Tanesco Mbeya kuna tatizo kubwa; mgawo wa ratiba haifuatwi, makali ya mgawo yanaongezeka kila siku

Niko Mbeya but manung'uniko ya kuhusu kukatika kwa umeme nayaonaga mtandaoni tuuu!huwezi kuamini aisee!Angalieni na maeneo mnayonunua viwanja🤣🤣
 
Niko Mbeya but manung'uniko ya kuhusu kukatika kwa umeme nayaonaga mtandaoni tuuu!huwezi kuamini aisee!Angalieni na maeneo mnayonunua viwanja[emoji1787][emoji1787]
Kuna muda huwa unatoka hapo uliponunua kiwanja au unakaa bila kubanduka siku 365 za mwaka?
 
Kuna muda huwa unatoka hapo uliponunua kiwanja au unakaa bila kubanduka siku 365 za mwaka?

Nilitaka nilizungumzie hili mkuu!nikiwa home umeme ukikatika hazizidi dakika 10 usharudi!ila last week nilikuwa TUKUYU,huko ni shida mkuu,umeme unakatika saa 11 asubuhi unarudi saa saba usiku😲,ndiyo maana nimesema siyo kila sehemu ni ya kuishi aisee!MVUA MASAA 24,GIZA MASAA 17 lazima uikimbie TUKUYU.
 
Kwa siku nazopiga simu Mbeya umeme hakuna nadhani kuna tatizo zaidi ya hili la mgao wa Umeme huko Mbeya...
 
kwan umeme tunatumia bure kias washindwe kupambana kubuni namna ya kuongeza uzalishaj
 
Aaaaaah shinyanga mjini mpaka kerooo. Ratiba n j3 na ijumaa lakin kwa wiki unakatika zaid ya mara 3 halafu ratiba ya muda haijulikani
 
Mbeya Kuna maeneo hatuna shida ya umeme, japo hukatika kwa mara chache sana.
Hatupaswi kupuuza, serikali ione ulazima wa kutatua shida hii.
 
ni kweli kama huku isyesye jana ulikatika kutoka asubuhi mpaka jion then jion ukarud kwa muda usiozidi saamoja na nusu then ukakatika tena mpka usiku wa karibu saa4

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uchawa pro max
 
Daa mbeya tunateseka sana sisi wa viwanda hatufanyi kazi yani kero kero sana kazi haziendi lakini nao TRA nao wako moto hawa oni tatizo hili la umeme mda mwingine umeme unaweza ukawepo ila wanakuwa wametowa nguvu kwenye mitambo mikubwa
 
Daa mbeya tunateseka sana sisi wa viwanda hatufanyi kazi yani kero kero sana kazi haziendi lakini nao TRA nao wako moto hawa oni tatizo hili la umeme mda mwingine umeme unaweza ukawepo ila wanakuwa wametowa nguvu kwenye mitambo mikubwa
Kuna jamaa wana kiwanda cha maji, yaani uzalishaji ni kama umesimama kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…