Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hapo ni kama kutoa taarifa ya kuelezea tatizo na si kutoa tangazo la watu kujiandaa in advance kama wafanyavyo kampuni za simu zinapoboresha mifumo Yao ya kifedhaIngawa hii issue imepita ukisema walitoa Tangazo mtu anaweza kudhani kwamba walitoa Tangazo kabla ili mtu ajitayarishe..., LAKINI hapa ni kwamba wametoa Tangazo..., Yaani ni kama mtu unaungua moto alafu ushaungua na kuwa majivu ndio alarm ya moto inakwambia KUNA MOTO...
TANESCO Jirekebisheni... This is not Cool !!!!