- Thread starter
- #21
Itakuwa maana saizi ndio wameshupaza shingo na hawajali kabisaNi maelekezo hayo ya Ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa maana saizi ndio wameshupaza shingo na hawajali kabisaNi maelekezo hayo ya Ikulu
Nchi imeoza hiiItakuwa maana saizi ndio wameshupaza shingo na hawajali kabisa
Hiyo 500 haipo kwenye budget inaingia CCM moja kwa mojaSasa unadhani wasipokata hiyo pesa ya kuhonga wajinga chumvi na sabuni kwenye uchaguzi itatoka wapi. Sii unajua mtaji wa ccm ni watanzania mbumbumbu
Si inaleweka inakatwa kwa mwezi. Wanacholalamika ongezeko la 500/=Onesha kuwa mita moja imekatwa sh 2000 mara mbili au zaidi
Umenunua,2000 ikakatwa
Umenunua tena,2000 ikakatwa tena
Walisema wanakata kwa mwaka mara2! Sasa huu ujambazi unatokea wapi jamani,mbona hii nchi mnaitumbukiza shimoni?Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti ni kama tozo zimehararishwa kuendelea maana makato yamebaki kuwa 2000 kwa kila anayenunua umeme.
View attachment 3043882
Kitendo hiki si chakiungwana maana inaonesha serikali inaibia raia wake pasipo woga wowote......kitendo hiki kinakera, kuumiza na kutia hasira kuona serikali ya CCM inavyopuuza wananchi wake kwa kufanya mambo pasipokufuata taratibu za kisheria. Kibaya zaidi hawatoi takwimu ya hizo pesa lakini pia zimesaidia kutatua changamoto zipi za umma.
View attachment 3043883
Kitu kinachoumiza ni serikali kuendelea kuwa na matumizi makubwa na yasiyokuwa na tija kwa nchi. Mfano ziara ya Rais inakuwa na msafara wa magari zaidi ya 150 kwa wakati mmoja (Rais, Mawaziri na Naibu Mawaziri karibu wote)......Huu ni upumbavu uliopitiliza ambao matokeo pesa nyingi zinapotea kwenye mambo yasiosaidia jamii na hivyo nchi kuishia kukopa mara kwa mara huku deni la taifa likizidi kuongezeka na maisha ya Watanzania kuendelea kuwa duni..........Uchaguzi ujao inabidi tujipange sana kutokomeza huu uhuni na ufisadi tunaoushuhudia.
View attachment 3043893
Wamekatwa 500 mara mbili mwezi huu?Si inaleweka inakatwa kwa mwezi. Wanacholalamika ongezeko la 500/=
Kwahio Tozo ni deni?. Serikali ilimkopesha?.Mnatia aibu tu. Yaani tuanze kujadili deni la mtu binafsi Jf, Kweli?
Na hao watu 1m wasipolipa hiyo 500 unadhani ni kiasi gani taifa litaingia hasara?
DAWA YA DENI NI KULIPA.
YesKwahio Tozo ni deni?. Serikali ilimkopesha?.
Endelezeni wizi tu, lakini siku zenu haziko mbali.
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji Yako sio bureMnatia aibu tu. Yaani tuanze kujadili deni la mtu binafsi Jf, Kweli?
Na hao watu 1m wasipolipa hiyo 500 unadhani ni kiasi gani taifa litaingia hasara?
DAWA YA DENI NI KULIPA.
Itakuwa maana saizi ndio wameshupaza shingo na hawajali kabisaNi maelekezo hayo ya Ikulu
We are counting on them😕Endelezeni wizi tu, lakini siku zenu haziko mbali.
Wamefanya wananchi kama ndio miradi yao.........imekuwa nchi ya majizi kila sehemuMm najiuliza hizo pesa zote wanapeleka wapi