Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

Ukiona Kiranja kaagiza majembe, ujue kuna shamba la mwalimu linatakiwa lipaliliwe... Kiranja nae yupo chini ya mwalimu... Kiranja TANESCO... Mwaimu ni where we dare to talk openly
 
Ukiona Kiranja kaagiza majembe, ujue kuna shamba la mwalimu linatakiwa lipaliliwe... Kiranja nae yupo chini ya mwalimu... Kiranja TANESCO... Mwaimu ni where we dare to talk openly
 
Onesha kuwa mita moja imekatwa sh 2000 mara mbili au zaidi

Umenunua,2000 ikakatwa

Umenunua tena,2000 ikakatwa tena
 
Walisema wanakata kwa mwaka mara2! Sasa huu ujambazi unatokea wapi jamani,mbona hii nchi mnaitumbukiza shimoni?
 
Mnatia aibu tu. Yaani tuanze kujadili deni la mtu binafsi Jf, Kweli?
Na hao watu 1m wasipolipa hiyo 500 unadhani ni kiasi gani taifa litaingia hasara?
DAWA YA DENI NI KULIPA.
Kwahio Tozo ni deni?. Serikali ilimkopesha?.
 
Mnatia aibu tu. Yaani tuanze kujadili deni la mtu binafsi Jf, Kweli?
Na hao watu 1m wasipolipa hiyo 500 unadhani ni kiasi gani taifa litaingia hasara?
DAWA YA DENI NI KULIPA.
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji Yako sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…