Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
Ndiyo hitilafu yenyewe hiyo.Kila siku hitilafu tu. Nchi ya Hovyo sana Hii!
Samahani mkuu hvi hapo mpo watu wangapi . !??Una mpango wa kutengeneza gesi asilia?
Anaomba maelekezo kijana hapo huwenda anataka ajiunge πππππYakuz yavuz
mbona nmekuona nkajifichaAhahahaha usiseme hvo utafanya nipae paaaap mpaka hapo kiesa
Ahahahaha kwa majina naitwa asumani..mbona nmekuona nkajificha
Giza vipi mchana wote huu mkuuHii blackout ni Countrywide kiukweli tunaomba Tanesco mjipange mana, Nishati ni moja ya Vitu vinavyoinda Usalama wa Taifa letu
kuwa Giza for more then 2 hours nchi nzima sio sawa kabisa
Tafsiri yake ni Kuwa hakuna access ya Umeme kwa sasa ivo kama taifa tunakosa haki ya taarifa mambo mengi yanakwamaGiza vipi mchana wote huu mkuu
Kama disco lightUmeme unakuja na kukatika
Holly fire,,hata upako nlopokea kanisani haujamaliza kububujikaAhahahaha kwa majina naitwa asumani..
Yule wa mbosso..
Nakuja sasa maana nisije kukuacha unaganda mimi nipo
ππ€£πKama disco light
wapi nije nichaji tochi na cm yangu,huku badoUmeme umesharudi nilipo
πππ Na mimi sasa hv kwa kukemea nipo vzr nikabizi mimi nikubarikiHolly fire,,hata upako nlopokea kanisani haujamaliza kububujika
we umeme huogopiππππ Na mimi sasa hv kwa kukemea nipo vzr nikabizi mimi nikubariki
π€£π€£TZ nzima Giza, imagine bomu kama zile za Iran vs Israel zipige hapo tutakaa mwaka mzima bila bila.
wapi nije nichaji tochi na cm yangu,huku bado