Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne.
Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza wakati kazi hiyo itakapofanyika ndani ya kipindi cha saa 3.