TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

Wewe ndiye wamjua Millard... Ikiwemo jamiiforums wangeweka
Mzee taasisi kama tanesco sio kama wcb au konde gang.
Kuna official page taarifa inatoka, then hao waandichi huzichukua huko kama zina maslahi kwao.

Unadhani ni taarifa ngapi za kiserikali hutoka kwa siku?? Ni ngapi wewe unaziona na kuzisoma na kuzifanyia kazi au kuzipuuza!! Ni chache right!!?

Basi ni kua hao watoa taarifa hawana maslahi na hizo taarifa.
 
Na wana official account humu au hujaiona?
 
Back
Top Bottom