua umeme hata wa 100 kwa mtandao wa Vodacom
Vifurushi vya mtandso vimepanda mnaanza kulalamika. Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
Km hauwezi kununua umeme, tumia hata solar itakufaa.
TANESCO ili lipate faida inabidi liuze unit 1 - 1000.
Hamia CCM nikupe kadi leo hii hii
 
Achana na huyo kijana wa CCM. Hii sio mada ya siasa
 
Huo umeme wa mkopo mtalipa au mnataka kuiua TANESCO?
Asipolipa deni la umeme wa 10,000/= tu, atawezaje kuitumia tena hiyo mita yake? Ina maana atakaa mwaka mzima bila umeme kisa deni la 10,000/= na riba kidogo?
 
Back
Top Bottom